Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 4,672
- 9,806
Uongozi wa hovyo...kumbuka dunia siyo mbaya bali walimwengu.Nchi ya hovyo kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongozi wa hovyo...kumbuka dunia siyo mbaya bali walimwengu.Nchi ya hovyo kabisa
Kwani kwa kuongea huko kavunja sheria gani, mbona wengi tu wanaongea, ukweli aliosema umewauma.Yeye Lema kama ana details azimwage, zaidi ya hapo itakuwa Umbeya...Sasa Jeshi la polisi liache kumhoji mhusika mwenyewe Mwingira liende likahangaike na watu wengine?... Yeye Mwingira anasema alifanyiwa unyama aende akatoe taarifa kwa jeshi la polisi na lenyewe lifanye uchunguzi..
Kama ameamua kumuachia Mungu, akae kimya na Mungu mwenyewe atapima haki iko wapi...kupayukapayuka ni dalili za uhuni na kutaka huruma au favor kutoka kwa mamlaka mpya...
Investigation analysis kwa watu mashuhuri huwa inaanzia mbali ili kutafuta pa kuanzia, ambapo ni tofauti na wewe unayetaka kukamatwa kwa kutofanya sexless.Wabunge Aeshy na Manyanya wanaingiaje ktk hili suala la askofu Mwingira? Naombanieleweshwemm wa huku Nakapanya
Anatishia nyau!!?Lema anajua kina Manyanya wana details zote Za vitu Mwingira kafanyiwa; sasa anamshauri waziri apate hizo details ili akimjibu Mwingira awe Na details'
Akimjibu KWa kukurupuka, Mwingira anaweza kuja Na facts ambazo sio nzuri Sana zitakazoshangaza kuhusu ukatili ambao Mwingira kadai kafanyiwa!
Muwe mnafungua mabano hata mende wapenye mkuuJasusi rosta, aliporatibu kurudi kwa ngoyayi ndani ya ccm, something' was cooked up, ilikuwa ni suala la muda tu kwa mchatle ku rest,
Dunia ina mambo na mambo ndio hayoooo
Yahani bado kuna watu wanaliamiani jeshi la polisi la bongo!! Jeshi la polosi lilishapoteza imani siku nyingi ndio maana raia wenye akili wanaamua kutopotea mida wao. Mfano waliahidi watatuletea mlejesho suala la Mangula kupewa sumu wakapigwa stop. Sass hayo masuala mengine tunajuaje kama hawatapigwa stopYeye Lema kama ana details azimwage, zaidi ya hapo itakuwa Umbeya...Sasa Jeshi la polisi liache kumhoji mhusika mwenyewe Mwingira liende likahangaike na watu wengine?... Yeye Mwingira anasema alifanyiwa unyama aende akatoe taarifa kwa jeshi la polisi na lenyewe lifanye uchunguzi..
Kama ameamua kumuachia Mungu, akae kimya na Mungu mwenyewe atapima haki iko wapi...kupayukapayuka ni dalili za uhuni na kutaka huruma au favor kutoka kwa mamlaka mpya...
Hata sabaya aweza kumfafanulia yaliyokuwa yakiendelea awamu 5 Kuhusu vikosi kazi visivyotambulika kisheria.Kama huajelewa uwezo wako Ni Mdogo
Kutomwamini ndo uendawazimu zaidi-unashindwaje kumwamini mtu aliyetabiri mambo mazito yakatokea kama alivyotabiri? 1. Alitabiri kuhusu Mwendazake na ikawa 2. Alitabiri kuhusu kufungwa Sabaya na ikawa....
Makatili yote yapo CCMNi kupitia mtandao wa twitter ambako ameandika ujumbe huu na kuweka picha ya Simbachaweni.
"Kabla ujamjibu Prophet Mwingira, nakushauri kaa na Mbunge Aeshi Hilaly na Stella Manyanya, wanajua baadhi ya mambo. Usijibu bila uelewa. Kwani Prophet Mwingira akirudi kufafanua, Tanzania inaweza kuomba kuamia Urusi. Serikali ya CCM ina watu wakatili sana. "
Hakunaga jibu la kipumbavu ila Kuna swali la kipumbavuJibu la kipumbavu toka kwa mpumbavu
Wenye akili hawaangaiki na mtu bali hoja.Kama kaongea jambo jema kwa ajili ya kila mtu ataungwa mkono na kama atakuja kuongea ujinga atasemwa vile vile.Maisha yake binafsi yanabaki kua yake binafsi ila kile anachokitoa kwa jamii ndicho cha muhimu.Lakini viongozi wa dini si kuamini huwa wabakuwa na ndimi nyingi sana, leo wafuasi wa chadema wote wanaona kauli ya Mwingira kama kauli ya kishujaa lakini kesho akigeuka musilaumu binafsi nafikiri mngemupa kutafakari kauli yake halafu muichuje then ndo wote muhamie huko.
Exactly mifisiemu hajawahi shinda since 1995Tanzania hakuna wabunge kwa sasa tuna wana CCM wanaotumia ukumbi wa bunge.
hata huyu sitashangaa 2025 akawa mbungeGwajima alikuwaga mshenga wa El kwa CDM na akawa mwana CDM kwa muda...it was one of his good business....sasa ni mbunge..
Kama yapi hayoYa maana huioni mbona umekalisha makalio yako hapa
Acha michongo!mbona ya mbowe kashindwa kutabiri mwambie atabiri ya mbowe atafungwa miaka mingapi au hafungwi?
"Kaupiga mwingi" ndio maana unaona watu wanatafutanaKwani Mtumishi Josephat Mwingira amesemaje jamani?
Una imani kubwa sana mkuu.Jamani siasa ni mbaya. Unaweza kuta huyo Dada aliyeuawa ni kazi ya Nabii sasa faili linatarajiwa kupelekwa mahakamani basi kalisanua ili kukwepa kama alivyotaka kufanya Mbowe