Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Mbona wewe hujauwawa na ni mpinzani tangu enzi ya Mkapa?
Ben saanane alifanyaje?

Azory gwanda?

Lwajabe?

Chacha wangwe?

Alphonce Mawazo?

Kama si Mungu Tundu Lissu mngemuondosha
 
Mkuu hujawazoea tu hawa CHADEMA!

Lema alienda Kenya kuwatafutia watoto wake shule na kuichomea TZ UNHCR ili nchi ionekana haipo salama.

Hakuna mtu anashughulika na Lema sasa hana ishu.

Ben saanane ilikuwaje? Azory Gwanda? Lwajabe? Akwilina? Alphonse Mawazo? Chacha wangwe?
 
Kwani nyumbani kwa Mbowe mlikwenda kufuata nini?

Mwacheni aokoe maisha yake. Matukio anayokumbana nayo anayajua mwenyewe. Tanzania mpinzani akienda kuripoti polisi anaambiwa mweke vitasa Kwanza.
 
Wakiondoka wote shamba litaliwa na ngedere, walitakiwa kupambana mbona BobWine wa uganda hajakimbia nchi anapambana? Julius Malema wa Africa kusini, Maalim seif hajakimbia? Kama viongozi wa chadema ni waoga kiasi hiki ni wazi wabongo wote ni majejeta.

Zanzibar kule wamepambana kiasi chao na bado mapambano yanaendelea kwann wabongo ni waoga kiasi hiki?

Lissu hapaswi kukimbia pia yeye ni mgombea urais dunia inamfahamu sasa sana madam alisema wanataka kumuua alitakiwa atulie nchini, kumuua kiongozi wa upinzani ulimwengu unakuwa macho sana. Aende kwa matibabu halaf arudi.
Ilipaswa ufeel uchungu wa risasi
 
Naanza kuamini,afrika organ muhim za nchi ,ndo zinaharibu taswila za nchi zao,
Hii ni shida juu ya shida, nimefunga siku kumi nne, lakini sielewi mbona mungu Kama kweli u mkweli uniambii lazida japo ulisema nitafute mti mrefu kuliko yote tz nami sio mtafasili Sana wa maandiko nimejitahidi nimeuliza sipati jibu mpaka mda huu, mti mrefu ni upi? Wana wa mungu,
Ok mungu pitia kwa viumbe vyako ulivyovileta Tanzania naomba nijulishwe mti mrefu kuliko yote Tanzania nini maana yake
Mungu hata kama hajajibu unavyotaka atabaki kuwa Mungu maana hapangiwi endelea kumuamini atakujibu kwa wakati wake maana hachelewi wala hawahi
 
I hope this is fake news.

Otherwise, nini kinaendelea hapa Tanzania?

Nothing is fake here bro...

Call it another era in TZ politics
 
Huu Sasa wanaoleta wapinzani ni upumbavu.
Lissu kafanya kampeni miezi miwili ametembea chocho zote mchana na usiku salama salmini leo baada ya kushindwa uchaguzi anadai eti anataka kuuwawa.
Lema kawa mbunge zaidi ya miaka kumi salama salmini baada yakushindwa ubunge nae anadai anataka kuuwawa. Kick za kipumbavu!
Lissu sio mjinga usipende puuza maneno ya mtu na bora amesema ,mfano huenda ni wahuni fulani na je unajua leo Kama ikitokea Lissu akadhulika unafikiri lipi laweza kutokea, mbona mnajitoa ufahamu, elewa mnajifanya wazalendo ila hakuna kitu,zaidi ya ushabiki usiokua na maana, acheni kujitoa ufahamu, niliwahi sema humu Tz kunabwanafiki sana na wengi ndo mharibia JPM,kwa kujikosoa
 
Dereva wake anayesemekana alionatukio zima kwa nini harudishwi nchini!!!!?
Nyie ndio mnaofanya polisi waonekane
kuwa jumuia ya CCM kwahiyo dereva wa Lissu amekuwa polisi? kwa watu wenye akili upelelezi si ni taaluma watu wanakalia desk na kugraduate? ila daah! Nchi hii ujinga ni tatizo sugu kwakweli
 
Mungu hata kama hajajibu unavyotaka atabaki kuwa Mungu maana hapangiwi endelea kumuamini atakujibu kwa wakati wake maana hachelewi wala hawahi
Sina mengi ya kuongea zaidi ya hayo na imekua, nataka uelewe kwamba mungu hupitia kwa watu tofauti ,mmekuwa watu kudhiaki, kutukana, nasema ngoja tuone kupitia handiko lako,
 
Back
Top Bottom