Stunt
Lema hakuuawa alipokuwa mbunge leo sio mbunge kabakiwa na suruali nani anataka kumuua?
Lema ni threat kwa nani??
Kama personal issue alikabili tu
Wafuasi anao, mashabiki wasio na vitambulisho vya kura, na ambao wanavyo hawapigi kura kisa hawaamini uchaguzi, na hapo hapo wanategemea mtu wao ashindeMr Mzungu hata wafuasi hana maana wangeandamana alipoitisha maandamano yake kwenda sijui ubalozini
Mtu yeyote smart hawezi kutoa Maoni Kama haya, bila shaka haya ni mawazo ya wale Wanaoitwa Lumumba Buku7Mungu sasa ana waswitch wanajiumbua wenyewe.
Lema anakipi mpaka kutishiwa huyu fala?
Hawana kazi za kufanya hapa bongo ubunge wao umekoma wanatafuta fursa za maisha U.S na Europe wakabebe maboksi kwakisingizio cha kutishiwa kuuwawa.
Sio jambo jema kuifananisha nchi ya Kidemokrasia inayofuata misingi ya haki za binadamu na Zaire ya Mobutu au Uganda ya AminIdd Amin alipokuwa anachinja watu kuna mtu aliandamana? Mobutu kuna mtu aliandamana?
Mtu akishakutia hofu hta afanye nni huwezi onyesha wazi. Ndio maana Rwanda pamoja na kagame kuchinja wahutu mamilion hutawahi ona watu wanaandamana ila je ina maana wameridhika na Kagame?
Ben Saanane mlisema hivyo hvyo!
Acha porojo kwetu huku ni 15000Nimeona kwenye magazeti leo mfuko wa simenti umefika elfu 35,basi punguzeni bei tujenge nyumba jamaniiii tupate maendeleo make wapinga maendeleo hawapo tena
Watapata taabu sanaaaaLema ameshafulia huyo wana Arusha wameshamkataa sasa anatafuta attention kutoka kwa mabeberu kama Lissu lakini watanyooka tu.
Hongera sana ndugu,tafuta gazet la nipashe la leoAcha porojo kwetu huku ni 15000
Nisome gazeti wakati ,nazunguka hatua Mia 200,hapo hard wareHongera sana ndugu,tafuta gazet la nipashe la leo
Kama mlikiona kwa macho kila kilichofanyika kwenye uchaguzi huu, kwann hamkuitana kufanya maandamano wakati uchaguzi unaendelea?? Mkaendelea kulinda kura zenu kwenye vituo vya kupigia kura na kuleta filigisu baada ya matokeo yalipotangazwa??Mtueleweshe kipi wakati kila kilichofanyika kwenye uchaguzi huu tumekiona kwa macho?
Unachukua panga, mundu, rungu, mshale unaenda kushambuliana na vyombo vya ulinzi kisha utegemee kutoka salama?Hivi mnadhani hatujui kinachofanyika. Mnataka Lema asitafute usalama wa maisha yake, wakati tumeona watu wengine wameuwawa na kushambuliwa, huku hakuna hatua zozote zimechukuliwa?
Jibu hoja, mbona una jazba??Una wazimu nini?
Una hoja au kihoja we binti mfaume?Jibu hoja, mbona una jazba??
Jibu hoja, punguza jazba.We ndio upunguze wenge.
Sio stupid.Stupid Kenyans
Dalili zinaonyesha bado umehamaki. Ukitulia jibu hoja au swali nililokuuliza.Una hoja au kihoja we binti mfaume?