Umenena kweli iliyo tupu mkuu!Wee pumba kweli! Sidhani kama umeelewa kilichoshauriwa. Au, ulivyosoma tu jina la aliyetoa ushauri, basi umekurupuka na kuandika ulichoandika. Usitishwe na RANGI YA KITABU. Soma maandishi yaliyoandikwa ndani!
Ushauri wa kuanzia uongozi mpyaUshauri wa kufungia mwaka kwa watu wenye akili!
Ushauri hauna 'mipaka' ewe taga.Toka lini CDM wameanza kuishauri CCM !!???
Kwani kashauri vibaya?Yaani Lema anaishauri ccm!
Ushauri wa Lema ni kuntu sana!
Elimu bila akili......!
Wapuuzi kweli nyie imarisheni chama chenu au mmekata tamaa kwamba hamuwezi kuchukua madaraka!???Ushauri hauna 'mipaka' ewe taga.
Imagine....kwa hiyo Salum Mwalimu ndio angekuwa Rais kwa sasa!
Tangu Rais Samia Suluhu aliposema ‘huu ni wakati wa kufutana machozi’.Toka lini CHADEMA wameanza kuishauri CCM !!???
Sasa nyie jichanganyeni na akili zenu za kichalamila! ushauri ndio ushatolewa na nabii, mshasahau ya Jiwe?Wapuuzi kweli nyie imarisheni chama chenu au mmekata tamaa kwamba hamuwezi kuchukua madaraka!???
Tofautisha mapenzi na unafki wa mtu.Ana mapenzi na Tanzania. Tanzania kwanza vyama baadae ndiyo mpango mzima.
Mtu mwenye hekima hupokea ushauri lkn halazimishwi kuufuata, Lema kashauri amueni kwa busara kama mtaona hakuna haja ya kutumia busara sawa.Sasa Lema anashauri kama nani mana hata serikali iliyopo madarakani hawatambui uhalali wake, Kweli ukiona Choo ndotoni hupaswi kukitumia, Huu ushauri ni trash Ccm ni strongest institute kupata kutokea tangu taifa ili lianzishwe ndio taaisi iliyo sheheni experts wa kila namna, Lema atulie sasa wajipange 2025 kuliko kuelekeza nguvu kushauri taasisi imara kama ccm
Wanashindwa kushauri uongozi wa chama chao ila vya wengine ni kimbelembeleToka lini CHADEMA wameanza kuishauri CCM !!???
Kwani CHADEMA ndio inaunda serikali? Ushauri wake ni mzuri kwakuwa mtu akishakuwa RAIS anakuwa ni wa wote na si RAIS wa CCM pekee. Hivyo huu ushauri alioutoa sidhani kama umekaa kinafiki isipokuwa tu umetolewa na mtu mwenye mlengo tofauti na CCM. Hiyo ndio shida.Huo ushauri angeutoa ndani ya chama chake ingependeza