Haya ngoja tuone mwisho wake. Watu wanakuza mambo yaani hadi unashangaa. Time will tell na kuna watu wataumbuka vibayamkamateni na badala ya kumpa kesi ya robbery mpeni ya uhujumu uchumi kama kawaida yenu.
chenye mwanzo hakikosi mwisho.!
Mishe yake ya zamani, inalipaLEMA bila siasa atafanya mishe gani ili aweze kuishi?
Sawa Mkuu, nimekufahamu wala sikushangai msimamo wako, bila shaka unapata manufaa makubwa katika hii awamuNchi ipo vzr..walioenda ubalozini wameenda kwa mapenzi yao wenyewe. Wabaki huko huko...
Hakuna manufaa yoyote ninayopata, sifanyi kazi serikalini wala sina ndugu mwanasiasaSawa Mkuu,nimekufahamu wala sikushangai msimamo wako,bila shaka unapata manufaa makubwa Katika hii awamu
Vile vile siwezi kukushangaa mtu Kama wewe kutoa kauli kama hiyo
Inajulikana kuwa Mwafrika anarishi chini ya Jangwa la Sahara ana uwezo duni sana wa kufikiri,kuamua na kujitawala
Basi wewe ni mmoja wa wajinga, utafurahia vipi kitu kisicho na manufaa na wewe,..Hakuna manufaa yoyote ninayopata, sifanyi kazi serikalini wala sina ndugu mwanasiasa
Sawa mimi mjinga na wewe ni mwerevu una akili sana [emoji122][emoji122][emoji122]. Hongera!Basi wewe ni mmoja wa wajinga,utafurahia vipi kitu kisicho na manufaa na wewe,..
Utafurahi vipi Watanzania wenzako wanateseka kosa lao kubwa ni kutoa mawazo Yao?!!
Wewe ni mifano mzuri wa Mwafrika anaieshi chini ya Jangwa la Sahara
Tatizo hili la kufuatilia maisha ya watu be mtaumwa sonona!LEMA bila siasa atafanya mishe gani ili aweze kuishi?
Yuko wapi Ben Saanane? Je ye alikuwa mtu mkubwa mpaka akapotezwa? Kigezo cha ukubwa au udogo hakipo mzee, watu wakiamua kukupoteza wanakupoteza tu.Hujielewi magufuli hawezi Kuwa na Muda na watu wadogo Kama Hawa au dhibitisha usemalo.
Nchi ina mpasuko! Madiwani wa CCM walivyokufa kama ulibahatika kusoma comments za watu kabla Mods hawajazifuta basi ungejua tulivyo na mpasuko! Umoja ule wa kitaifa haupo tena!Nchi ipo vzr..walioenda ubalozini wameenda kwa mapenzi yao wenyewe. Wabaki huko huko...
Umoja huo unavurugwa na wahuni wachache.Nchi ina mpasuko!Madiwani wa CCM walivyokufa,kama ulibahatika kusoma comments za watu kabla Mods hawajazifuta basi ungejua tulivyo na mpasuko!Umoja ule wa kitaifa haupo tena!
Jiwe na watu wake akina Mahera!Wametuharibia mshikamano tuliokuwa nao!Umoja huo unavurugwa na wahuni wachache.
Na wengine wanaendelea kubomoa kwa kutunga mastori ya uongo ambayo wasio tumia akili wanaamini bila kureason.Jiwe na watu wake akina Mahera!Wametuharibia mshikamano tuliokuwa nao!
Ben Saanane mlisema hivyo hvyo!Na wengine wanaendelea kubomoa kwa kutunga mastori ya uongo ambayo wasio tumia akili wanaamini bila kureason.
Suala la Ben saanane silifahamu vzr nashindwa kuliongelea. Ila kuna mambo yanaendelea sasa hivi mtu mzima unajua kabisa ni uzushi na mipango ovu ya wahuni waliokosa madaraka.Ben Saanane mlisema hivyo hvyo!