Pre GE2025 Godbless Lema: Je, pesa za rushwa leo zinatoka wapi? Na wanaotoa pesa wananunua kura kwa kazi isiyo na mshahara?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unajua wewe una challenge jambo usilolijua,hoja ni CCM kutoa fedha kumfadhili Mbowe na kambi yake,jee Chadema chini ya Mbowe itakuwa tena chama au kigango tu cha CCM? Na si kweli kuwa chama hakina uwezo wa kuendesha mkutano mkuu lakini hela zimepigwa hapo HQ na watu wanajua ndiyo maana mpaka leo hawasemi hela za join the Chain ziko wapi. Watu siyo wajinga kama unavyowachora kwenye ubongo wako.
 
Dr slaa kazungumzia hilo suala Twitter la hela kuingia chadema. Tetesi toka Twitter zinasema kuna asali nono ya 12B imeingia kwa mtu fulani. 12B ni hela nyingi Lazima kiumane 🤣

Mwenye kutoa rushwa ndiye aliyelamba hiyo asali.

Uchaguzi huru, wa haki na kuaminika si maneno tu:

Your browser is not able to display this video.


Kwani huu uliopita tulioambiwa je?
 
mjinga mmoja hivi matyako we
Ndio akili za watu wanaomdai mapinduzi.

Amuwezi kuelezea operation challenges za chama zaidi ya matusi.

Wajumbe wa CDM kuwaachia mataahira kama nyie ndio kwenda kukiua chama chao.
 
Unasoma sana mitandao bila ya kuwa realistic.

Ruzuku ya CDM ni 107 million kwa mwezi.

Mishahara na administration costs hiyo hela inaweza endesha shughuli za chama nchi nzima?

Hadi iweze save kuendesha shughuli za uchaguzi mkuu, kulipa media, kuleta wajumbe, kukodi hall, kununua jezi na other operation costs za uchaguzi.

Shida yenu mnadhani ni mambo rahisi kama yalivyo kwenye vichwa vyenu.
 
Ndio akili za watu wanaomdai mapinduzi.

Amuwezi kuelezea operation challenges za chama zaidi ya matusi.

Wajumbe wa CDM kuwaachia mataahira kama nyie ndio kwenda kukiua chama chao.
Mkuu kumbuka wewe ndiyo umeanza kutukana kuwaita mataahira hivyo vumilia ujibiwe kwa uzito huo huo au wewe unayo kinga ya kuwatukana watu humu? Heshimu wengine nawe utaheshimiwa.
 
Hela ya join the Chain unajua iko wapi? Kuna madudu mengi yanaendelea wewe hujui ndiyo maana unawatukana wanaohoji na kuwaita mataahira. Au kwa vile uko ughaibuni unaona una uelewa wa kila kitu?
 

m CCM unapolia machozi ya mamba:

 
Hela ya join the Chain unajua iko wapi? Kuna madudu mengi yanaendelea wewe hujui ndiyo maana unawatukana wanaohoji na kuwaita mataahira. Au kwa vile uko ughaibuni unaona una uelewa wa kila kitu?

Mengine ma CCM hayo. Wao, mwamba na chawa wao wote dugu moja!
 
hata wewe tutakununua tukupeleke milembe, mmojawenu ananyea ndoo sasahivi, bado genge lingine
 
Hela ya join the Chain unajua iko wapi? Kuna madudu mengi yanaendelea wewe hujui ndiyo maana unawatukana wanaohoji na kuwaita mataahira. Au kwa vile uko ughaibuni unaona una uelewa wa kila kitu?
Haya sema hiyo ya join za chain, ilipo ufanye justification ya kupotea.

Gharama za uchaguzi wa CDM zimetoka kuanzia ngazi za shina mpaka majimbo zimetoka wapi?

Swala sio kuishi wapi (japo naweza kuwa vingunguti kwa sasa) hii mitandao tu; mtu anaweza kuwa popote.
 
Lema kuwaambia watu wale pesa, huko Si kuhalalisha RUSHWA?
 
Ishu ni kuwa unatetea jambo usilolijua,sisi tupo humu ndani tunajua na tunaelewa kuwa kwa sasa Mbowe ni project ya CCM ndiyo maana maccm mnampigania sana mtu wenu. Ila atanyooshwa tarehe 21,hel zitaliwa na kura atanyimwa hadi sana tunajua hadi idadi ya kura zetu na kila atakayetupigia kura tunamjua. Pigeni kelele muwezavyo lakini chama kitabaki kuwa salama.
 
12B sio pesa ya kitoto 🤣
Kama ni kweli basi mimi ningetarajia Watanzania wote wenye akili timamu washituke sana kuwa hizo 12B ZIMETOKA WAPI? Hilo ndilo linatakiwa kuwa swali namba moja - kabla ya mengine yote!

Hakuna mtu mwenye kipato halali Tanzania cha kumuwezesha kugawa rushwa ya 12B. Hata kwa mafisadi sio rahisi kutoa kiasi hicho toka kwenye mapato yao. Hata taasisi zenye bajeti kubwa zikitoa kiasi hicho zitatetereka na hata kuweza kufa.

Kama kweli hela za namna hiyo zinatolewa kama hongo halafu watu wanahangaika na nani “KANUNULIKA” kwenye siasa badala ya huyo “MWIZI MKUU” Basi kweli hii ni nchi ya maiti zinazotembea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…