Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una wazimu nini?Hivi, tufanye nini ili tuwaelimishe hawa wafuasi wa Lissu waelewe mpango mkakati wa Lissu na Bob Amsterdam kwa nchi yetu??
Dikteta siku zote huishia pabaya mtaona.Wananchi walipokataa kuwaunga mkono kwenye maandamano yao, sasa wamebuni njia nyingine ya kuichafua serikali iliyoko madarakani.
imbecileD=Diabol no more no less!
Ben saanane alifanyaje?Mbona wewe hujauwawa na ni mpinzani tangu enzi ya Mkapa?
Mkuu hujawazoea tu hawa CHADEMA!
Lema alienda Kenya kuwatafutia watoto wake shule na kuichomea TZ UNHCR ili nchi ionekana haipo salama.
Hakuna mtu anashughulika na Lema sasa hana ishu.
Ujinga mzigo pole sanaHakuna ajuae sababu hata dereva aliyekua nae ambaye alikua shahidi mzuri amefichwa Ubelgiji. Inafikirisha sana hii
Mimi na siasa ni vitu viwili tofauti,kilichonileta hapa ni hiyo avatar yako tu 😋Absolutely ridiculous[emoji848][emoji848]
Wengine mnamiliki vichwa kama sanduku la kubebea meno tuHakuna ajuae sababu hata dereva aliyekua nae ambaye alikua shahidi mzuri amefichwa Ubelgiji. Inafikirisha sana hii
Ilipaswa ufeel uchungu wa risasiWakiondoka wote shamba litaliwa na ngedere, walitakiwa kupambana mbona BobWine wa uganda hajakimbia nchi anapambana? Julius Malema wa Africa kusini, Maalim seif hajakimbia? Kama viongozi wa chadema ni waoga kiasi hiki ni wazi wabongo wote ni majejeta.
Zanzibar kule wamepambana kiasi chao na bado mapambano yanaendelea kwann wabongo ni waoga kiasi hiki?
Lissu hapaswi kukimbia pia yeye ni mgombea urais dunia inamfahamu sasa sana madam alisema wanataka kumuua alitakiwa atulie nchini, kumuua kiongozi wa upinzani ulimwengu unakuwa macho sana. Aende kwa matibabu halaf arudi.
Mungu hata kama hajajibu unavyotaka atabaki kuwa Mungu maana hapangiwi endelea kumuamini atakujibu kwa wakati wake maana hachelewi wala hawahiNaanza kuamini,afrika organ muhim za nchi ,ndo zinaharibu taswila za nchi zao,
Hii ni shida juu ya shida, nimefunga siku kumi nne, lakini sielewi mbona mungu Kama kweli u mkweli uniambii lazida japo ulisema nitafute mti mrefu kuliko yote tz nami sio mtafasili Sana wa maandiko nimejitahidi nimeuliza sipati jibu mpaka mda huu, mti mrefu ni upi? Wana wa mungu,
Ok mungu pitia kwa viumbe vyako ulivyovileta Tanzania naomba nijulishwe mti mrefu kuliko yote Tanzania nini maana yake
Nothing is fake here bro...I hope this is fake news.
Otherwise, nini kinaendelea hapa Tanzania?
Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020
Gazeti la The Standard la Kenya linaripoti kuwa Lema na familia yake wamekamatwa eneo la Kajiado wakivuka mpaka wa Namanga kwa tax kutorokea Kenya kwa hofu ya kuuawa. Zaidi.... Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Kajiando nchini...www.jamiiforums.com
Wengine mnamiliki vichwa kama sanduku lakubebea meno tu
Lissu sio mjinga usipende puuza maneno ya mtu na bora amesema ,mfano huenda ni wahuni fulani na je unajua leo Kama ikitokea Lissu akadhulika unafikiri lipi laweza kutokea, mbona mnajitoa ufahamu, elewa mnajifanya wazalendo ila hakuna kitu,zaidi ya ushabiki usiokua na maana, acheni kujitoa ufahamu, niliwahi sema humu Tz kunabwanafiki sana na wengi ndo mharibia JPM,kwa kujikosoaHuu Sasa wanaoleta wapinzani ni upumbavu.
Lissu kafanya kampeni miezi miwili ametembea chocho zote mchana na usiku salama salmini leo baada ya kushindwa uchaguzi anadai eti anataka kuuwawa.
Lema kawa mbunge zaidi ya miaka kumi salama salmini baada yakushindwa ubunge nae anadai anataka kuuwawa. Kick za kipumbavu!
Magufuli ni wakati wake umefika wa kuonyesha He's real tyrant.Huyu Lema ndiye alikuwa anadanganya wenzie kwamba,"HAKUNA DHAMBI MBAYA KAMA UOGA".
Mara,"NO FEAR NO HATE".
Vijana mnaotumiwa tu kama mazuzu mna la kujifunza sasa.
Nyie ndio mnaofanya polisi waonekaneDereva wake anayesemekana alionatukio zima kwa nini harudishwi nchini!!!!?
Sina mengi ya kuongea zaidi ya hayo na imekua, nataka uelewe kwamba mungu hupitia kwa watu tofauti ,mmekuwa watu kudhiaki, kutukana, nasema ngoja tuone kupitia handiko lako,Mungu hata kama hajajibu unavyotaka atabaki kuwa Mungu maana hapangiwi endelea kumuamini atakujibu kwa wakati wake maana hachelewi wala hawahi
We ndio upunguze wenge.Hahahaa. Punguza jazba.