Godbless Lema, hospitali zote hizi nchini lakini unaenda Kenya ukaangaliwe bega, una hofu gani?

Godbless Lema, hospitali zote hizi nchini lakini unaenda Kenya ukaangaliwe bega, una hofu gani?

Lema aliomba hifadhi ya kisiasa yeye na familia yake.Ukiomba hifadhi ya kisiasa huwezi tena kwenda kwenye Nchi uliyotoroka au sababu zako za kuomba hifadhi zinakuwa null and void.
Ndio maana amekaa kimya hata baada ya kuitwa Uhamiaji.
Umemsikia akiropoka tena?
 
Back
Top Bottom