Godless Lema aahirisha mkutano wake na waandishi wa habari

Heche anaiendesha Chadema, kama chama cha familia yake, amekula michango ya tone tone, na hakuna wa kumuajibisha, anaejaribu kufungua mdomo kuhoji kama lema alivyofanya, anamsulubu . Heche hafai kuwa kiongozi!

Mwenyekiti wa chama Lissu anamwambia heche unafanya vizuri wewe na ID fake unasema anaendesha vibaya kukataa maridhiano
 

Hana akili huyo jamaa
 
Lakini walio kuwa wanamshambulia sio machawa wa ccm bali ni wanaharakati uchwara walio jipa umuhimu ulio pitiliza ndani ya chadema.
Chedema isipo tafuta namna ya kuyadhibiti hao wanao jiita wanaharakati wakakuja kukigawa.
 
Heche anaiendesha Chadema, kama chama cha familia yake, amekula michango ya tone tone, na hakuna wa kumuajibisha, anaejaribu kufungua mdomo kuhoji kama lema alivyofanya, anamsulubu . Heche hafai kuwa kiongozi!
CHADEMA sio CCM kwenu ambalo Makamu wa Rais anafukuzwa kama mbwa.
 
Watu mara nyingi husikia sauti ya vitendo kuliko sauti ya maneno.endelea kukaza mwendo CDM


kama hayo kweli hayakuhusu
 
Lema haaminiki
sugu haaminiki
boni haaaminiki

Mbowe anawatumia na tunajua mbowe ni kivuli Cha samia na kikwete
 
Heche anaiendesha Chadema, kama chama cha familia yake, amekula michango ya tone tone, na hakuna wa kumuajibisha, anaejaribu kufungua mdomo kuhoji kama lema alivyofanya, anamsulubu . Heche hafai kuwa kiongozi!
Bilioni 40 za kagoda limited hakuna aliyesimamishwa wala kuhojiwa, CCM tumemuacha Mzee Mkapa akilalamika hadi anaingia kaburini
 
Lema yuko sahihi, tatizo la Chadema ni Heche, Heche ndio mvurugaji mkubwa wa chama. Lema akiondoka CHADEMA,mikoa ya kaskazini, Moshi na Arusha Chadema watakuwa hawana support tena!
Maccm mnamuogopa sana Heche na hamlali kila siku mnamuundia zengwe, mama'e zenu.
 
Heche anaiendesha Chadema, kama chama cha familia yake, amekula michango ya tone tone, na hakuna wa kumuajibisha, anaejaribu kufungua mdomo kuhoji kama lema alivyofanya, anamsulubu . Heche hafai kuwa kiongozi!
Mimba ya Heche itakuua mwaka huu kama vipi ichomoe unusuru maisha yako maana si kwa kuwashwa huku.
 
Lakini walio kuwa wanamshambulia sio machawa wa ccm bali ni wanaharakati uchwara walio jipa umuhimu ulio pitiliza ndani ya chadema.
Chedema isipo tafuta namna ya kuyadhibiti hao wanao jiita wanaharakati wakakuja kukigawa.
Nafikiri kama umesikiliza hotuba ya Heche na ya Mnyika utaelewa kuwa Chadema haiendeshwi na hao wanaharakati uchwara, na ni Lemma tu aliteleza baada ya kuanza kujibishana na yule chizi fresh Sativa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…