Godbless Lema: Vijana wote mnaoendesha bodaboda, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Godbless Lema akiwa Mwanza amesema “Ukiona dereva bodaboda ameongezeka ujue ni umasikini umeongezeka, hakuna kazi ya mateso, ufukara na umasikini.

"Vijana mnaoendesha bodaboda hivi sasa, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa, mtaumwa vifua, viuno, migongo na wengine mtakuwa vipofu kutokana na upepo.”
 
Mwamba mkuda sana uyu
 
Kakosa sera.
 
 

Lema kuna namna anaongea facts, ngumu sana wenye akili ndogo kumwelewa
 
Huyu Lema kuna kitu kinamuwasha washa!
 
Sad truth 🤔
 
Lema hataki tena siasa za kura ya mtu sasa kaamua kuwapa hasira muitoe CCM madarakani.

Hawezi kueleweka ila anachokifanya ni siasa za Marx, ni mbaya kwa mtawala sababu anakuchonganisha na tabaka la wafanyakazi.

Nawaza hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…