Pre GE2025 Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA

Pre GE2025 Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu kama ulivyosikia mwenyewe kwa Lemma, Mbowe hakuwa na mpango wa kugombea na mwaka 2019 pia aliuambia mkutano mkuu kuwa hatagombea tena. Sasa huu mpango wa kugombea ni agano lake binafsi na Samia ikimaanisha kuwa Mbowe kugombea ni mpango wa CCM kwa maslahi mapana ya CCM ndiyo maana maccm wote wanampigania Mbowe awe mwenyekiti kwa faida ya Samia na CCM. Dr. Slaa pia amesema kuwa Samia ameahidi kumpa Mbowe fedha na rasilimali watu kumsaidia kurudi madarakani.
Atashirikiana na serikali kwa lolote lile,hii ni mojawapo ya ahadi zake alipotoka gerezani.
 
Sisi wanachama wa CHADEMA tumeona hivyo kuliko kuendelea kuikumbatia CCM ambayo haitupendi hata tone bora tuwe na mfumo wetu ambao utaamua mipango ya chi yetu pamoja na mustakabali wa nchi yetu bila kumkumbatia mtu mwenye uwezo wa kifedha hata kama anatupeleka shimoni.
Hongereni sana kwa kuamua hivyo. Kilichobaki ni kumpigia kura atakaewafikisha huko mnakotaka kwenda. Msimpigie kura huyo ambae kwa miaka 30 amekuwa akiikumbatia CCM. Ila msiwanyime fursa ya kumpigia kura wale ambao bado wana imani nae.

Amandla...
 
Iwapo team TAL,itashinda uchaguzi, Baada ya uchaguzi huu wa chadema kumalizika,kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu 2025.

Ninashauri serikali ya CCM kujenga magereza na vituo vya polisi vingi kwani idadi ya wafungwa na wakamatwaji itaongezeka kwa asilimia 1000
 
Hongereni sana kwa kuamua hivyo. Kilichobaki ni kumpigia kura atakawafikisha huko mnakotaka kwenda. Msimpigie kura huyo ambae kwa miaka 30 amekuwa akiikumbatia CCM.

Amandla...
Hakuna anayekataa kumpigia kura Mbowe bali ni ushauri tu watu wanatoa,usishangae kwenye sanduku la kura akaibuka kidedea,kinachotusikitisha na kutufikirisha sana ni namna jinsi makada wa ccm wanavyompambania Mbowe ili aendelee tu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wakati Wanachadema wanashauri Mbowe apumzike na abaki kuwa mshauri mkuu na vile vile mjenzi wa chama .
 
Iwapo team TAL,itashinda uchaguzi, Baada ya uchaguzi huu wa chadema kumalizika,kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu 2025.

Ninashauri serikali ya CCM kujenga magereza na vituo vya polisi vingi kwani idadi ya wafungwa na wakamatwaji itaongezeka kwa asilimia 1000
Wewe kibungo kaa pembeni
 
Uchaguzi ukiisha, lissu na nabii wake wapewe mkono wa kwaheli. Maana naona sasa hawamuheshimu menyekiti chama.
Huu uchaguzi Mbowe hatoboi.
Na baada ya uchaguzi Mbowe anamfuata msigwa CCM.
Ndani ya siasa hakuna rafiki wa kudumu wala rafiki wa kudumu.!
Mwanasiasa sio mtu wa kumuamini .
Mwanasiasa ni mtu anayebadilika kulingana na masilahi .
Kwahiyo usishangae baada ya uchaguzi Mbowe kuitisha vyombo vya habari na kusema:" CHADEMA SIO BABA YANGU NA CHADEMA SIO MAMA YANGU.
NINAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI.
 
hata akishinda,heshima kwa watu na wanachama haitakuwepo kama zamani,mengi yamesemwa juu yake,kama anabusara,angejitoa tu.
Mbowe, Wenje wakishinda watawarudisha covid 19 na kutetea sera ya maridhiano, kumtetea Abdul na mama Abdul.

Katiba mpya, tume huru, kupinga ufisadi tusahau.
 
kipi alisema hakikutokea maana mara ya mwisho mlimuweka ndani kisa kutabiri magu atakufaa .....magu yukowapiiii?????

haha very funny, nimeshapanga kukuibia nimechora kila kitu kimekaa sawa kwa 100% halafu nakuja kukutabiria karibia utaibiwa, ukishaibiwa, nakuja kukwambia mimi ni nabii ?
 
Huu uchaguzi Mbowe hatoboi.
Na baada ya uchaguzi Mbowe anamfuata msigwa CCM.
Ndani ya siasa hakuna rafiki wa kudumu wala rafiki wa kudumu.!
Mwanasiasa sio mtu wa kumuamini .
Mwanasiasa ni mtu anayebadilika kulingana na masilahi .
Kwahiyo usishangae baada ya uchaguzi Mbowe kuitisha vyombo vya habari na kusema:" CHADEMA SIO BABA YANGU NA CHADEMA SIO MAMA YANGU.
NINAJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI.
hahahahahahahahahahahahaaha....
usifanye mchezo na mtu anaeitwa mwenyekiti.kipindi choote keshapanga watu wake wa maamuzi.
 
Iwapo team TAL,itashinda uchaguzi, Baada ya uchaguzi huu wa chadema kumalizika,kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu 2025.

Ninashauri serikali ya CCM kujenga magereza na vituo vya polisi vingi kwani idadi ya wafungwa na wakamatwaji itaongezeka kwa asilimia 1000
Team Mbowe ndiyo mlimchoma Mzee Kibao,damu yake itakuwa juu ya vichwa vyenu daima.
 
Mimi hicho ndio sielewi. Kwa vile wameona hastahili kuendelea kuwa Mwenyekiti wafanye kampeni ili wapiga kura wasimchague. Haya ya kumtaka apumzike, oh ni ndugu yangu, oh kabila yangu n.k. halina nafasi hapa. Lema hakuwa na haja ya kuweka press conference kutoa taarifa ya kitu ambacho wote tunakijua. Au anaogopa kuwa Mbowe nae atasema " et tu Lema?"

Mimi ningewashauri kuwa pamoja na kumshauri apumzike wangemwambia pia kuwa apumzike katika kuchangia chama kifedha kupita kiasi. Wanachama watakibeba chama chao.

Amandla...
Kuchangia Chama? Kwani anatoa Pesa zake Mfukoni? Kwanini anafanya Ivo sasa au Chama ni cha familia mpaka anajitoa Kiasi icho?
FAM amehudumu for 21 good years bado ameshindwa Kuweka Mpango mzuri wa fedha kwa taasisi mpaka atoe hela Mfukoni?
Ana mapenzi gani na Chama mpaka atoe hela zake mfukoni au kuna interest nyingine?
 
Back
Top Bottom