Godbless Lema: Kuna mtu mkubwa anataka kujenga hoteli Ngorongoro

Godbless Lema: Kuna mtu mkubwa anataka kujenga hoteli Ngorongoro

Niliisikiliza Hii Space!

Hii nchi kuna watu wana akili sana, sema hatuwapi nafasi watuongoze!
 
Mwambie Lema aache uoga, yeye yuko Canada anaogopa kutaja jina, otherwise atakuwa mzushi.

Alipaswa kusema Mtu A anataka kujenga hoteli Ngorongoro na ushahidi huu hapa (very clear sio mapichapicha)
Je wewe umewahi sema ya namna hiyo? Wakati hapa JF tu umejificha kwenye fake ID. Amesema kwa sasa anaendelea na uchunguzi, makaratasi yakitola tu atamtaja. Ila wewe kaama unamjua pia itisha pres au mtaje

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni kauli ya Godbless Lema kupitia mariaspache muda mfupi uliopita.

Kaongeza kuwa wanasubiri wapate makaratasi/ karatasi kuna siku watamtaja.

Swali: Mtu huyu ni nani?

Mbele kidogo ya Bunju kabla ya Mkata, nasikia arufu ya mifugo, atakuwa Na ranchi! Ngoja niendelee sikiliza moyo...
 
Kama ni hotel inayojali asili haina tatizo. Hao Masai wanaokunya hovyo ndani ya hifadhi wafurumushwe mara moja. Wezi wakubwa wa mifugo. Lema mwenyewe mwizi ndio maana amekimbia nchi. MaCHADEMA hovyoo sana.!
 
Kama ni hotel inayojali asili haina tatizo. Hao Masai wanaokunya hovyo ndani ya hifadhi wafurumushwe mara moja. Wezi wakubwa wa mifugo. Lema mwenyewe mwizi ndio maana amekimbia nchi. MaCHADEMA hovyoo sana.!
Mkuu wewe kero yako kubwa iko kwenye hao wamaasai kuchimba dawa!😂😂
U made my day,
Sasa porini wafenyeje! Watu wana uchungu na hao wamaasai
 
Watu mna nongwa yaani mnataka kuuaminisha umma kwamba project hii ni ya bwana yuleeeee
 
Hata dhahabu inavyochimwa pale Geita walihamishwa watu, Pale Mererani pia walihamishwa watu tanzanite ichimbwe... Ngorongoro pia wanapaswa kuhama watu ili utalii ufanyike na mahoteli yajengwe....
Ngorongoro watahamishwa wanyama.
 
Kwani kujenga hoteli ni dhambi?si ndio ajira zenyewe hizo au tatizo liko wapi?
 
Hivi Kujenga Hoteli Ngorongoro pia ni uchafuzi wa Mazingira ? Inajengwa vipi na wapi na kwa gharama zipi ?, na Je huyu mtu anafuata utaratibu wa kisheria na kimazingira ? Je kuna tija kama taifa kwa hoteli hiyo ?

Nadhani kosa au makosa yatakuwa kwenyr majibu hayo na sio ujengaji wa hoteli... (Kama unataka watalii waje wakae wapi kwenye miti) ? Au kama Hoteli zinajitosheleza basi asijenge....
 
Chui jike
images (78).jpeg
 
Back
Top Bottom