Godbless Lema amuomba Rais Samia kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Godbless Lema amuomba Rais Samia kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

MI nataka tujue Ulimboka alitekwa na akina nani? Tusitetee wanasiasa tu, ni Ujinga!
Joined 2020 ndio imefanya nikujibu ila nilitaka nikuzingue.. haya fuata link hapa chini...
 
Empty set yaani upelelezi mnamsubiri dereva wa lissu aje? Yaani hata kuanza hamjaanza mmtaka dereva wa lissu seriously?? Ipo siku unknown assailants watajulikana tu.
acha papara uchunguzi umeshaanza ila shahidi muhimu aliyeshuhudia tukio amefichwa hivi hebu tumia tu akili ndogo hata ya kuvukia barabara kwanini wanamficha dreva ambaye aliona tukio zima kwanini asihojiwe ili upelelezi uendelee? kuna sababu dreva anajuwa
 
Endelea kujitoa ufahamu...Mbowe ndio aliyeondoa ulinzi kwenye makazi ya viongozi hapo Dodoma ehee? Mbowe ndiyo aliyeoondoa CCTV camera/Footage kwenye jengo la waziri au siyo?

Mbowe alivyotaka Scotland Yard waje kufanya uchunguzi na yeye huyo huyo ndio akazuia wasije au siyo?
mbowe mafia ni wewe tu ndiyo humjui wenzio wana mjua vizuri sana
 
Usioneshe ujinga na upumbavu wako mbele ya kadamnasi,Mbna alikuja hapa na hizo ngonjera zenu hamkuzisema?????Je kama angekufa mngemsubiria afufuke kama mnavyomsbr bi.Kirembwe?????
alikuwa anataka waje kwakuwa alijuwa hawatakuja sasa tuambie ni nini kinamfanya lissu asije na dreva wake wafungue jalada upelelezi ufanyike?utapelelezaje kesi shahidi wa kwanza umemtorosha dreva anajuwa kila kitu na ndiye aliyechonga hilo dili
 
Mbona mnafiki ivyo mbona hajamtaja akwilina na yeye kifo chake kichunguzwe ama damu ya yule binti Haina thamani Kama hao aliowataja.tena ngoja niende huko twitani
 
MI nataka tujue Ulimboka alitekwa na akina nani? Tusitetee wanasiasa tu, ni Ujinga!
Mkuu mwezio amembo kwa Mh Rais kufanyika uchunguzi kwa wapendwa zake, nawe pia ulipaswa kuomba kwa Mh. Rais kwa mpendwa wako, si vinginevyo. Sentensi yako ya mwisho inaukakasi fulani hivi.
 
Mkuu mwezio amembo kwa Mh Rais kufanyika uchunguzi kwa wapendwa zake, nawe pia ulipaswa kuomba kwa Mh. Rais kwa mpendwa wako, si vinginevyo. Sentensi yako ya mwisho inaukakasi fulani hivi.
Hiyo ndo sehemu muhimu kabisa maana wansiasa wanatufanya kama springboard. Mambo yao yawe yetu, ya kwetu siyo yao. Yeye akae huko tu kama anaona wazungu ni wazuri.
 
acha papara uchunguzi umeshaanza ila shahidi muhimu aliyeshuhudia tukio amefichwa hivi hebu tumia tu akili ndogo hata ya kuvukia barabara kwanini wanamficha dreva ambaye aliona tukio zima kwanini asihojiwe ili upelelezi uendelee? kuna sababu dreva anajuwa
Iboya dereva hajafichwa yupo, na hata wakati ule Lissu yuko Nairobi huyu dereva nae alikuwa akitibiwa huko, polisi waliposema hawajui yuko wapi, waliambiwa yuko huko Nairobi anatibiwa na waende wakamuhoji huko? mbona wahakwenda?
 
Back
Top Bottom