barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hayati magufuli aliua upinzani, rais Samia anauzika rasmi upinzani....Madaktari wa JF hakikisheni waliorukwa na akili wasichangie mada
Sawa mkimbizi, naona Wana saccos mnamwona mh rais Samia Kama rais wa ukawa. Mnamfundisha kazi Kama vile kawaomba mumsaidie.Ameomba BOT ifanyiwe uchunguzi Maalum kutokana na dhuluma kwa wenye maduka ya kubadilisha fedha za kigeni , huku akiomba Ofisi ya DPP imulikwe kutokana na kashfa ya Muda mrefu ya kubambikia watu kesi
View attachment 1736882
Hayo mauozo huyo unaesema kaachiwa hakuwa sehemu yake?Magufuli kamwachia kazi ngumu sasa mama Samia yaani kila kona ni mauozo
Raisi hajaomba ushauri kwa mpinzani yeyote.waache shoboAmeomba BOT ifanyiwe uchunguzi Maalum kutokana na dhuluma kwa wenye maduka ya kubadilisha fedha za kigeni , huku akiomba Ofisi ya DPP imulikwe kutokana na kashfa ya Muda mrefu ya kubambikia watu kesi
View attachment 1736882
Anajaribu kutetea wizi aliokuwa anafanya kupitia Bureau De Change fake yake ya Arusha. Mwambieni arudi alipe madeni aache kukimbia madeni.Ameomba BOT ifanyiwe uchunguzi Maalum kutokana na dhuluma kwa wenye maduka ya kubadilisha fedha za kigeni , huku akiomba Ofisi ya DPP imulikwe kutokana na kashfa ya Muda mrefu ya kubambikia watu kesi
View attachment 1736882
Yaani wapinzani wa nchi hii ni bure kabisa mnategemea Rais Samia atawasikiliza akina Lema kweli? Kweli hamjitambui kabisa.Angalia content za hayo maombi.Hii inadhihirisha kwamba watu wengi waliumizwa sana na utawala wa Jiwe kwa kubambikiwa kodi,kunyang'anywa fedha za kigeni,kuporwa fedha benki,utekaji na kupokea Ransom kiserikali(Mo Dewji,Roma) na wengine wengi.
Hata Samia asipokuwa kama JK nakuahidi hawezi kuwa na roho mbaya kama marehemu.Magufuli alikuwa zao la mfumo ambao baada ya upinzani kutukana sna Kikwete mfumo ukaona nyie siio wa kuwachekea
Kikwete aliwachekea hadi akawahonga chai ikulu muache wala hamkuacha
Msidhani Mama Samia atarudia kosa la Kikwete aliyewachekea hadi mkaitisha migomo ya madaktari kupitia akina Ulimboka na Mashinji wengi wakapoteza maisha ikiwemo shangazi yangu kwa kukosa huduma
Raisi Mama Samia atajijua akiwachekea nyie shukrani hamna nyie
Spana zitaendelea kama kawaVipi na yeye akiamua kufuata nyendo za mtangulizi wake kwa kuweka pamba masikioni? Kwa kigezo cha kutotaka kupangiwa vitu vya kufanya, au kwa kudhani anafundishwa kazi?
Lazma tutumie dola kubaki madarakani!Rudi uongelee Tanzania Chadema tuliwaonya ongeleeni sera na vitu vyenye maslahi kwa taifa nyie mkajikita kuhangaika na Ind7ividual Magufuli mkakimbia hadi nchi mnakimbia mtu!!! sabanu hamkuwa politically strategic kuwa na hoja endelevu za kisiasa !!
Lisu kaja kugombea kutwa kutukana Magufuli tu kisha huyo katimka na mitusi yake katukana weeee na wewe Lema ukatukana weee mwisho mkatimka kwenda kulala kanada na ubelgiji
Chama ni sera na hoja sio individual attacks vipi duka lako bubu la fedha za kigeni lilifanyiziwa na Bot au ? si useme tu
Vipi upo na ID zako kumi au umezipunguza baada ya kushindwa uchaguzi 2020?Hata Samia asipokuwa kama JK nakuahidi hawezi kuwa na roho mbaya kama marehemu.
Raisi Mama Samia
Ili twende vizuri, tunaomba clearance ya maana haswa kwenye baraza la mawaziri clear appointees wote wa hayati, uanze na kikosi kazi chako.
Unaenenda kwa hekima huwezi kufanya kazi na wakurupukaji.
MwenyeziMungu sio mjinga, alijuwa, anajuwa na atajuwa tunachokihitaji na tusichokihitaji, tusiwe hata na mashaka yoyote kama watu tusio na matumaini. Hata SSH asipoenenda kwa mujibu w mpango wa mungu kuna namna atakavyomwambia unakosea. Sina mashaka na Wazanzibar kwakuwa na wacha mungu kwelikweli wa kweliUtawala wa Magufuli ulikuwa kama wa majambazi. Asante Mungu kwa kutuepushia kikombe hicho kilichokuwa kimejaa kila aina ya uovu kwa watanzania
Kapsa meku.Wachumia tumbo uongozi 85%wasukuma washamba wa madaraka in nape voice
Ndugu yangu, nashukuru kwa mawazo yako mazuri ila naomba umuulize Askofu wa Ngara Diocese kama alisharudishiwa hati yake. Kosa ni kuulizia watu waliopotea na maiti zilizookotwa kwenye viroba plus katiba huru.
Rais wetu mpendwa alikataa kutoa ruhusa mshtakiwa kumzika mama yake wakati yeye mama yake amemuuguza hapo kwake Chato kitandani.
Watu walikufa kwa shinikizo la damu baada ya baba na mwana kumfukuza kazi mbele ya kadamnasi pale kwenye daraja la kigamboni.
Je sera ipi ya chama chochote inayoruhusu watu kupotea, watu kupigwa risasi na kunyang'anywa uraia bila kesi yoyote kufunguliwa?
Wote tunaishi na kufariki mara moja hivyo hakuna atakayerudi kurekebisha ya nyuma. Sera zinatungwa na binadamu na huyo binadamu anaamua afuate sera ipi na akandamize ipi.
Raisi Mama Samia
Ili twende vizuri, tunaomba clearance ya maana haswa kwenye baraza la mawaziri clear appointees wote wa hayati, uanze na kikosi kazi chako.
Unaenenda kwa hekima huwezi kufanya kazi na wakurupukaji.
Mtanyooka tu! Nyinyi wachaga wakule nronga!!Wachumia tumbo uongozi 85%wasukuma washamba wa madaraka in nape voice
Kapsa meku.