Bushesha jr
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 675
- 690
Ukabila hautakusadia deal na factHutaki ukweli ufahamike?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukabila hautakusadia deal na factHutaki ukweli ufahamike?
Joined 2020 ndio imefanya nikujibu ila nilitaka nikuzingue.. haya fuata link hapa chini...MI nataka tujue Ulimboka alitekwa na akina nani? Tusitetee wanasiasa tu, ni Ujinga!
acha papara uchunguzi umeshaanza ila shahidi muhimu aliyeshuhudia tukio amefichwa hivi hebu tumia tu akili ndogo hata ya kuvukia barabara kwanini wanamficha dreva ambaye aliona tukio zima kwanini asihojiwe ili upelelezi uendelee? kuna sababu dreva anajuwaEmpty set yaani upelelezi mnamsubiri dereva wa lissu aje? Yaani hata kuanza hamjaanza mmtaka dereva wa lissu seriously?? Ipo siku unknown assailants watajulikana tu.
Jikite kwenye madaMwambieni aache kulelewa na wanaume kwanza! Badala yake yeye awe mwanaume halisi aje hapa nchini aoiganie hayo akiwa hapa nchini kwake,
huyu chacha wangwe ukitaka kuulizia wanakuambia unataka kukwepesha mada wahusika ni wao kisa uenyekiti hauonjwi kama sumuHalafu chadema ni wanafiki Sana wanazungumzia kuhusu Ben 8 lakini hawasemi kuhusu Chacha Wangwe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
hizo ndiyo huwa hamtaki kuzisikia zikizungumziwa kwani chacha hakuwa wa kwenu mbona hamumzungumziagiUmeandika hoja duni sana !
mbowe mafia ni wewe tu ndiyo humjui wenzio wana mjua vizuri sanaEndelea kujitoa ufahamu...Mbowe ndio aliyeondoa ulinzi kwenye makazi ya viongozi hapo Dodoma ehee? Mbowe ndiyo aliyeoondoa CCTV camera/Footage kwenye jengo la waziri au siyo?
Mbowe alivyotaka Scotland Yard waje kufanya uchunguzi na yeye huyo huyo ndio akazuia wasije au siyo?
alikuwa anataka waje kwakuwa alijuwa hawatakuja sasa tuambie ni nini kinamfanya lissu asije na dreva wake wafungue jalada upelelezi ufanyike?utapelelezaje kesi shahidi wa kwanza umemtorosha dreva anajuwa kila kitu na ndiye aliyechonga hilo dili
Kuna kitu nilitaka kuandika hapa ila nikasikia roho inapasuka ppaaaaPia ametoa dondoo za mahali pa kuanzia, ambapo aliyekuwa RPC wa Dodoma Murroto, Mbunge wa CCM Alexander Mnyeti, Paulo Makonda na Askofu Gwajima wametajwa kuweza kusaidia uchunguzi.
mbowe mafia ni wewe tu ndiyo humjui wenzio wana mjua vizuri sana
Mkuu mwezio amembo kwa Mh Rais kufanyika uchunguzi kwa wapendwa zake, nawe pia ulipaswa kuomba kwa Mh. Rais kwa mpendwa wako, si vinginevyo. Sentensi yako ya mwisho inaukakasi fulani hivi.MI nataka tujue Ulimboka alitekwa na akina nani? Tusitetee wanasiasa tu, ni Ujinga!
Usikalie habariKuna kitu nilitaka kuandika hapa ila nikasikia roho inapasuka ppaaaa
hebu sema ukweli unaoujua wewe kuhusu hili?Shida yako ni moja tu!..
Kupenda kusikia unachopenda kusikia tu basi!
Mkuu ni haki yako kujua fuata tu taratibu.Pia tunataka kujua Chacha wangwe alikufaje?
Hiyo ndo sehemu muhimu kabisa maana wansiasa wanatufanya kama springboard. Mambo yao yawe yetu, ya kwetu siyo yao. Yeye akae huko tu kama anaona wazungu ni wazuri.Mkuu mwezio amembo kwa Mh Rais kufanyika uchunguzi kwa wapendwa zake, nawe pia ulipaswa kuomba kwa Mh. Rais kwa mpendwa wako, si vinginevyo. Sentensi yako ya mwisho inaukakasi fulani hivi.
Iboya dereva hajafichwa yupo, na hata wakati ule Lissu yuko Nairobi huyu dereva nae alikuwa akitibiwa huko, polisi waliposema hawajui yuko wapi, waliambiwa yuko huko Nairobi anatibiwa na waende wakamuhoji huko? mbona wahakwenda?acha papara uchunguzi umeshaanza ila shahidi muhimu aliyeshuhudia tukio amefichwa hivi hebu tumia tu akili ndogo hata ya kuvukia barabara kwanini wanamficha dreva ambaye aliona tukio zima kwanini asihojiwe ili upelelezi uendelee? kuna sababu dreva anajuwa