Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

mkamateni na badala ya kumpa kesi ya robbery mpeni ya uhujumu uchumi kama kawaida yenu.

chenye mwanzo hakikosi mwisho.!
Haya ngoja tuone mwisho wake. Watu wanakuza mambo yaani hadi unashangaa. Time will tell na kuna watu wataumbuka vibaya
 
Nchi ipo vzr..walioenda ubalozini wameenda kwa mapenzi yao wenyewe. Wabaki huko huko...
Sawa Mkuu, nimekufahamu wala sikushangai msimamo wako, bila shaka unapata manufaa makubwa katika hii awamu

Vile vile siwezi kukushangaa mtu Kama wewe kutoa kauli kama hiyo

Inajulikana kuwa Mwafrika anaeishi chini ya Jangwa la Sahara ana uwezo duni sana wa kufikiri, kuamua na kujitawala
 
Sawa Mkuu,nimekufahamu wala sikushangai msimamo wako,bila shaka unapata manufaa makubwa Katika hii awamu

Vile vile siwezi kukushangaa mtu Kama wewe kutoa kauli kama hiyo

Inajulikana kuwa Mwafrika anarishi chini ya Jangwa la Sahara ana uwezo duni sana wa kufikiri,kuamua na kujitawala
Hakuna manufaa yoyote ninayopata, sifanyi kazi serikalini wala sina ndugu mwanasiasa
 
Tusibiri tuone kama hizi taarifa zitakua na ukweli...

Kwani ndiyo tumefikia huko...


Cc: mahondaw
 
Hakuna manufaa yoyote ninayopata, sifanyi kazi serikalini wala sina ndugu mwanasiasa
Basi wewe ni mmoja wa wajinga, utafurahia vipi kitu kisicho na manufaa na wewe,..

Utafurahi vipi Watanzania wenzako wanateseka kosa lao kubwa ni kutoa mawazo Yao?!!

Wewe ni mifano mzuri wa Mwafrika anaieshi chini ya Jangwa la Sahara
 
Basi wewe ni mmoja wa wajinga,utafurahia vipi kitu kisicho na manufaa na wewe,..

Utafurahi vipi Watanzania wenzako wanateseka kosa lao kubwa ni kutoa mawazo Yao?!!

Wewe ni mifano mzuri wa Mwafrika anaieshi chini ya Jangwa la Sahara
Sawa mimi mjinga na wewe ni mwerevu una akili sana [emoji122][emoji122][emoji122]. Hongera!
 
Utashangaa hili swala aka liongelea Mambosasa na sio mkuu wa police wa Arusha au Kilimanjaro teh teh teo
 
Hujielewi magufuli hawezi Kuwa na Muda na watu wadogo Kama Hawa au dhibitisha usemalo.
Yuko wapi Ben Saanane? Je ye alikuwa mtu mkubwa mpaka akapotezwa? Kigezo cha ukubwa au udogo hakipo mzee, watu wakiamua kukupoteza wanakupoteza tu.
 
Nchi ipo vzr..walioenda ubalozini wameenda kwa mapenzi yao wenyewe. Wabaki huko huko...
Nchi ina mpasuko! Madiwani wa CCM walivyokufa kama ulibahatika kusoma comments za watu kabla Mods hawajazifuta basi ungejua tulivyo na mpasuko! Umoja ule wa kitaifa haupo tena!
 
Nchi ina mpasuko!Madiwani wa CCM walivyokufa,kama ulibahatika kusoma comments za watu kabla Mods hawajazifuta basi ungejua tulivyo na mpasuko!Umoja ule wa kitaifa haupo tena!
Umoja huo unavurugwa na wahuni wachache.
 
Jiwe na watu wake akina Mahera!Wametuharibia mshikamano tuliokuwa nao!
Na wengine wanaendelea kubomoa kwa kutunga mastori ya uongo ambayo wasio tumia akili wanaamini bila kureason.
 
Mbinu inaayotumika sasa na wapinga maendeleo ni kutengeneza picha kwamba Tanzania kuna machafuko.

Kama walivyokuwa wanachafua image ya nchi kipindi cha CORONA sasa wanajitahidi kuwatishia wawekezaji
 
Hili tukio mbali na kuwa ni la kisiasa, lakini linaonyesha vyombo vyetu vya ulinzi na usalama mipakani ni dhaifu sana. Kwa udhaifu huu, wanaharakati na wanasiasa wanautumia kutimiza malengo yao.

Mfano kwa uchache, Ansbert Ngurumo, Kubenea, Dereva wa Lissu na sasa Lema wametumia udhaifu huu. Lema aliwahi sema kwa uwazi mpango ulioshindwa wa kumtoroshea Kenya mwanachama wao wa kule Mbozi Mdude, hakuna aliyetilia maanani. MIPAKA yetu haipo salama ndio maana Wasomali wanavuka wanavyopenda kwenda wanakotaka.
 
Mbowe naye kakimbilia wapi hili picha wanalotengeneza wala halina mashiko.
 
Back
Top Bottom