Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

lema akili yako bado haijakaa sawa ,tangu ibunguliwe na wadudu ,hata ww nafsi yako inakupa majibu ulijipanga kumchafulia baloz hiyo meeting,hivyo kwa maslahi mapana ya nchi ,baloz kafanya vyema kuku ignore kwenye hiyo meeting. mjifunze ku appreciate & ku challenge,sio kutoa matusi na kabehi,Sasa hv tuko na Samia ,ww unaweweseka na jpm,fu.......c...............k............k.........
Ilikuwa meeting ya watanzania au meeting ya kamati ndogo iishiyo kanada ya ccm??
 
Kwa nini uingie kwenye mkutano ambao haukukaribishwa? Ujinga, kukosa elimu na kukosa exposure ndiyo vinakusumbua.
Juzi Biden alikuwa na mkutano wa demokrasia, Tanzania hatukualikwa, ulitaka tujihudhurishe kishetani bila kualikwa?
Hata kulalamika mitandaoni inaonyesha ni kiasi gani wewe ni ignorant.
Wewe ndiye mpumbavu!. Umeambiwa "Watanzania waishio Canada". Ulitaka mwaliko gani zaidi? Angelikuwa na specific invited members, kwa nini Lema alia access Mkutano? Acheni umbweha. Pumbavu.
 
Mwanasiasa wa ovyo unaeshiriki mazishi ya mbwa ulitaka ukaongee nini huko kwenye mkutano wa mh Balozi...
Serikali ikiwa chafu, inakuwa chafu kwa matendo yake. Na macho ya wananchi na majirani yanaona. Huhitaji kusema abc kachafua au kasafisha nchi, huo ni uwenda wazimu,if ur at least form 6 level graduate
 
Nasisitiza ibilisi joka kuu aliacha smetuharibia nchi na utaifa wetu kwa roho yake mbaya na chuki ambavyo alifanikiwa kuvipanda miongoni mwa wabaya wenzie.
Hivi, unapomtukana hivi Magufuli, unajua kwamba uko chini ya Mungu mwenye kuhukumu kwa haki bila ushabiki wala mihemko?

1. Kama wewe unaona Magufuli alikuwa mbaya hivyo na hakuna jema hata moja alifanya kwa taifa, ni kweli hata Mungu anaona hivyo?

2. Ufahamu wako unamwona Magufuli ni rais mbaya kuliko wote katika historia ya taifa. Hata watu wenye akili timamu na nia njema kwa taifa wanaona hivyo?

3. Siku ukija kugundua kwamba katika hayo unayomsagia meno nayo Magufuli, kuna moja tu, hakufanya yeye, bali lilifanyika sehemu fulani ambayo hata yeye hakuwa na uwezo wa kuzuia, akapewa taarifa tu; sehemu ambayo hata yeye ilimdhibiti kufanya baadhi ya mambo aliyotamani kuyafanya tofauti na alivyofanya; sehemu ambayo pengine inafanya hata kiongozi aliyepo afanye kwa rangi inayoonekana katika masuala mbali mbali; UTASEMA NINI KWA NAFSI YAKO? UTAKUJA MTANDAONI UOMBE RADHI?

4. Wakati ULIMBOKA anang'olewa meno na kucha, ilikuwa kipindi gani kweli?

5. Unaju akwamba kuna siku utakufa na kwenda mbele za MUNGU ambako kila jambo litawekwa wazi?

Uwe na akiba ya maneno kwa kuwa hujui mambo yote.
 
Malaya hawakai katika madanguro tu, unaweza kuta hata mama au dada yako ni malaya na anakaa nyumbani, kuwa mstaarabu.
Na wewe ni mtoto wa malaya kwa kuwa unajuwa kuwa akina mama na akina dada wanapatikana madunguro
 
Kwa nini uingie kwenye mkutano ambao haukukaribishwa? Ujinga, kukosa elimu na kukosa exposure ndiyo vinakusumbua.
Juzi Biden alikuwa na mkutano wa demokrasia, Tanzania hatukualikwa, ulitaka tujihudhurishe kishetani bila kualikwa?
Hata kulalamika mitandaoni inaonyesha ni kiasi gani wewe ni ignorant.
Km hakukaribishwa hio link aliipatia wapi?
 
Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:

"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya,alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom.Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."

View attachment 2041068
Magufuli anahusika vipi hapo
 
Kwa nini uingie kwenye mkutano ambao haukukaribishwa? Ujinga, kukosa elimu na kukosa exposure ndiyo vinakusumbua.
Juzi Biden alikuwa na mkutano wa demokrasia, Tanzania hatukualikwa, ulitaka tujihudhurishe kishetani bila kualikwa?
Hata kulalamika mitandaoni inaonyesha ni kiasi gani wewe ni ignorant.
Basi angealika Wana CCM, waishio Canada sio watanzania waishio Canada. Kuweni na akili nyie mazuzu.
 
Hivi, unapomtukana hivi Magufuli, unajua kwamba uko chini ya Mungu mwenye kuhukumu kwa haki bila ushabiki wala mihemko?

1. Kama wewe unaona Magufuli alikuwa mbaya hivyo na hakuna jema hata moja alifanya kwa taifa, ni kweli hata Mungu anaona hivyo?

2. Ufahamu wako unamwona Magufuli ni rais mbaya kuliko wote katika historia ya taifa. Hata watu wenye akili timamu na nia njema kwa taifa wanaona hivyo?

3. Siku ukija kugundua kwamba katika hayo unayomsagia meno nayo Magufuli, kuna moja tu, hakufanya yeye, bali lilifanyika sehemu fulani ambayo hata yeye hakuwa na uwezo wa kuzuia, akapewa taarifa tu; sehemu ambayo hata yeye ilimdhibiti kufanya baadhi ya mambo aliyotamani kuyafanya tofauti na alivyofanya; sehemu ambayo pengine inafanya hata kiongozi aliyepo afanye kwa rangi inayoonekana katika masuala mbali mbali; UTASEMA NINI KWA NAFSI YAKO? UTAKUJA MTANDAONI UOMBE RADHI?

4. Wakati ULIMBOKA anang'olewa meno na kucha, ilikuwa kipindi gani kweli?

5. Unaju akwamba kuna siku utakufa na kwenda mbele za MUNGU ambako kila jambo litawekwa wazi?

Uwe na akiba ya maneno kwa kuwa hujui mambo yote.
Mbona hueleweki? Naona bado una kiwewe. Pole sana ndugu. Ni mipango ya Mungu.
 
Back
Top Bottom