Godbless Lema: Kuna mtu mkubwa anataka kujenga hoteli Ngorongoro

Godbless Lema: Kuna mtu mkubwa anataka kujenga hoteli Ngorongoro

[emoji1][emoji1] wewe Kama mwananchi umechukua hatua gani?umeingia msituni,umeandamana au na we umeishia kupiga kelele huku JF?
Although hujajibu swali umeniuliza swali. The difference is mm niko ready? But utaandamana mwenyewe? Utaingia msituni mwenyewe?

Kama hamna umoja hamna power, na wanasiasa wa nchi wameshajua. Divide them hawatokuwa na nguvu.

But narudi pale pale malalamiko mpaka ini?
 
Hii ni kauli ya Godbless Lema kupitia mariaspache muda mfupi uliopita.

Kaongeza kuwa wanasubiri wapate makaratasi/ karatasi kuna siku watamtaja.

Swali: Mtu huyu ni nani?
Tumeshawazoea ndio maneno yao hayo. Jangwani pale watu walikuwa wanakufa kila msimu wa mvua. Serikali ikijaribu kuwahamisha propaganda ni hizohizo, "Serikali imeuza kwa muwekezaji".

Dunia haijasimama, Ngorongoro watu wanaongezeka kwa kasi, wanajenga nyumba za kisasa kwenye mapito ya wanyama tofauti na maboma ya zamani na wanyama wanaongezeka pia.

Ni changamoto inayohitaji ufumbuzi. Maswala ya utafiti wa kitaaam yanaingiliwa na siasa za kiharakati.
 
Hii ni kauli ya Godbless Lema kupitia mariaspache muda mfupi uliopita.

Kaongeza kuwa wanasubiri wapate makaratasi/ karatasi kuna siku watamtaja.

Swali: Mtu huyu ni nani?

Mimi sioni kosa mtu kujenga hotel Ngorongoro kama amefata sheria na taratibu zote na kama hela ni zake na ni za halali kabisa....hakuna kosa mtu kujenga hotel!
 
Hii issue inaenda kuwa kubwa sana huko mbeleni unless wanaachana na huo mpango wao.
Ajikaange kwa mawese yake mwenyewe.

Niliwahi kuuliza anayemwelewa mama anakotupeleka, jibu lilikuwa anatuponya majeraha.

Full kudemka. Tusubiri mweleka baada ya kudemka.
 
Hii ni kauli ya Godbless Lema kupitia mariaspache muda mfupi uliopita.

Kaongeza kuwa wanasubiri wapate makaratasi/ karatasi kuna siku watamtaja.

Swali: Mtu huyu ni nani?
Hakuna cha hotel hapo!!! Naona ile kauli niliyowahi kuisikia kwamba kama kuna maeneo ya hifadhi Yana rasirimali ya madini itabidi yatumike/yachimbwe [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] naona inaenda kutimia
 
Mwambie Lema aache uoga, yeye yuko Canada anaogopa kutaja jina, otherwise atakuwa mzushi.... Alipaswa kusema Mtu A anataka kujenga hoteli Ngorongoro na ushahidi huu hapa (very clear sio mapichapicha)
Na kama hana uhakika angenyamaza
 
Mwambie Lema aache uoga, yeye yuko Canada anaogopa kutaja jina, otherwise atakuwa mzushi.... Alipaswa kusema Mtu A anataka kujenga hoteli Ngorongoro na ushahidi huu hapa (very clear sio mapichapicha)
Nani mwenye hati milki ya uwekezaji,kimsingi hiyo sio hoja yakujadili kama atafuata taratibu za uwekezaji huko ngorongoro.
 
Ina maana huyo mtu anajenga hotel katika maeneo yote yale ambayo Wamasai walikua wanaishi?

Tutumieni akili aisee
 
Although hujajibu swali umeniuliza swali .The difference is mm niko ready? But utaandamana mwenyewe? Utaingia msituni mwenyewe?
Kama hamna umoja hamna power, na wanasiasa wa nchi wameshajua. Divide them hawatokuwa na nguvu.

But narudi pale pale malalamiko mpaka ini?
Mapinduzi ya tunisia alianzsha mtu mmoja tu
 
Hii ni kauli ya Godbless Lema kupitia mariaspache muda mfupi uliopita.

Kaongeza kuwa wanasubiri wapate makaratasi/ karatasi kuna siku watamtaja.

Swali: Mtu huyu ni nani?
Huyu mwizi wa magari kabakisha umbea tu si amtaje huyo mtu mkubwa.
 
Watu kuhamishwa sio jambo la kushangaza wale wananchi waliopelekwa mabwepande na sasa umekuwa mji mkubwa hawakuwa wajinga ni utaratibu tu,kabla population haijakuwa kubwa zaidi walipwe fidia wapishe hifadhi maana kilichopo hapo ni ujangili wa kuua tembo na kuingiza mifugo hifadhini huo ndio ukweli.
 
Hii ni kauli ya Godbless Lema kupitia mariaspache muda mfupi uliopita.

Kaongeza kuwa wanasubiri wapate makaratasi/ karatasi kuna siku watamtaja.

Swali: Mtu huyu ni nani?
Wewe ni mfuasi wa huyo bwana tena kindaki ndaki, kwanini usimuulize huko huko twitani harafu ukaja na taarifa kamili.
 
Hii ni kauli ya Godbless Lema kupitia mariaspache muda mfupi uliopita.

Kaongeza kuwa wanasubiri wapate makaratasi/ karatasi kuna siku watamtaja.

Swali: Mtu huyu ni nani?
Yaaani nyie pro-Chadema mnashikiwa aikili na Chadema kwani kujenga hoteli Ngorongoro ni makosa?
 
Back
Top Bottom