UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kama tatizo lilikua JPM na ndio maana Mbowe alimkimbia na kurudi baada ya JPM kufariki, sasa kwa nini Lissu na Lema bado wanaogopa kurudi wakati Mbowe karudi na anaendelea na harakati?Mbowe alikimbilia Dubai akarudi baada ya JPM kufa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app