Godbless Lema: Rais Samia na Makamba wanatafuta mbinu za kumbebesha lawama hayati Magufuli

Godbless Lema: Rais Samia na Makamba wanatafuta mbinu za kumbebesha lawama hayati Magufuli

Una uhakika ni maiti za watanzania na si raia wa Ethiopia waliokuwa katika makontena?!!!
Huo uhakika kuwa ni raia wa ethiopia wewe umeupata wap? Uliwapakiza wewe kwenye hayo makontena?
Na vip kuhusu tundu lisu kumiminiwa marisasi? Vip akwilina akwilin? Vip ben saa nane? Vip mawazo? Vip? Vip? Vipiiiii?
Vip kikundi cha watu wasijulikana kutamalaki, kuteka na kutesa watu? Mbona sasa hivi tangu aingie mama hayo maovu dhidi ya binadamu hayasikiki tena?!!! Nani alikuwa akiyaruhusu?!!! He should suffer in the internal fire tuuuu
 
Hivi wewe Yehodaya ni mwanaCCM kweli ?!!!

CCM gani asiyesimamia ITIKADI ya chama kwa kumtetea tu kiongozi mmoja hayati JPM na kukidharau chama na VIONGOZI wengine?!!!

Unafiki hauwasaidii.....

Unafiki wenu kamwe hautaiangusha CCM.....

Endeleeni kujitia hamaniko la nafsi na kujiumiza tu mioyo yenu......


SIEMPRE CCM
Sisimamii mifisadi na Sina mpango .
Kero ya umeme na maji imalizike Kama kipindi Cha Cha Magufuli na zaidi

Magufuli alifikisha mbali umeme na maji kuhakikisha havikatiki hovyo

Ilani gani isiyotatua kero za wananchi Kama kipindi Cha Magufuli?
 
Lema anarukaruka kama tumbili vile.....amekuwa POLITICAL COMMENTATOR 🤣🤣🤣

Aendelee tu kubeba boksi huko CANADA.....

Sisi tupo tunachapa nyumbani kazi kwa kwenda mbele.....


#SiempreJMT
#KaziIendelee
Wewe mbona unabeba boksi huko Denmark!? Au ndio yale ya nyani kucheka kundu la mwenzie? Rudi nyumbani uogelee kwenye mgao wa maji na umeme. Muhula wa 3 wa vasco da gama wa msoga huu, kwa hiyo kinachotokea wala si kipya.
 
Hao wanaombebesha lawama hayati wasitutie dhambi,kwani Magu alikuwa Chadema?!serikali yao si ile ile?!sasa iweje waone failure ya Magu haiwahusu?!mama hakuwemo serikali ya Magu?January ni TLP?!embu acheni kutufanya hatuna akili!rudisheni umeme na maji haraka.😡
 
Sisimamii mifisadi na Sina mpango .
Kero ya umeme na maji imalizike Kama kipindi Cha Cha Magufuli na zaidi

Magufuli alifikisha mbali umeme na maji kuhakikisha havikatiki hovyo

Ilani gani isiyotatua kero za wananchi Kama kipindi Cha Magufuli?
Kumbeee....

Kwa hiyo ulianza kuwa mwanaCCM kipindi cha utawala wa hayati JPM?!!!

Kama ndivyo.....hayupo Sasa ....CCM iliyomfanikisha umjue na kuwa Rais wetu ipo......bado inaendelea......Inaendelea ......tuko nayo......na tumeshazoea mashambulizi ya visingizio kutoka ndani na nje yake........

Hongera swahiba" wa mnafiki Lema.....
 
Wewe mbona unabeba boksi huko Denmark!? Au ndio yale ya nyani kucheka kundu la mwenzie? Rudi nyumbani uogelee kwenye mgao wa maji na umeme. Muhula wa 3 wa vasco da gama wa msoga huu, kwa hiyo kinachotokea wala si kipya.
🤣🤣🤣Mimi sibebi boksi mkuu ha ha ha hiyo ni kazi ya Lema mkuu.....

Hii ni awamu ya 6 mkuu.....awamu mpya kabisaaaaa.....

#KaziIendelee
#SiempreJMT
 
Tatizo la umeme mbona sio jipya, tokea napata fahamu zangu bongo tuna shida ya maji na umeme. Nina wasi wasi mungu atuepushie, lakini yawezekana nikaondoka duniani na tatizo liko pale pale au limezidi.

Mwendo mdundo! Sema siku hizi nimeamua kujiepushia pressure na stress zisizokichwa na miguu au kwa maana nyengine nimekubali matokeo nawasha kibatari tuu halafu kimya kimya silaumu mtu.
 
TAARIFA YA SERIKALI KUPITIA PM NA MM
1) Ng'ombe wamekunywa na kumaliza maji; Mito na vyanzo vya maji vimekauka; 3) Ng'ombe mmoja anakunywa lita 30 kwa siku, ng'ombe 1000 ni lita 30,000; 4) Hali hiyo imepelekea ukame mkubwa sana na hata mabwawa ya kufua umeme yamekauka kwa ng'ombe kunywa maji mengi sana na uzalishaji umeme umepungua sana hadi kuanza kwa mgao wa umeme; 5) Ni marufuku kuanzia sasa ng'ombe kunywa maji ovyo na hakuna kulima mchicha karibu na mito. VERY SIMPLE....

View attachment 2016550
Hivi Masoud Kipanya hawezi kutuchorea huyo ng'ombe anaekunywa maji mpaka anasababisha ukame!!??

Simpo tu anaenda kusababisha mgogoro kati ya serekali za vijiji na raia wake, muda si mrefu mwenye hela atanywesha ng'ombe zake mtoni.
Asienazo ng'ombe zake zitakunywa maji kwa kikombe, shenzzyy!!
 
Msema kweli hafanyi Yale aliyokuwa akiyafanya ARUSHA.....kila mtu wa ARUSHA anamjua huyo sakala.....
Sakala ni mkuu wa mkoa wa dsm. Yaani kukaa kwako arusha miaka ile kabla ya Lema kuwa mbunge ndio kujifanya kumjua Lema! Eti Kila mtu, uliwauliza!?
 
Kwa sasa lawama zote wanaangushiwa wasukuma!😁.
 
Ndio maana watanzania walio wengi wanawaona ni matapeli......
Acha kupotosha" kama ni matapeli, kuna mtanzania yeyote ambae hajui wapinzani walinunuliwa kwa pesa? Mliwezaje kununua matapeli!?

Kimfano, wale wabunge wa covid, ni wakuchaguliwa au wakununuliwa?
 
Hata Rais wa awamu ya tano alikua anawashushia lawana waliyopita...
 
🤣🤣🤣Mimi sibebi boksi mkuu ha ha ha hiyo ni kazi ya Lema mkuu.....

Hii ni awamu ya 6 mkuu.....awamu mpya kabisaaaaa.....

#KaziIendelee
#SiempreJMT
Wewe kama hutaki kuhudumia wazungu huko rudi nyumbani utumikie serikali.
 
Back
Top Bottom