Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mkuu kipokee hicho cheo siyo mbaya.Mhenga ni cheo ujue.
Heko sana Godbless Lema, tunangojea maono tu huku
Ktk hili Sabaya ni shahidi juu ya uwezo wa kimaono wa mh Lema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kipokee hicho cheo siyo mbaya.Mhenga ni cheo ujue.
Heko sana Godbless Lema, tunangojea maono tu huku
Basi barozi asingetumia neno watanzania waishio canada. Ni hapo penye shida,ukishasema watanzania na Lema yumo,au angesema watanzania wanaoiunga mkono serikali ya Tanzania bila ukakasi Lema asingejiunga nao, neno watanzania halimilikiwi na Chama chochote Cha kisiasa,Wala mrengo wowote wa kisiasa Ni Mali yetu sote.Kwa hiyo Lema ndiyo ana common sense kwa kujipitisha kwenye ma NGO kutaka kukwamisha mahusiano ya kiuchumi ya Tanzania na mataifa? Sasa anataka nini kwenye mkutano wa balozi?
Stop this hypocrisy
Asubili meeting ya wakimbizi wa Tz waishio Canada, ubalozi hautambui uwepo wake huko😂😂Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:
"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya,alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom.Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."
Kwann mtu mwema sabaya mmemfunga??Kwa kweli Balozi kafanya kitu kizuri sana. Kwa nini uingie kwenye mkutano wa watu wake wema. Wewe GODBLESS Lema umechagua kuwa kidudu mtu wa maendeleo na siasa za Tanzania. Ishia huko huko
Hivi ulielewa ulichosoma kabla ya kuandika, kweli?Chadema mkiendekeza mawazo mgando ya kupambana na Magufuli hamtafika popote! Magufuli alishazikwa nanyi kama chama mtazikwa
Majinga sana,yanatumia kodi zetu kuandaa mkutano na yanatangaza kuwa ni kwa watz wote waishio Canada halafu yanabagua watu.Basi angealika Wana CCM, waishio Canada sio watanzania waishio Canada. Kuweni na akili nyie mazuzu.
Nimekipokea thought no envelope.Mkuu kipokee hicho cheo siyo mbaya.
Ktk hili Sabaya ni shahidi juu ya uwezo wa kimaono wa mh Lema.
Naikumbuka sana ile tulihangaika sana pale Kisongo asubuhi na jioni.Nimekipokea thought no envelope.
Unamsema sabaya wa juzi, alianza na mzee baba hadi akaletewa zengwe
After being traumatized by unprecedented calamity,just few if not none found it lucky to get back to their very own senses.Understanding depends on intellectual ability. Not everything is for everybody. Got it?
Mtu mweusi ni Kima aliechangamka.Typical African Mentalily!
Hivi huo mkutano si ulikuwa wa watanzania waishio Canada?Kwa kweli Balozi kafanya kitu kizuri sana. Kwa nini uingie kwenye mkutano wa watu wake wema. Wewe GODBLESS Lema umechagua kuwa kidudu mtu wa maendeleo na siasa za Tanzania. Ishia huko huko
Wamemtendea haki kwa maana angeweza kupeleka mawazo yake ya kibangibangi kwenye Mkutano ambao unaongelea mambo ya msingiAmedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:
"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya,alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom.Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."
Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter:
"Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya,alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom.Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais Magufuli bado anatawala Tanzania."
It takes either necromancy or mental disorientation to force-fitting into oversize hoodies. Unfortunately, only intelligence appreciates the value of measurements and units.After being traumatized by unprecedented calamity,just few if not none found it lucky to get back to their very own senses.
ni kweli, automatically unajifuta,tz hatuna uraia pacha!! automatically huyo sio mtanzania
Ole Sabaya ni jambazi aliyekuwa anaungwa mkono na MagufuliKwann mtu mwema sabaya mmemfunga??
Lema alikuwa anataka kushiriki kutafuta visababu vya kuongea kwenye hizo Club Houses zao na Space. Organiser of the meeting reserves the right of admission. UsimpangieHivi huo mkutano si ulikuwa wa watanzania waishio Canada?
Sasa ni kwanini huyo Balozi amuengue Lema?
Kwani kutofautiana kwa mawazo nalo ni kosa la jinai, kwa mujibu wa sheria za Tanzania?
Hii nchi milele itakosa maendeleo kutokana na watawala wake kukosa maarifa ya kuongoza nchi!