Godbless Lema: Kuna mtu mkubwa anataka kujenga hoteli Ngorongoro

Godbless Lema: Kuna mtu mkubwa anataka kujenga hoteli Ngorongoro

Hata dhahabu inavyochimbwa pale Geita walihamishwa watu, Pale Mererani pia walihamishwa watu tanzanite ichimbwe... Ngorongoro pia wanapaswa kuhama watu ili utalii ufanyike na mahoteli yajengwe....
 
Yaani wakitaka wakaushe hata bahari yote ya Hindi wajenge mahoteli Yao Ni sawa tu.Wao ndio wazalendo, wanyonge kaeni kwa kutulia tu.
Nyie wananchi mkiwa wapi? Mnewapa wanasiasa too freedom ya kufanya chochote mpaka wanadharau.
Mtalalamika hadi lini?
 
Back
Top Bottom