Godbless Lema, hospitali zote hizi nchini lakini unaenda Kenya ukaangaliwe bega, una hofu gani?

Hawa mabwege ndiyo jamaa mmoja alikuwa anawaita "majaza Dunia" yaani wawepo au wasiwepo hakuna tofauti.

Kuna watu wanakwenda kutibiwa hospitali ya mwananyamala, nao wanatakiwa wahoji ni kwa nini wenzao wengine wanakwenda kutibiwa Kairuki au Hospitali ya Aga Khan?

Hapa hapa Tanzania mtu kutibiwa Hospitali ya Bombo atafanana na anayetibiwa kwenye Hospitali ya Benjamin Mkapa?

Hivi nyie watu huwa mnatumia kitu gani kuwaza?
 
Hoja zako hazina mashiko..
Huwezi kumpangia mtu sehem pa kwenda kufata huduma ambayo haivunji sheria za nchi..
Na hoja kama hizo ndizo zinazosababisha mtu unachunguzwa zaidi na usalama wa nchi. Hakuna mtu ataamini kwamba safari Yako hiyo ni kwaajili ya matibabu tuuuu baaasi. Hata mtoto wako akikuaga kwamba Leo anakwenda kulala kwa rafiki yake hukooo kimanzichana, mzazi makini lazima atamhoji sana mwanawe kwanini aende kulala kwa rafiki yake wakati kiranda, chumba na chakula vipo hapa. Na kama ulimpiga au kugombana hofu na maswali yatakuwa mengi sana.

Kumbuka hata wakati wa kutoroka na kwenda Canada Lema alipitia Kenya na bila shaka kama Kuna kitu kinachoweza kuja kutuzuru watanzania kupitia chadema kitapitia Kenya kuingia Tanzania.
 
Sasa hivi MUHIMBILI wanapandikiza figo..pale mpaka wahindi au wazungu wapo kwenye foleni ya matibabu..
Kaka wanaweza kumchongea na kumpachika bega lingine kama alitaka bega lingine
 
Na hoja kama hizo ndizo zinazosababisha mtu unachunguzwa zaidi na usalama wa nchi. Hakuna mtu ataamini kwamba safari Yako hiyo ni kwaajili ya matibabu tuuuu baaasi. Hata mtoto wako akikuaga kwamba Leo anakwenda kulala kwa rafiki yake hukooo kimanzichana, mzazi makini lazima atamhoji sana mwanawe kwanini aende kulala kwa rafiki yake wakati kiranda, chumba na chakula vipo hapa. Na kama ulimpiga au kugombana hofu na maswali yatakuwa mengi sana.

Kumbuka hata wakati wa kutoroka na kwenda Canada Lema alipitia Kenya na bila shaka kama Kuna kitu kinachoweza kuja kutuzuru watanzania kupitia chadema kitapitia Kenya kuingia Tanzania.
Itoshe kusema huu ni UDIKTETA uliozubaa
 
Kipengele gani katika katiba kinasema mtu huruhusiwi kwenda kutibiwa nje kwa sababu hata Tanganyika kuna hospitali?

Mbona huwa hamuhoji kina Ndugai "mgonjwa ghali" kuwahi kutokea katika ardhi ya Tanganyika alipokwenda India kwa matibabu na kuleta bill ya mabilioni wakati angeweza kutibiwa hapo hapo Muhimbili?

Pia hujui katika taaluma ya afya kuna haki za mgonjwa 5 na mojawapo ya haki ni kuchagua aina ya matibabu ikiwemo nani anayetaka ampe matibabu?

Hujui hata Magufuli alipozidiwa alipelekwa Nairobi ndio akarudishwa Mzena kwanini hawakumpeleka Muhimbili?

Na ndio maana naona sasa mtawehuka mnasema mmefungia mtandao wa X sababu ya maudhui yasiyofaa halafu bado taasisi hizo hizo za serikali zinapost taarifa hizi huko huko X.

Mwisho , Lema hakukuomba wewe hata senti 5 ya kwenda Nairobi bali ni taasisi za serikali zimeanza kutumika kisiasa na mnapobanwa mnaleta diversionary tactics.
Na kuna wale wanaokwenda kunywa kahawa na kupumzika kule Dubai. Huku kwetu hakuna kahawa nzuri wala hoteli nzuri kwa mapumziko? Watawala wamechanganyikiwa.
 
Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.

Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.

Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
Mzee kwani unapangiwa sehemu ya kupewa huduma, pesa yako maamuzi yako.
 
Kwani Tanzania kwasasa hakuna uhuru wa kusafiri nje ya nchi, sasa itafika wamikoani tutapigwa marufuku kuja dar
Dunia nzima Iko hivyo, hata Marekani, Ulaya, China, Korea nk Kuna watu wanazuiwa kutoka au kuingia kwenye mataifa yao. Hakuna taifa ambalo ni porous kwa 100%. Usalama wa nchi ni zaidi ya uhuru na haki za individuals.

Kwenye watu 70m ukiwazuia watu 10 tu kwaajili ya nchi Kuna shida gani hapo?
 
Hospital za Tanzania hazina huduma Bora za matibabu
 
Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.

Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.

Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
Haya mambo ya kupangiana maisha, na pia kuzuia watu kusafiri kwenda nje kisa tu wataenda kuyaanika maovu yenu; ni ya kishamba na kipumbavu. Mngekuwa siyo wachafu, hata msinge jishughulisha kuwazuia.

Inakera sana kuona watu wqlazima mnafanya mambo ya kitoto.
 
Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo.

Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao wanaweza kumsadia mtanzania mwenzao kujua na kurekebisha afya yake hadi aende Kenya?.

Maswali:
1. Kuacha kutibiwa nchini ni ukosefu wa utaalamu au ni hofu tu ya kuhujumiwa na madaktari wa hapa?
2. Je, anakwenda kwa matibabu kweli au kwa mengineyo?
Lisu angetibiwa hospital zenu hizi ungekuwa hai Leo hii?. Si mngeagiza tu uweni. Nyinyi na mashetani tu.
 
Back
Top Bottom