Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Mbona wewe hujauwawa na ni mpinzani tangu enzi ya Mkapa?
Ben saanane alifanyaje?

Azory gwanda?

Lwajabe?

Chacha wangwe?

Alphonce Mawazo?

Kama si Mungu Tundu Lissu mngemuondosha
 
Mkuu hujawazoea tu hawa CHADEMA!

Lema alienda Kenya kuwatafutia watoto wake shule na kuichomea TZ UNHCR ili nchi ionekana haipo salama.

Hakuna mtu anashughulika na Lema sasa hana ishu.

Ben saanane ilikuwaje? Azory Gwanda? Lwajabe? Akwilina? Alphonse Mawazo? Chacha wangwe?
 
Kwani nyumbani kwa Mbowe mlikwenda kufuata nini?

Mwacheni aokoe maisha yake. Matukio anayokumbana nayo anayajua mwenyewe. Tanzania mpinzani akienda kuripoti polisi anaambiwa mweke vitasa Kwanza.
 
Ilipaswa ufeel uchungu wa risasi
 
Mungu hata kama hajajibu unavyotaka atabaki kuwa Mungu maana hapangiwi endelea kumuamini atakujibu kwa wakati wake maana hachelewi wala hawahi
 
Nothing is fake here bro...

Call it another era in TZ politics
 
Lissu sio mjinga usipende puuza maneno ya mtu na bora amesema ,mfano huenda ni wahuni fulani na je unajua leo Kama ikitokea Lissu akadhulika unafikiri lipi laweza kutokea, mbona mnajitoa ufahamu, elewa mnajifanya wazalendo ila hakuna kitu,zaidi ya ushabiki usiokua na maana, acheni kujitoa ufahamu, niliwahi sema humu Tz kunabwanafiki sana na wengi ndo mharibia JPM,kwa kujikosoa
 
Dereva wake anayesemekana alionatukio zima kwa nini harudishwi nchini!!!!?
Nyie ndio mnaofanya polisi waonekane
kuwa jumuia ya CCM kwahiyo dereva wa Lissu amekuwa polisi? kwa watu wenye akili upelelezi si ni taaluma watu wanakalia desk na kugraduate? ila daah! Nchi hii ujinga ni tatizo sugu kwakweli
 
Mungu hata kama hajajibu unavyotaka atabaki kuwa Mungu maana hapangiwi endelea kumuamini atakujibu kwa wakati wake maana hachelewi wala hawahi
Sina mengi ya kuongea zaidi ya hayo na imekua, nataka uelewe kwamba mungu hupitia kwa watu tofauti ,mmekuwa watu kudhiaki, kutukana, nasema ngoja tuone kupitia handiko lako,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…