Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,874
- 5,685
Atarudia kazi yake ya zamani ya wizi wa magariLEMA bila siasa atafanya mishe gani ili aweze kuishi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atarudia kazi yake ya zamani ya wizi wa magariLEMA bila siasa atafanya mishe gani ili aweze kuishi?
SinemaHamna Mkuu,hali iko mbaya kwa nchi yangu pendwa
LISU anaishi ubalozi wa Germany huyu ni Chadema
Habari zinasema LEMA yuko ubalozi wa Marekani Kenya kenda kuomba ukimbizi,huyu ni Chadema
Mazurui yuko ndani chini ya uangalizi wa Polisi, ukweli hajulikani yuko kituo gani, huyu ni ACT-WAZALENDO
na wengi mengineo
kama unafurahia hii hali kwa utashi wa siasa basi furahia ni haki yako..
Kwa upande wangu naoa AIBU kuwa Mtanzania kwa sasa
Mr Mzungu hata wafuasi hana maana wangeandamana alipoitisha maandamano yake kwenda sijui ubaloziniKwahiyo unaamini Lissu alipata kura nyingi zaidi ya Magufuli? Anaweza akawa na wafuasi wengi lkn hajapata kura za kuzidi.
Jamani, huyu Godbless Lema mbona hakufanya jitihada za kwenda Kenya huko UNHCR na kusema kuwa maisha yake yako hatarii na kuomba ukimbizi wakati wa kampeini za uchaguzi???
Naomba mnisaidie
Uliwahi kuyashuhudia hayo matundu 16 ya risasi kwenye mwili wake?Tundu Lissu alishambuliwa kwa risasi akiwa na hiyo parliamentary immunity. Kuna uchunguzi wowote ulifanyika?
Mtu kutwa nzima anaitukana nyumba yake ndani na nje, halafu leo arudi aombe ulinzi, kawaona viongozi aliokua anawatukana hawana akili wampe ulinzi?, Acha avune alichopandaKwa mambo yanayofanywa na awamu hii sishangai chochote, wewe unaruhusiwa kuropoka tu kwasababu bado hayajakufika.
Lissu mpaka leo mmegoma kumpa ulinzi anaishi ubalozini kwa wazungu ndani ya nchi yake kwasababu gani?
Haya yanawezekana ndio maandalizi ya jamaa kujiongezea muda wa kubaki madarakani, anaona huu ndio wakati wake wa kuwaondoa wapinzani wa kweli wote. Ndani ya hii miaka mitano ijayo, watanzania tujiandae kuona mengi sana ya kushangaza.
Hivi, tufanye nini ili tuwaelimishe hawa wafuasi wa Lissu waelewe mpango mkakati wa Lissu na Bob Amsterdam kwa nchi yetu?Blind followers wote wa Lissu wanaitikia rhumba beats za Bob Amsterdam (a political mercenary) bila wao kujua!
hana jeshi.
hana silaha.
hata maneno yake ayadhuru,ni kunguru tu kama kunguru wa Zanzibar.
Maalim,Zito,Mbowe wenye vyama awajatishiwa ndo atishiwe yeye kinyamkela?
Aombe visa kwa utaratibu tu kisha asepe akatafute maisha anapotaka,akuna mwenye time nae.
Punguza jazba, jibu swali.Jisaidie kivyako huko usituhusishe tunye pamoja na wewe
Kenya kuna korona atageuka tu
Let them go and leave us with our good, peaceful country!
Mbona wewe ni mpinzani lakini unaishi kwa amani
Jazba gani wewe? Wezi wa kura nyiePunguza jazba, jibu swali.
Tuwaeleze ni nani alimpiga Lissu risasi 16, nani alizitoa zile CCTV camera's pale kwenye makazi yake na waliompiga risasi walichukuliwa hatua gani mpaka sasa?Hivi, tufanye nn ili tuwaelimishe hawa wafuasi wa Lisu waelewe mpangomkakati wa Lisu na Bob Amsterdam kwa nchi yetu??
Jibu swali, punguza jazba.Jazba gani wewe? Wezi wa kura nyie
Jibu swali langu kwanza nililouliza, ukimaliza kunijibu nitakujibu maswali yako.Tuwaeleze ni nani alimpiga Lissu risasi 16,nani alizitoa zile CCTV camera's pale kwny makazi yake na waliompihs risasi walichukuliwa hatua gani mpk sasa?