Godbless Lema: Kuna mtu mkubwa anataka kujenga hoteli Ngorongoro

Godbless Lema: Kuna mtu mkubwa anataka kujenga hoteli Ngorongoro

Hii ni kauli ya Godbless Lema kupitia mariaspace muda mfupi uliopita.

Kaongeza kuwa wanasubiri wapate makaratasi/ karatasi kuna siku watamtaja.

Swali: Mtu huyu ni nani?
Kwa hiyo kuna tatizo gani?
Yeye akae huko huko ajenge nchi ya Canada kwa raha zake.
 
Back
Top Bottom