Godbless Lema: Vijana wote mnaoendesha bodaboda, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa

Godbless Lema akiwa Mwanza amesema “Ukiona dereva bodaboda ameongezeka ujue ni umasikini umeongezeka, hakuna kazi ya mateso, ufukara na umasikini.

"Vijana mnaoendesha bodaboda hivi sasa, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa, mtaumwa vifua, viuno, migongo na wengine mtakuwa vipofu kutokana na upepo.”
Ni wachache watakao muelewa Lema, wana siasa wa Tanzania wange kua wawazi na wa kweli kama Lema, tungekua mbali sana huwezi kutegemea maendeleo kwa jamii ilio jaa vijana wanao endesha boda bodaboda.
 
Ana maelekezo ya kutukana,kushughulika na wanyonge waliompenda Magu aliyedhamiria kulinyanyua tabaka hili mbeleni.
 
Huyu jamaa ni mjing* sana na hoja zake za kipuuzi watu wanendesha ndege na wanakufa kifo ni fumbo haijalishi unafanya kazi gani na Rais Samia Suluhu anaendelea kuwawezesha vijana wajiajiri kupitia usafirishaji (Bodaboda) kilimo na biashara zingine kwaiyo asitake kuwarudisha vijana mtaani ili wizi uongezeke
 
Ukiwa na akili level yako huwezi mwelewq Lema.
Sawa ila we kaa ukijua hata aishije akifika miaka 60 OA ni yake awe bodaboda awe raisi awe mbunge
Ila kwa kua wewe ni wa kike mkuu na unapata menses wewe ukifika 50 tu OA unayo
 
Ana maelekezo ya kutukana,kushughulika na wanyonge waliompenda Magu aliyedhamiria kulinyanyua tabaka hili mbeleni.
Onaongelea kuhusu yule shetan, haya kawatoa wapi nyie wanyonge mpaka wapi?
 
Sawa ila we kaa ukijua hata aishije akifika miaka 60 OA ni yake awe bodaboda awe raisi awe mbunge
Ila kwa kua wewe ni wa kike mkuu na unapata menses wewe ukifika 50 tu OA unayo
Mimi wa kike, umejuaje?
 
Sawa kiongozi secretary wa izraeli mtoa roho mafaili yetu umeshayaona huko kuwa hatutoboi miaka 20 Asante kwa taarifa
 
Kwani uwongo???

Mfano,uwe unakaa gongo la mboto na kila siku uwe una piga trip za kuja moroco,hutamaliza miezi 3,6 lazima utakutana na jambo,kama siyo ajali ya kukuletea kilema basi kifo

Ova

Ni wachache watakao muelewa Lema, wana siasa wa Tanzania wange kua wawazi na wa kweli kama Lema, tungekua mbali sana huwezi kutegemea maendeleo kwa jamii ilio jaa vijana wanao endesha boda bodaboda.
wanaofanya kazi viwanda vya plastic , cement, chuma , madawa ya mifugo na binadamu, migodini watakiwa wapi baada ya miaka 20 jibu ili swali , Lema na watu kama nyinyi mmegoma kufikiri kabisa
 
Anaongea kama anavyojamba!
Kinachotokea mdomoni hakina tofauti na kinachomtoka nyuma!
Godbless Lema akiwa Mwanza amesema “Ukiona dereva bodaboda ameongezeka ujue ni umasikini umeongezeka, hakuna kazi ya mateso, ufukara na umasikini.

"Vijana mnaoendesha bodaboda hivi sasa, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa, mtaumwa vifua, viuno, migongo na wengine mtakuwa vipofu kutokana na upepo.”
Lema ana akili ya kuku.
Cant think zaidi ya uzoefu wake.
 
Naona vijana wote tugombee ubunge tu maana ndio kazi ambayo hata Lema aliifanya.
 
Back
Top Bottom