Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Huyo mtu atakua na ukwasi wa kutoshaHuko atajenga camp sites
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mtu atakua na ukwasi wa kutoshaHuko atajenga camp sites
Mzee wa watu yupo kitandani anajitibia, Leo akawekeze Ngorongoro?Atakuwa Edwin Mtei
Yule mhuni tu,, naona zile siasa za matope , ooh lowasa fisadi sana, ghorofa za dar zote ni za ridhiwan,,, [emoji28]Mwambie Lema aache uoga, yeye yuko Canada anaogopa kutaja jina, otherwise atakuwa mzushi.... Alipaswa kusema Mtu A anataka kujenga hoteli Ngorongoro na ushahidi huu hapa (very clear sio mapichapicha)
Uswahili unazirudishaYule mhuni tu,, naona zile siasa za matope , ooh lowasa fisadi sana, ghorofa za dar zote ni za ridhiwan,,, [emoji28]
Hizi siasa zinataka kurudi tena kwa kasi...
Mpaka mwisho wa dunia mkuu.. [emoji23]Although hujajibu swali umeniuliza swali .The difference is mm niko ready? But utaandamana mwenyewe? Utaingia msituni mwenyewe?
Kama hamna umoja hamna power, na wanasiasa wa nchi wameshajua. Divide them hawatokuwa na nguvu.
But narudi pale pale malalamiko mpaka ini?
Nasikia hoteli itakua na upana wa mile 5kwa 5Ina maana huyo mtu anajenga hotel katika maeneo yote yale ambayo Wamasai walikua wanaishi?
Tutumieni akili aisee
Atakuwa ni fisadi Kikwete na hawara yake mwenye macho yaliyolegea
Vibaraka wa Kenya endeleeni tu kutumikaHii ni kauli ya Godbless Lema kupitia mariaspache muda mfupi uliopita.
Kaongeza kuwa wanasubiri wapate makaratasi/ karatasi kuna siku watamtaja.
Swali: Mtu huyu ni nani?
Kwani kuna shida mtu mkubwa serikalini akijenga Hoteli Ngorongoro...?
Anavojua kuwachota hao Chadema sasa! Wanakurupuka tu kuja kuleta uzi hata hawawaziMwambie Lema aache uoga, yeye yuko Canada anaogopa kutaja jina, otherwise atakuwa mzushi.... Alipaswa kusema Mtu A anataka kujenga hoteli Ngorongoro na ushahidi huu hapa (very clear sio mapichapicha)
Awamu ya pili sheraton hotel ilijengwa uwanja wa Golf huko Dar. Sasa ni zamu ya kujenga hotel NgorongoroLabda wajenge hewani, sisi hatutoki hapa
Mimi kama mdau wa utalii na uwindaji kwa miaka 30 sasa,naamini kujenga hoteli kwenye mbuga za wanyama (na conservation areas) si mbaya kama hakutaharibu tu "animal ecology" ya eneo husika.Yaaani nyie pro-Chadema mnashikiwa aikili na Chadema kwani kujenga hoteli Ngorongoro ni makosa?
Wewe ndio mjinga kwa kusoma "unaouita" ujinga na kuuchangia ujinga huo. Hapo ni ujinga kipeo cha pili,hivyo wewe ni mjinga².Yaan mtu anatoa ujinga huko space anashusha JF.
Who is Lema in this country by the way??
Mara michango mara hili, kila uchao ni kudandia hoja, WAPUMBAVU.
Ina maana huyo mtu anajenga hotel katika maeneo yote yale ambayo Wamasai walikua wanaishi?
Tutumieni akili