Godbless Lema: Bora ya Magufuli kuliko Samia

'...nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini Nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyo pata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu Mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani.'

'....lakini kwa yanaoyoendelea sasa ndani ya Utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya Utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!'

Godbless Lema.

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan😍🇹🇿👑

Rest well mwamba John Pombe Magufuli♥️🇹🇿🕊🕊🕊🙏
 
Hakuna chama cha siasa kitakachotawala milele.
Anguko la CCM linakuja na inawezekana kabisa anguko hilo likatokea wakati wa utawala wa huyu bibi wa Kizanzibari.
 
'...nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini Nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyo pata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu Mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani.'

'....lakini kwa yanaoyoendelea sasa ndani ya Utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya Utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!'

Godbless Lema.
Kama yapi
 
Hayo maneno kasema wapi na lini Lema?
Hii ni mara ya pili mnatengeneza propaganda za kumlisha maneno Lema ili mumpe promo Dikteta Magufuli.
 
Wapinzani wanafiki sana Hanna jema manina zenu
 
'...nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini Nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyo pata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu Mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani.'

'....lakini kwa yanaoyoendelea sasa ndani ya Utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya Utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!'

Godbless Lema.
Mpigie Tena huyo mstaafu umwambie , mlifurahia kifo cha JPM wapuuzi nyie mkadhani Mungu anadhihakiwa. Mlikunywa pombe na kupiga mafataki. Na Bado ,
 
Hayo maoni ya Lema yaheshimiwe, ana vigezo vyake na iendelee hivyo kila mmoja ana uhuru wake
 
'....lakini kwa yanaoyoendelea sasa ndani ya Utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya Utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!'
 
Mnafiki tu huyu na aliyekosa muelekeo na dira, akili yake huwa haipo sawa, Arudi nchini aache kutuletea makelele yake hapa. Nchi yetu Ina amani na inasonga mbele kwa Kasi chini ya uongozi shupavu wa mama Samia, watanzania wapo bize kufanya kazi kumuunga mkono mh Rais katika kukuletea maendeleo na kuijenga nchinyetu
 
'...nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini Nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyo pata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu Mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani.'

'....lakini kwa yanaoyoendelea sasa ndani ya Utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya Utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!'

Godbless Lema.
Naunga mkono maneno ya Lema
 
Jawa wapinzani hawana wanachokisimamia wala kukiamini zaidi ya matumbo yao. No wonder Lissu alipoonana na Rais alizungumzia zaidi hela ya matibabu na kiinua mgongo chake cha ubunge. Mambo ya demokrasia n.k yalikuja nyuma km mazungumzo baada ya habari

Uko sahihi kabisa, sasa tuje kwa ccm tuone wanachosimamia. Wakati wa JK baada ya mgao mkali wa umeme, CCM walikuwa wanatuimbisha wimbo wa gas kama watoto wadogo. Tuliambiwa habari za uchumi wa gas, na kuwa bomba la gas likifika Dar mgao wa umeme itakuwa ni historia. Na wakawa wanasema kwa msisitizo kuwa umeme wa maji matatizo ni mabadiliko ya tabia nchi!

Alipokuja Magufuli tukaona CCM wote wakibadili hadithi kutoka umeme wa gas hadi wa maji. Hapa tukaambiwa umeme wa maji ni nafuu kuliko wa gas. Ile hadithi ya mabadiliko ya tabia nchi hakuna aliyeitamka hata kwa bahati mbaya! Hivi tunavyozungumza hatuna umeme wa uhakika, sio wa maji, ama wa gas. Sasa hapo tusaidie kutuonyesha CCM wanachosimamia kulinganisha na upinzani ili tupime tatizo ni wapi zaidi.
 
Back
Top Bottom