Godbless Lema amshauri Waziri wa Mambo ya Ndani kukutana na Wabunge Aeshi Hilary na Stella Manyanya kabla ya kumjibu Nabii Mwingira

Godbless Lema amshauri Waziri wa Mambo ya Ndani kukutana na Wabunge Aeshi Hilary na Stella Manyanya kabla ya kumjibu Nabii Mwingira

Yeye Lema kama ana details azimwage, zaidi ya hapo itakuwa Umbeya...Sasa Jeshi la polisi liache kumhoji mhusika mwenyewe Mwingira liende likahangaike na watu wengine?... Yeye Mwingira anasema alifanyiwa unyama aende akatoe taarifa kwa jeshi la polisi na lenyewe lifanye uchunguzi..

Kama ameamua kumuachia Mungu, akae kimya na Mungu mwenyewe atapima haki iko wapi...kupayukapayuka ni dalili za uhuni na kutaka huruma au favor kutoka kwa mamlaka mpya...
Kwani kwa kuongea huko kavunja sheria gani, mbona wengi tu wanaongea, ukweli aliosema umewauma.
 
Wabunge Aeshy na Manyanya wanaingiaje ktk hili suala la askofu Mwingira? Naomba nieleweshwe mm wa huku Nakapanya
Investigation analysis kwa watu mashuhuri huwa inaanzia mbali ili kutafuta pa kuanzia, ambapo ni tofauti na wewe unayetaka kukamatwa kwa kutofanya sexless.
 
Lema anajua kina Manyanya wana details zote Za vitu Mwingira kafanyiwa; sasa anamshauri waziri apate hizo details ili akimjibu Mwingira awe Na details'

Akimjibu KWa kukurupuka, Mwingira anaweza kuja Na facts ambazo sio nzuri Sana zitakazoshangaza kuhusu ukatili ambao Mwingira kadai kafanyiwa!
Anatishia nyau!!?
Tz bado ipo pale pale swala la Mwingila halistui
 
Yeye Lema kama ana details azimwage, zaidi ya hapo itakuwa Umbeya...Sasa Jeshi la polisi liache kumhoji mhusika mwenyewe Mwingira liende likahangaike na watu wengine?... Yeye Mwingira anasema alifanyiwa unyama aende akatoe taarifa kwa jeshi la polisi na lenyewe lifanye uchunguzi..

Kama ameamua kumuachia Mungu, akae kimya na Mungu mwenyewe atapima haki iko wapi...kupayukapayuka ni dalili za uhuni na kutaka huruma au favor kutoka kwa mamlaka mpya...
Yahani bado kuna watu wanaliamiani jeshi la polisi la bongo!! Jeshi la polosi lilishapoteza imani siku nyingi ndio maana raia wenye akili wanaamua kutopotea mida wao. Mfano waliahidi watatuletea mlejesho suala la Mangula kupewa sumu wakapigwa stop. Sass hayo masuala mengine tunajuaje kama hawatapigwa stop
 
Kutomwamini ndo uendawazimu zaidi-unashindwaje kumwamini mtu aliyetabiri mambo mazito yakatokea kama alivyotabiri? 1. Alitabiri kuhusu Mwendazake na ikawa 2. Alitabiri kuhusu kufungwa Sabaya na ikawa....

mbona ya mbowe kashindwa kutabiri mwambie atabiri ya mbowe atafungwa miaka mingapi au hafungwi?
 
Ni kupitia mtandao wa twitter ambako ameandika ujumbe huu na kuweka picha ya Simbachaweni.

"Kabla ujamjibu Prophet Mwingira, nakushauri kaa na Mbunge Aeshi Hilaly na Stella Manyanya, wanajua baadhi ya mambo. Usijibu bila uelewa. Kwani Prophet Mwingira akirudi kufafanua, Tanzania inaweza kuomba kuamia Urusi. Serikali ya CCM ina watu wakatili sana. "
Makatili yote yapo CCM
 
Lakini viongozi wa dini si kuamini huwa wabakuwa na ndimi nyingi sana, leo wafuasi wa chadema wote wanaona kauli ya Mwingira kama kauli ya kishujaa lakini kesho akigeuka musilaumu binafsi nafikiri mngemupa kutafakari kauli yake halafu muichuje then ndo wote muhamie huko.
Wenye akili hawaangaiki na mtu bali hoja.Kama kaongea jambo jema kwa ajili ya kila mtu ataungwa mkono na kama atakuja kuongea ujinga atasemwa vile vile.Maisha yake binafsi yanabaki kua yake binafsi ila kile anachokitoa kwa jamii ndicho cha muhimu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Duh kumbe ndio hii

"Mshindi ni mshindi TU, kati ya aliyepigwa risasi Ili afe azikwe haraka na yule aliyeiba kura Ili aonekane kupendwa nani yupo HAI?"

By Josephat Mwingira
 
Jamani siasa ni mbaya. Unaweza kuta huyo Dada aliyeuawa ni kazi ya Nabii sasa faili linatarajiwa kupelekwa mahakamani basi kalisanua ili kukwepa kama alivyotaka kufanya Mbowe
Una imani kubwa sana mkuu.
 
Back
Top Bottom