Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

Hamna Mkuu,hali iko mbaya kwa nchi yangu pendwa

LISU anaishi ubalozi wa Germany huyu ni Chadema

Habari zinasema LEMA yuko ubalozi wa Marekani Kenya kenda kuomba ukimbizi,huyu ni Chadema

Mazurui yuko ndani chini ya uangalizi wa Polisi, ukweli hajulikani yuko kituo gani, huyu ni ACT-WAZALENDO

na wengi mengineo

kama unafurahia hii hali kwa utashi wa siasa basi furahia ni haki yako..

Kwa upande wangu naoa AIBU kuwa Mtanzania kwa sasa
Sinema
 
Kwahiyo unaamini Lissu alipata kura nyingi zaidi ya Magufuli? Anaweza akawa na wafuasi wengi lkn hajapata kura za kuzidi.
Mr Mzungu hata wafuasi hana maana wangeandamana alipoitisha maandamano yake kwenda sijui ubalozini
 
Huku mgombea wa urais kwa Lissu akikimbilia ubalozi wa Ujerumani, naye bwana Lema amekimbilia Kenya, wote wanadai kuna vitisho dhidi ya uhai wao. Sifahamu kuna nini huko Tanzania maana uchaguzi umeisha, upinzani ulifutiliwa mbali, na hata maandamano yaliangukia pua, hivyo chama cha CCM kimeachiwa kila kitu hakina chochote cha kuogopa tena, au sababu za kuwaua waliokua wapinzani.
Jameni Watz yaacheni hayo mamboz, kumbatieni amani na muendelee na ujenzi wa nchi ili tuendelee na ligi zetu za baina ya haya mataifa yetu, pia rejsheni mitandao watu warudi kwenye hali yao ya kawaida.

Lakini Lema kukimbilia Kenya sidhani kama ilikua busara, bora angejitosa kwenye ubalozi wowote wa mataifa ya Ulaya, maana ikumbukwe rais Uhuru alikua wa kwanza kutoa hongera kwa Magufuli, hivyo sidhani kama atamlinda ipasavyo.
------------------------------

What you need to know:​

  • He was received at the Namanga border by his lawyer, prof George Luchiri Wajackoyah, who said the politician will seek asylum in Kenya.
  • Mr Lema was arrested by Tanzanian authorities together with other politicians in the aftermath of the October 28 elections, but was later released on police bond without charge.
A Tanzanian ex-MP has fled to Kenya with his family to escape what he terms as threats to his life, as opposition leader Tundu Lissu, who is seeking refuge in the German embassy, called for non-recognition of the country’s recent polls.
Godbless Lema, the former MP for Arusha Urban Constituency, fled by road with his wife and three children.

He was received at the Namanga border by his lawyer, George Luchiri Wajackoyah, who said the politician will seek asylum in Kenya.
“I have handed him over to the Kenyan police for processing. He is ready to die in a Kenyan jail than by the Tanzanian police who are still pursuing him as we speak,” said prof Wajackoyah in an interview with the Nation, even as he expressed fears of a possible deportation of the politician.

Several arrests​

Mr Lema was arrested by Tanzanian authorities together with other politicians in the aftermath of the October 28 elections, but was later released on a police bond without a charge.

President John Pombe Magufuli was re-elected and sworn in for a second term in the disputed poll, whose outcome the opposition has rejected. The National Electoral Commission (NEC) has dismissed the claims of fraud.

Freeman Mbowe, chairman of Tanzania’s biggest opposition party, Chadema, was arrested alongside Mr Lema and former mayor of Ubungo Municipality, Boniface Jacob, in a crackdown intended to neuter demonstrations called to protest against alleged poll irregularities.

Lissu, the Chadema presidential candidate, was also arrested but later freed after interrogation by the police and is currently holed up in the Dar es Salaam German embassy.

"Tundu Lissu was shot in the past, we take no risks when it comes to his safety. We are currently in discussions with various governments to call for the non-recognition of the presidential election. We are investigating the wrongdoings of the CCM and compiling evidence to file a complaint to the ICC," said Mr Lissu’s lawyer, Mr Robert Amsterdam, in a statement sent to the Nation.

"We are also working on sanctions to be imposed on targeted individuals. The search for justice concerning the state terror that has been unleashed continues, for Tundu Lissu, Chadema members and Tanzanian citizens."

Mr Amsterdam is a partner at international law firm, Amsterdam & Partners LLC, which has offices in Washington DC and Istanbul.

Protection for Lema​

Mr Lissu, 52, returned to Tanzania in July after three years in exile recovering from 16 bullet wounds sustained in what he says was a politically motivated assassination attempt.

The Tanzanian US embassy is said to be following closely the crackdown against opposition politicians.

Prof Wajackoyah said the US embassy wants Mr Lema given protection by the United Nations High Commission for Refugees.

The two-term ex-MP was to spend the night in Kajiado police cells, prof Wajackoyah said.

Many opposition candidates lost their seats amid claims of ballot box stuffing and denial of access for their party agents into polling stations.


Mr Mbowe lost his long-held seat at Hai in the Kilimanjaro region, one of several lost by the opposition.

President Magufuli was declared to have won 84 percent of the vote, but the opposition demanded a re-run of the polls claiming widespread fraud.

The National Electoral Commission (NEC) declared Mr Magufuli to have garnered 12.5 million votes against Mr Lissu’s 1.9 million.
The Tanzanian opposition has faced years of attacks, arrests and a ban on political rallies by President Magufuli’s administration.
In the volatile Zanzibar island, opposition presidential candidate Seif Sharif Hamad was also arrested along with other leaders of the ACT-Wazalendo party after calling for protests against the election results.

There were claims of at least 10 deaths in the lead-up to the Zanzibar polls where the ruling Chama Cha Mapinduzi candidate Hussein Mwinyi was declared winner.

 
Lema rudi haraka ujenge uchumi wa Arusha hata ukiwa nje ya ofisi ya ubunge
 
Jamani, huyu Godbless Lema mbona hakufanya jitihada za kwenda Kenya huko UNHCR na kusema kuwa maisha yake yako hatarii na kuomba ukimbizi wakati wa kampeini za uchaguzi?

Naomba mnisaidie
 
Jamani, huyu Godbless Lema mbona hakufanya jitihada za kwenda Kenya huko UNHCR na kusema kuwa maisha yake yako hatarii na kuomba ukimbizi wakati wa kampeini za uchaguzi???
Naomba mnisaidie

Blind followers wote wa Lissu wanaitikia rhumba beats za Bob Amsterdam (a political mercenary) bila wao kujua!
 
Tundu Lissu alishambuliwa kwa risasi akiwa na hiyo parliamentary immunity. Kuna uchunguzi wowote ulifanyika?
Uliwahi kuyashuhudia hayo matundu 16 ya risasi kwenye mwili wake?
Hivi upigwe risasi 16 halafu upone kweli?
Huenda siku hiyo alikua amevaa bulletproof.
 
Kwa mambo yanayofanywa na awamu hii sishangai chochote, wewe unaruhusiwa kuropoka tu kwasababu bado hayajakufika.

Lissu mpaka leo mmegoma kumpa ulinzi anaishi ubalozini kwa wazungu ndani ya nchi yake kwasababu gani?

Haya yanawezekana ndio maandalizi ya jamaa kujiongezea muda wa kubaki madarakani, anaona huu ndio wakati wake wa kuwaondoa wapinzani wa kweli wote. Ndani ya hii miaka mitano ijayo, watanzania tujiandae kuona mengi sana ya kushangaza.
Mtu kutwa nzima anaitukana nyumba yake ndani na nje, halafu leo arudi aombe ulinzi, kawaona viongozi aliokua anawatukana hawana akili wampe ulinzi?, Acha avune alichopanda
 
hana jeshi.
hana silaha.
hata maneno yake ayadhuru,ni kunguru tu kama kunguru wa Zanzibar.
Maalim,Zito,Mbowe wenye vyama awajatishiwa ndo atishiwe yeye kinyamkela?
Aombe visa kwa utaratibu tu kisha asepe akatafute maisha anapotaka,akuna mwenye time nae.

Ben Saanane alikuwa na nini? Pia jifunze matumizi ya H.
 
Hivi, tufanye nn ili tuwaelimishe hawa wafuasi wa Lisu waelewe mpangomkakati wa Lisu na Bob Amsterdam kwa nchi yetu??
Tuwaeleze ni nani alimpiga Lissu risasi 16, nani alizitoa zile CCTV camera's pale kwenye makazi yake na waliompiga risasi walichukuliwa hatua gani mpaka sasa?
 
Tuwaeleze ni nani alimpiga Lissu risasi 16,nani alizitoa zile CCTV camera's pale kwny makazi yake na waliompihs risasi walichukuliwa hatua gani mpk sasa?
Jibu swali langu kwanza nililouliza, ukimaliza kunijibu nitakujibu maswali yako.
 
Back
Top Bottom