Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 376
- 850
Magufuli alivyoumwa Serikali yako ilimkimbiza Nairobi na akafia huko. Hakukua na hospitali Tanzania?
Utadhani wakiingia Ikulu wataingia na madaktari na manesi wao wapya, na hospitali zao mpya, na polisi wao wapya, na majeshi yao mapya, maana wanasema majaji, polisi na majeshi yote ni CCM.Alafu wafuasi wa chadema ni double standard Sana. Inakuwa vigumu kueleweka, much wanaweza kukusawishi na muda wanakutoa kwenye mchezo. Suala la Lema kutibiwa nje ya nchi hata kwa tatizo Dogo sio la kulikingia kifua, ingekuwa amefanya samia baasi ingekuwa ni headline kubwa, Lema anaandaliwa kuwa kiongozi mkubwa, kwa tabia hii haoni hatakuwa natofauti na wengine? Mbona wapo viongozi wa chadema wamepata ajali ya gari juzi tu wametibiwa hapa nchini? Ni kusema amekosa Imani na wataalamu wa ndani? Kusema hospitali za CCM hazifai, sio sawa maana CCM haina hospital isipokuwa hospital zote ni za wa Tanzania. Sawa tu na vile tunapokataa kusema samia amejenga hiki, ametoa kile, tukasema hizo ni Kodi zetu.
Usalama wa nchi na haki ya Lema unavipambanisha?Freedom of movement..haki za binadamu endeleeni kuzizuia
Job ndugan alienda kutibiwa india alipanda airbus nauli alilipiwa 15mil..matibabu zaid ya milion 400..mbona hakutibiwa hapa? Mlamba makalio huna point✌#noreformnoelectionImeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.
Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake ya bega hadi aende Kenya?.
Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
Yuko wapi sana? Kuna watanzania wenzetu, ndugu, kaka, dada na wapwa zetu wanaohangaika na usalama wa nchi wetu, tunawalipa kwa kazi hiyo tu. Tusiwachukulie poa hata kidogo. Usalama wa nchi na wewe wanachagua usalama wa nchi.Job ndugan alienda kutibiwa india alipanda airbus nauli alilipiwa 15mil..matibabu zaid ya milion 400..mbona hakutibiwa hapa? Mlamba makalio huna point✌#noreformnoelection
Kwa vyovyote vile swala la kusafiri nje ya nchi halihitaji ruhusa ya serkali ndiyo maana kuna na utalii binafsi yaani kwenda kushangaa shangaa tu kwenye nchi za watu ili mradi una uwezo wa kuishi kule bila kuwa omba omba au kuwabugudhi wengine.Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.
Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake ya bega hadi aende Kenya?.
Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
Kwani lazima uende Muhimbili??? Au kupangiwa pa kupata matibabu??Sasa hivi MUHIMBILI wanapandikiza figo..pale mpaka wahindi au wazungu wapo kwenye foleni ya matibabu..
Ndiyo aende kwa Martha Karua wasaidiane mikakati? Kama anaona Tanzania ni hatari sana si aende akakae huko Magharibi au Marekani kama akina cassava leaves wenzake? Kuishi Tanzania na kutukana viongozi hakuna tofauti na kukata tawi ulikokalia juu ya mti.Kwa vyovyote vile swala la kusafiri nje ya nchi halihitaji ruhusa ya serkali ndiyo maana kuna na utalii binafsi yaani kwenda kushangaa shangaa tu kwenye nchi za watu ili mradi una uwezo wa kuishi kule bila kuwa omba omba au kuwabugudhi wengine.
Issue ni pale siasa inapoingizwa kwenye mambo ya safari binafsi.
Unashangaza....Eti Kutibiwa Kinyemela.....Kweli tuna safari! Mnapoteza maisha ya watu wengi sana! Jamaa yangu Tanzania, Ndio maana hata wengi wakienda India inakuwa too late. Jamaa yangu hapo Tanzania baada ya kuona anazunguka Mahospitalini bila kupewa jibu la msingi, alishauriwa kwa nini asiende check up South Africa, aliondoka bila hicho unaita kibali cha Serikali, Hiyo ndio iliponya maisha yake!Wewe cassaleaves, huko ni kutibiwa kinyemela kama sababu ya visa ni tofauti na makusudio.
Kuna visa za kitalii, visa za masomo, Visa za mialiko (ndugu), visa za matibabu, visa za KAZI, biashara, michezo, nk, na hilo hulijui?Unashangaza....Eti Kutibiwa Kinyemela.....Kweli tuna safari! Mnapoteza maisha ya watu wengi sana! Jamaa yangu Tanzania, Ndio maana hata wengi wakienda India inakuwa too late. Jamaa yangu hapo Tanzania baada ya kuona anazunguka Mahospitalini bila kupewa jibu la msingi, alishauriwa kwa nini asiende check up South Africa, aliondoka bila hicho unaita kibali cha Serikali, Hiyo ndio iliponya maisha yake!
Halafu unaposema "Kama sababu ya visa na makusudio" Nani anatoa Visa nikienda nje ya Tanzania! Una maana gani hasa! ?
Wacha ujinga, kama hakuhitaji ruksa ya serikali kwanini lazima uwe na passport ya serikali ya kusafiria? Hujui kama passport ndiyo ruhusa yenyewe na wanaweza kukunyang'anya passport yao wakiama?Kwa vyovyote vile swala la kusafiri nje ya nchi halihitaji ruhusa ya serkali ndiyo maana kuna na utalii binafsi yaani kwenda kushangaa shangaa tu kwenye nchi za watu ili mradi una uwezo wa kuishi kule bila kuwa omba omba au kuwabugudhi wengine.
Issue ni pale siasa inapoingizwa kwenye mambo ya safari binafsi.
Shule za awali zina mengiWacha ujinga, kama hakuhitaji ruksa ya serikali kwanini lazima uwe na passport ya serikali ya kusafiria? Hujui kama passport ndiyo ruhusa yenyewe na wanaweza kukunyang'anya passport yao wakiama?
umewahi kujiuliza Kwanini LUHAGA MPINA Hali msosi canteen ya bunge?? umewahi kujiuliza Kwanini anakula kwa mama nitilie, kwa kushtukiza na harudii kula kwa mama nitilie,kila siku anabadili mahali pa kula!!??? Ukipata jibu, umejibu swali lako mwenyeweImeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.
Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake ya bega hadi aende Kenya?.
Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
Kwanini unahitaji passport ya nchi Yako ili usafiri? Wewe si uko huru passport ya nini sheikh? Na ikiisha muda unakwenda kuomba (sio kuchukua) nyingine?Shule za awali zina mengi
Hujui kikatiba kwamba kuwa na passport ni halali yako na iko kikatiba? Nani anawaroga kiasi cha kutokujua haki yako iliyo ahinishwa kikatiba???
Karibu tena na tena
Alikuwa anakwenda kufanya nn kwenye nchi inayoandamana na kuuana kila siku?Hoja zako hazina mashiko..
Huwezi kumpangia mtu sehem pa kwenda kufata huduma ambayo haivunji sheria za nchi..