Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Wachumia tumbo! Yaani ufanye kampeni miezi miwili uwe mpinzani miaka 5 usiuwawe ila mara baada tu ya kupoteza ubunge eti uhai wako uko mashakani hawa wanatufanya wote wajinga.!
The same kwa Lissu umekaa hapa 2month ukifanya Campain, ukizunguka Nchi nzima uchaguzi umeshindwa eti ooh natishiwa maisha stupid.!
Stunt

Lema hakuuawa alipokuwa mbunge leo sio mbunge kabakiwa na suruali nani anataka kumuua?

Lema ni threat kwa nani??

Kama personal issue alikabili tu
 
Nimeona kwenye magazeti leo mfuko wa simenti umefika elfu 35,basi punguzeni bei tujenge nyumba jamaniiii tupate maendeleo maaana yake wapinga maendeleo hawapo tena
 
Mungu sasa ana waswitch wanajiumbua wenyewe.
Lema anakipi mpaka kutishiwa huyu fala?

Hawana kazi za kufanya hapa bongo ubunge wao umekoma wanatafuta fursa za maisha U.S na Europe wakabebe maboksi kwakisingizio cha kutishiwa kuuwawa.
Mtu yeyote smart hawezi kutoa Maoni Kama haya, bila shaka haya ni mawazo ya wale Wanaoitwa Lumumba Buku7
 
Idd Amin alipokuwa anachinja watu kuna mtu aliandamana? Mobutu kuna mtu aliandamana?

Mtu akishakutia hofu hta afanye nni huwezi onyesha wazi. Ndio maana Rwanda pamoja na kagame kuchinja wahutu mamilion hutawahi ona watu wanaandamana ila je ina maana wameridhika na Kagame?
Sio jambo jema kuifananisha nchi ya Kidemokrasia inayofuata misingi ya haki za binadamu na Zaire ya Mobutu au Uganda ya Amin

Msitake kusema kuwa watanzania walitiwa hofu,watanzania wanajua hakuna dhuluma,kama kuna dhuluma wao wenyewe wataandamana na kutaka haki.

Pia usifananishe Rwanda na Tanzania, genocide ya Rwanda ilipofanyika kila mtu aliona kilichotokea, acha kupotosha umma kwa mifano ya hovyo.
 
Nimeona kwenye magazeti leo mfuko wa simenti umefika elfu 35,basi punguzeni bei tujenge nyumba jamaniiii tupate maendeleo make wapinga maendeleo hawapo tena
Acha porojo kwetu huku ni 15000
 
aiseee dah, wanamrudisha na familia yake???😦
 
Mtueleweshe kipi wakati kila kilichofanyika kwenye uchaguzi huu tumekiona kwa macho?
Kama mlikiona kwa macho kila kilichofanyika kwenye uchaguzi huu, kwann hamkuitana kufanya maandamano wakati uchaguzi unaendelea?? Mkaendelea kulinda kura zenu kwenye vituo vya kupigia kura na kuleta filigisu baada ya matokeo yalipotangazwa??
 
Hivi mnadhani hatujui kinachofanyika. Mnataka Lema asitafute usalama wa maisha yake, wakati tumeona watu wengine wameuwawa na kushambuliwa, huku hakuna hatua zozote zimechukuliwa?
Unachukua panga, mundu, rungu, mshale unaenda kushambuliana na vyombo vya ulinzi kisha utegemee kutoka salama?

Sikiliza. Acha kuongea story ya upande mmoja. Ongelea na mikakati ya hao wanasiasa wahalifu wanavyopanga kutaka kulipua public places kama vituo vya mafuta na kadhalika.

Lema et all wamesema kuwa hawaogopi kufa and so forth... sasa hili la kupanga mikakati ya kigaidi kama polisi wanavyodai ni hakika linawakimbiza nchi wakidai wanatishiwa..
 
Naongopa pale atakapo mteua makonda aanze kazi yake pale alipoishia
 
Huyu anakimbia dhiki sio kutishiwa Maisha, ameona sasa hana ubunge atakufa njaa bora akimbilie kwa wazungu akafugwe.
 
Back
Top Bottom