Godbless Lema, hospitali zote hizi nchini lakini unaenda Kenya ukaangaliwe bega, una hofu gani?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.

Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake ya bega hadi aende Kenya?.

Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
 
Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.

Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.

Hoja zako hazina mashiko..
Huwezi kumpangia mtu sehem pa kwenda kufata huduma ambayo haivunji sheria za nchi..
 
Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.

Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.

Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
Kwani Tanzania kwasasa hakuna uhuru wa kusafiri nje ya nchi, sasa itafika wamikoani tutapigwa marufuku kuja dar
 
Kipengele gani katika katiba kinasema mtu huruhusiwi kwenda kutibiwa nje kwa sababu hata Tanganyika kuna hospitali?

Mbona huwa hamuhoji kina Ndugai "mgonjwa ghali" kuwahi kutokea katika ardhi ya Tanganyika alipokwenda India kwa matibabu na kuleta bill ya mabilioni wakati angeweza kutibiwa hapo hapo Muhimbili?

Pia hujui katika taaluma ya afya kuna haki za mgonjwa 5 na mojawapo ya haki ni kuchagua aina ya matibabu ikiwemo nani anayetaka ampe matibabu?

Hujui hata Magufuli alipozidiwa alipelekwa Nairobi ndio akarudishwa Mzena kwanini hawakumpeleka Muhimbili?

Na ndio maana naona sasa mtawehuka mnasema mmefungia mtandao wa X sababu ya maudhui yasiyofaa halafu bado taasisi hizo hizo za serikali zinapost taarifa hizi huko huko X.

Mwisho , Lema hakukuomba wewe hata senti 5 ya kwenda Nairobi bali ni taasisi za serikali zimeanza kutumika kisiasa na mnapobanwa mnaleta diversionary tactics.
 
Msimlaumu sana huyo kavulata ila nawaza tu...
Yawezekana naye aliwahi kupewa matibabu ya Kitanzania.
Watanzania waliopitia hiyo kadhia hawana ujasiri wa kusema ukweli.
Wanaogopa picha walizopigwa kutolewa hadharani hivyo kunyamaza.
Wakenya, tofauti na sisi, wanao ujasiri wa kueleza maovu waliyofanyiwa.
 
Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.

Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.

Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
huwa kuna~
  • siasa
  • umaarufu
  • na ukubwa sehem(utajiri).

Hao watu tajwa hapo juu, maisha yao huwa ya wasiwas mno.
Hawamwamini mtu yeyote
 
Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.

Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.

Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
Bora huyo anaenda kenya, wengine wanapelekwa india tena kwa pesa ya umma
 
Back
Top Bottom