Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Tukio tutakalofanya ni kumuondoa kwa sanduku la kura ifikapo 2025. Sasa hivi tunawaelimisha Watanzania na wao wanaona jinsi nchi inavyoendeshwa kizembe.Kama imemshinda fanya tukio la kudhibotisha kauli yako vinginevyo Ni kujilisha upepo na kujifariji tuu.
Hao jamaa huwezi kuwaondoa kupitia sanduku watashinda miaka yoteTukio tutakalofanya ni kumuondoa kwa sanduku la kura ifikapo 2025. Sasa hivi tunawaelimisha Watanzania na wao wanaona jinsi nchi inavyoendeshwa kizembe.
Unamtania dokta Kasheku?Wanayumbayumba tu
'...nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini Nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyo pata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu Mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani.'
'....lakini kwa yanaoyoendelea sasa ndani ya Utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya Utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!'
Godbless Lema.
Hakuna chama cha siasa kitakachotawala milele.Hao jamaa huwezi kuwaondoa kupitia sanduku watashinda miaka yote
Nakubaliana na ww CCM wapo hatua za mwisho kwenye utawala wataangukaHakuna chama cha siasa kitakachotawala milele.
Anguko la CCM linakuja na inawezekana kabisa anguko hilo likatokea wakati wa utawala wa huyu bibi wa Kizanzibari.
Kama yapi'...nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini Nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyo pata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu Mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani.'
'....lakini kwa yanaoyoendelea sasa ndani ya Utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya Utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!'
Godbless Lema.
Halafu hajasema kwa niniunalinganisha vipi utawala wa Samia na magufuli?nafikiri kila mmoja ahukumiwe kutokana na utawala wake sio kulinganishwa.
Hayo maneno kasema wapi na lini Lema?'...nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini Nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyo pata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu Mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani.'
'....lakini kwa yanaoyoendelea sasa ndani ya Utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya Utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!'
Godbless Lema.
Hauwezi kuwa siriazi.Hameshindwa kiswahiri kwa mahana kwake Ni rugha nguhumu mkuu..hata umfuhundishe hawahezi kujua
Mpigie Tena huyo mstaafu umwambie , mlifurahia kifo cha JPM wapuuzi nyie mkadhani Mungu anadhihakiwa. Mlikunywa pombe na kupiga mafataki. Na Bado ,'...nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini Nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyo pata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu Mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani.'
'....lakini kwa yanaoyoendelea sasa ndani ya Utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya Utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!'
Godbless Lema.
We tutusa kuandika hujui , sijui huku ulifikaje!Wanasiasi usije WAHAMINI HATA
UNAFIKI MWINGI
LEMA KWELI !!!?
Naunga mkono maneno ya Lema'...nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini Nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyo pata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu Mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani.'
'....lakini kwa yanaoyoendelea sasa ndani ya Utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya Utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!'
Godbless Lema.
Jawa wapinzani hawana wanachokisimamia wala kukiamini zaidi ya matumbo yao. No wonder Lissu alipoonana na Rais alizungumzia zaidi hela ya matibabu na kiinua mgongo chake cha ubunge. Mambo ya demokrasia n.k yalikuja nyuma km mazungumzo baada ya habari