Sergeant Stonebridge
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 573
- 5,017
nadhani wanatumia makalio kuwaza hawa sio bureHawa mabwege ndiyo jamaa mmoja alikuwa anawaita "majaza Dunia" yaani wawepo au wasiwepo hakuna tofauti.
Kuna watu wanakwenda kutibiwa hospitali ya mwananyamala, nao wanatakiwa wahoji ni kwa nini wenzao wengine wanakwenda kutibiwa Kairuki au Hospitali ya Aga Khan?
Hapa hapa Tanzania mtu kutibiwa Hospitali ya Bombo atafanana na anayetibiwa kwenye Hospitali ya Benjamin Mkapa?
Hivi nyie watu huwa mnatumia kitu gani kuwaza?
watu wanaenda kutibiwa huko USA, India, n.k mbona huwa hawahoji?
kama uwezo wako ni kutibiwa hapa nchini pambana na hali yako
waache wanaoenda nje waende kwani wameombwa kuchangia gharama za matibabu yao?
mtu na hela yake bado upangiwe hadi pa kutibiwa?
Kikwete na tezi dume sasa mbona alienda USA si angetibiwa hapa nchini?
watu wanakuwa machawa hadi mishono yao inawasha ni kama huyo mto mada