Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

Kwa hiyo Lema ndiyo ana common sense kwa kujipitisha kwenye ma NGO kutaka kukwamisha mahusiano ya kiuchumi ya Tanzania na mataifa? Sasa anataka nini kwenye mkutano wa balozi?

Stop this hypocrisy
Basi barozi asingetumia neno watanzania waishio canada. Ni hapo penye shida,ukishasema watanzania na Lema yumo,au angesema watanzania wanaoiunga mkono serikali ya Tanzania bila ukakasi Lema asingejiunga nao, neno watanzania halimilikiwi na Chama chochote Cha kisiasa,Wala mrengo wowote wa kisiasa Ni Mali yetu sote.
 
Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:

"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya,alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom.Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."

Asubili meeting ya wakimbizi wa Tz waishio Canada, ubalozi hautambui uwepo wake huko😂😂
 
Basi angealika Wana CCM, waishio Canada sio watanzania waishio Canada. Kuweni na akili nyie mazuzu.
Majinga sana,yanatumia kodi zetu kuandaa mkutano na yanatangaza kuwa ni kwa watz wote waishio Canada halafu yanabagua watu.

Kuna mwanazuoni alisema Waafrika ndio wanaongoza kwa ubaguzi kuliko wengine wote,sasa nimeamini
 
Mkuu kipokee hicho cheo siyo mbaya.

Ktk hili Sabaya ni shahidi juu ya uwezo wa kimaono wa mh Lema.
Nimekipokea thought no envelope.

Unamsema sabaya wa juzi, alianza na mzee baba hadi akaletewa zengwe
 
Understanding depends on intellectual ability. Not everything is for everybody. Got it?
After being traumatized by unprecedented calamity,just few if not none found it lucky to get back to their very own senses.
 
Kwa kweli Balozi kafanya kitu kizuri sana. Kwa nini uingie kwenye mkutano wa watu wake wema. Wewe GODBLESS Lema umechagua kuwa kidudu mtu wa maendeleo na siasa za Tanzania. Ishia huko huko
Hivi huo mkutano si ulikuwa wa watanzania waishio Canada?

Sasa ni kwanini huyo Balozi amuengue Lema?

Kwani kutofautiana kwa mawazo nalo ni kosa la jinai, kwa mujibu wa sheria za Tanzania?

Hii nchi milele itakosa maendeleo kutokana na watawala wake kukosa maarifa ya kuongoza nchi!
 
Mtu ambaye unamtukana kila siku kwenye mitandao ya kijamii na Spaces za Twitter, mtu ambaye unamtukania kila siku mamlaka yake ya uteuzi na serikali iliyomtuma huko, halafu mtu huyo huyo anaandaa mkutano na watu wake Zoom, anawapa passwords na ID watu wake and nawe hujapewa (Maana yake hujaalikwa), Ya nini kujipendekeza na kuingia kwenye mkutano unaoongozwa na Akili ndogoz? Tena ukiwa hujapewa details za Mkutano meaning hujaalikwa? Hata mimi ningekutoa nduki!! Lema kwa sababu ni akili kubwaz basi ahudhurie mikutano na akili kubwaz wenzake akina Maria, hawa vilaza na balozi wao aachane nao tu
 
Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:

"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya,alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom.Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."

Wamemtendea haki kwa maana angeweza kupeleka mawazo yake ya kibangibangi kwenye Mkutano ambao unaongelea mambo ya msingi
 
Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:

"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya,alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom.Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."

Hongera sana Balozi kwa maamuzi hayo

Lema ulishajitangaza kutaka kuzunguka duniani kote kuitangazia ubaya Serikali ya Tz, sasa leo unataka kushiriki nn ktk huo mkutano ulioandaliwa na kiongozi wa Serikali!???

Majuzi pía, msajili mkuu wa vyama vya siasa aliitisha mkutano wa vyama vyote lakn Chadema mkagoma kuja kwasbb hamtaki kushirikiana na Serikali kisa mnamadai yenu hayajafanyiwa kazi, sasa kama huu ndio msimamo wa Chadema Je wewe Lema ulitaka ushiriki hio Zoom meeting ili iwe nini...!????

Nonsense
 
After being traumatized by unprecedented calamity,just few if not none found it lucky to get back to their very own senses.
It takes either necromancy or mental disorientation to force-fitting into oversize hoodies. Unfortunately, only intelligence appreciates the value of measurements and units.
 
Hivi huo mkutano si ulikuwa wa watanzania waishio Canada?

Sasa ni kwanini huyo Balozi amuengue Lema?

Kwani kutofautiana kwa mawazo nalo ni kosa la jinai, kwa mujibu wa sheria za Tanzania?

Hii nchi milele itakosa maendeleo kutokana na watawala wake kukosa maarifa ya kuongoza nchi!
Lema alikuwa anataka kushiriki kutafuta visababu vya kuongea kwenye hizo Club Houses zao na Space. Organiser of the meeting reserves the right of admission. Usimpangie
 
Kwa kweli Balozi kafanya kitu kizuri sana. Kwa nini uingie kwenye mkutano wa watu wake wema. Wewe GODBLESS Lema umechagua kuwa kidudu mtu wa maendeleo na siasa za Tanzania. Ishia huko huko
Tozo ndio maendeleo? Ujinga mzigo
 
Back
Top Bottom