Godbless Lema: Makamu wa Rais ni Rais mtarajiwa, CCM amueni kwa busara

Wachawi mmeanza sasa
Ccm Ina taratibu zake,haiwezi kupokea maelekezo toka kwa makada wa chadema
Miezi michache nyuma,kabudi alikuwa anatukanwa na kukejeliwa
Mwenyekiti Magufuli Mungu amrehemu,alishatoa muelekeo wa chama namna ya kutoa viongozi baada ya uchaguzi wa 2020,mtu Kama kabudi,lukuvi wanatupwa nje dimba sababu tu ya umri wao
Wee pumba kweli! Sidhani kama umeelewa kilichoshauriwa. Au, ulivyosoma tu jina la aliyetoa ushauri, basi umekurupuka na kuandika ulichoandika. Usitishwe na RANGI YA KITABU. Soma maandishi yaliyoandikwa ndani!
 
Ni kweli kabisa huo ujinga wa kujifanya hamuwezi kushauriwa na asiye wa upande wenu ndio ulio wafanya leo mnalia lia kumzika mungu wenu mliye mtengeneza
 
Kwan we hujawahi kufiwa ukalia?
 
Wee pumba kweli! Sidhani kama umeelewa kilichoshauriwa. Au, ulivyosoma tu jina la aliyetoa ushauri, basi umekurupuka na kuandika ulichoandika. Usitishwe na RANGI YA KITABU. Soma maandishi yaliyoandikwa ndani!
Yaani Lema anaishauri ccm!
 
Back
Top Bottom