Godbless Lema: Vijana wote mnaoendesha bodaboda, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa

Godbless Lema: Vijana wote mnaoendesha bodaboda, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa

Kwani uwongo???

Mfano,uwe unakaa gongo la mboto na kila siku uwe una piga trip za kuja moroco,hutamaliza miezi 3,6 lazima utakutana na jambo,kama siyo ajali ya kukuletea kilema basi kifo

Ova
Hizo ni harakati za kutafuta pesa

Nazani wewe hufanyi KAZI upo home Tu ndo maana unasema hivo
 
Naona Lema amekuja na mkakati wa kupunguza kura za CDM[emoji16]
 
Boda boda ni kazi ya kimaskini ila ni kazi kuliko kukaa bila kazi.
 
Hakuna aliyewakataza kugombea
Basi ngoja twende huko huko na uzuri wengi tunajua kusoma na kuandika hivyo tunavyo vigezo, mihela ya bure bure ipo yani ukikaa tu na kupiga makofi unalipwa sio kama bodaboda hadi upigwe na upepo na jua.
 
Tough love....

Jamaa anawasanua raia lakini wanamuona mkuda...
 
Siasa inalipa, tujazane huko ndio kwenye hela kazi ndogo pesa nyingi.
Yap. Inalipa kweli ukipata nafasi. Ila kama huna gari nani atakuwaisha kwenye vikao na boda wote ni wanasiasa?
 
Nazo ni ajira za watu kama ajira zingine nafikiri wakati anasema Hilo angesema na njia mbadala nini wafanye kuepuka Hilo alilosema
 
Basi ngoja twende huko huko na uzuri wengi tunajua kusoma na kuandika hivyo tunavyo vigezo, mihela ya bure bure ipo yani ukikaa tu na kupiga makofi unalipwa sio kama bodaboda hadi upigwe na upepo na jua.
Tumia fursa hiyo
 
Wale apolo wa marerani, wakitoka shimoni inawahurumia, nao watakufa mda gani? Lema ukishapata usidharau kazi za watu. Huyo bodaboda haendeshi milele, akipata mtaji anafungua biashara ingine.
Hakuna apolo mzima wote wanaumwa vifua
 
Lema ana matatizo ya akili au msongo wa mawazo Geordavie kamwambia atafute pesa aache mboyoyo.
 
Lema ana matatizo ya akili au msongo wa mawazo Geordavie kamwambia atafute pesa aache mboyoyo.
Ana uhakika wa kupewa ubunge ndio maana anajifanya et anasimamia ukweli anasema hata wasipompa kura hajali.
 
Godbless Lema akiwa Mwanza amesema “Ukiona dereva bodaboda ameongezeka ujue ni umasikini umeongezeka, hakuna kazi ya mateso, ufukara na umasikini.

"Vijana mnaoendesha bodaboda hivi sasa, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa, mtaumwa vifua, viuno, migongo na wengine mtakuwa vipofu kutokana na upepo.”
Kisha kuwa mtabiri
 
Back
Top Bottom