Mtukaneee ila naomba ka picha hata ka msafara kutoka kia tuone mtoa maono wetuCCM akili sifuri wamesema tuna ndege 11 na wataongeza ndege 5, CCM wana laana, watu hawana maji safi wao wanatuletea upuuzi.
ππππPicha saivi zipo kwa fundi Maiko anafanya kazi yake π€£
Mtukaneee ila naomba ka picha hata ka msafara kutoka kia tuone mtoa maono wetu
Anavyo pendeza.
Jamani hakuna hata mwenye ka smartphone hapo njiani?
ππππ
Bwashee Simba nayo inakaribia kuwa CCM me ni shabiki wa Simba ila ikitangazwa kama tawi la Lumumba nina kuhakikishia Bwashee nita choma card yangu ya SimbaBwashee! Si anaogopa kukosa watu? Basi akakae tamashani na Baada ya tamasha ahutubie, kwani kunazuwio?ππ
Gambooo anatakiwa na mama yako labdaKwa sasa wanajitambua ndiyo maana wanamtaka Gambo lema hana issue tena hawasaidii wananchi wake kakalia makesi tu.
Kumbe ni visasi!
Bwasheee Na aliye mvisha Moo kanga ata mlipa nini au amesha zoweaAtulie dawa imuingie, si alimtukana MO, ngoja ajibiwe kisomi zaidi
Njama za kuhujumu ujio wa mh Lissu hapa bikini Arusha kuendeleza kampeini zake na cdm zimebuuma.
Ccm walijua kabisa kuwa mh Lissu ana washabiki na wapenzi wengi sana hapa Arusha na wengi wao ni vijana ambao wameichoka ccm.
Hivyo wakaona njia ya kuwa fanya wasiende kwenye mapokezi na mkutano wa mh Lissu ni kuandaa mechi ya kustukiza ya soka kati ya simba na Arusha fc.
Matokeo yake watu wamegoma kwenda uwanjani kutazama mpira ingawa wapo pia wapenzi wa simba lkn wameamua kwenda kumsikiliza rais wao mtarajiwa mh Lissu.
Nawapongeza sana wana wa Arusha.
Hiyo ndiyo hali halisi ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha. View attachment 1554386
Umesahau Chadema wamepiga marufuku bidhaa za Mo kwa sababu ya kumuunga mkono JPM? sasa Mo ni Simba unalalamika nini wacha iingie na utaona ujinga wa Chadema kufanya maamuzi bila kufikiriaSimba kama inajiunga na genge la wahalifu Yanga kuwa upande wa wakandamizaji narudisha kadi, haina maana,
Kamanda baadae utume picha wakiwa wanapitisha mabakuli kamanda.
ππππππ Fundi Maiko anazi-edit; zikitoka hapo.......Picha saivi zipo kwa fundi Maiko anafanya kazi yake π€£
Ya lini hii?Njama za kuhujumu ujio wa mh Lissu hapa bikini Arusha kuendeleza kampeini zake na cdm zimebuuma.
Ccm walijua kabisa kuwa mh Lissu ana washabiki na wapenzi wengi sana hapa Arusha na wengi wao ni vijana ambao wameichoka ccm.
Hivyo wakaona njia ya kuwa fanya wasiende kwenye mapokezi na mkutano wa mh Lissu ni kuandaa mechi ya kustukiza ya soka kati ya simba na Arusha fc.
Matokeo yake watu wamegoma kwenda uwanjani kutazama mpira ingawa wapo pia wapenzi wa simba lkn wameamua kwenda kumsikiliza rais wao mtarajiwa mh Lissu.
Nawapongeza sana wana wa Arusha.
Hiyo ndiyo hali halisi ya uwanja wa Shehe Amri Abeid Arusha. View attachment 1554386
Jamaa wana mbinu za kitoto sanaAibu sana!
Piga na jukwaani basi mkuu!!Njama za kuhujumu ujio wa mh Lissu hapa bikini Arusha kuendeleza kampeini zake na cdm zimebuuma.
Ccm walijua kabisa kuwa mh Lissu ana washabiki na wapenzi wengi sana hapa Arusha na wengi wao ni vijana ambao wameichoka ccm.
Hivyo wakaona njia ya kuwa fanya wasiende kwenye mapokezi na mkutano wa mh Lissu ni kuandaa mechi ya kustukiza ya soka kati ya simba na Arusha fc.
Matokeo yake watu wamegoma kwenda uwanjani kutazama mpira ingawa wapo pia wapenzi wa simba lkn wameamua kwenda kumsikiliza rais wao mtarajiwa mh Lissu.
Nawapongeza sana wana wa Arusha.
Hiyo ndiyo hali halisi ya uwanja wa Shehe Amri Abeid Arusha. View attachment 1554386
Watasema hawakuwa na smartphone, watasingizia walinyang'anywa na walinda amani (malalamiko mengine). Na TBC ndio waliwafukuza jana, hawataki coverage ya mikutano yao.Mtukaneee ila naomba ka picha hata ka msafara kutoka kia tuone mtoa maono wetu
Anavyo pendeza.
Jamani hakuna hata mwenye ka smartphone hapo njiani?
ππππ
Lissu kanyaga twende...!!![emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1752][emoji1752]Njama za kuhujumu ujio wa mh Lissu hapa bikini Arusha kuendeleza kampeini zake na cdm zimebuuma.