Godbless Lema: Bashiru alitaka kunilipia deni nihamie CCM

Godbless Lema: Bashiru alitaka kunilipia deni nihamie CCM

Sasa deni lake kalipiwa na nani? Hahahahahahaha
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ametoboa siri aliyekuwa Katibu CCM, Ally Bashiru kutaka kumlipia deni alilokuwa anadaiwa bungeni kwa lengo la kumtaka ajiunga na chama hicho. Hata hivyo alikataa kulipiwa deni hilo na kudai ni heri auze figo alipe.

Lema ameibua hayo jana Aprili 28, 2023 wakati akizungumza na wananchi wa Manispaa ya Moshi katika soko la Manyema kwenye moja ya mikutano ya hadhara ya chama chake.
Bila kumsema Mwamba Magufuli au Dk. Bashiru hakuna kiki, halafu wapuuzi eti legacy imekwisha! Ahahahahaha! Mseme Chongolo uone kama kuna mtu atachangia! Ahahahahaha!!!
 
Umeshalipa Hilo deni Lema.Au ndio zile zinazotafutwa na CAG?
 
Back
Top Bottom