Godless Lema amuomba Rais Mpya Samia Suluhu kuchunguza ofisi ya DPP na BoT

Naona amemiss mambo ya kunywa juisi ikulu..

Urais kazi kweli kweli kila mtu anataka takwa lake litekelezwe, rasta mstaafu anatoa maagizo akiwa Canada
 
Jitahidi kuwa objective kwa sasa. Huyu Mama hataki walamba miguu. Mtamchelewesha na kumwingiza chaka.
 
roho inakuuma sana kuona upinzani na watu walioteswa na jiwe wanaanza kumuunga mkono Mama samia. na bado, shenztype.
 
Mangi hayo mambo ni propaganda tu siunajua tena maji yakzidi unga mambo ni mengi utazushiwa ila tuchape kazi hela ndo mpango mzima wangefanya chato Toronto kama hufanyi au kujituma ktk kazi watakuja hawa unasema wezi wanatembea na fursa nyie mnabaki na kauli ambazo siyo wezi kaibe na wewe uisome namba ya 2015 hadi leo
Vipi mnapanga kwenda kuiba wapi?
 

YEHODAYA!!

Sorry Chief, unaweza nipa maana ya jina lako?

If you don’t mind?!

Thank you!
 
Mbona kuna waliohama upinzani kumfuata mtu hao nao unasemaje?
 
Huyo mama na yeye ni walewale waliokunywa uji wa mgonjwa!!! Najua kila mtu ana hulka yake....lakini kwa hilo genge ambalo limetesa watanzania miaka kibao....sitegemei lolote la maana.
 
Naona amemiss mambo ya kunywa juisi ikulu..

Urais kazi kweli kweli kila mtu anataka takwa lake litekelezwe, rasta mstaafu anatoa maagizo akiwa Canada
msije mkazani urais ni kazi nyepesi hivyo tena mother akibadirisha baraza la mawaziri ameingiliwa. Mimi sijaona waziri ambaye ataweza kufanya kazi kwa uaminifu kama hao walioteuliwa.
 
Ilo sio tatizo, kuna wanaofaa angalau.
Kumuongoza mtu ambaye hujamteua ni ngumu mno, japo mamlaka anayo lakini bado akifanya teuzi zake italeta tija zaidi.

Huoni kwamba statement yako inaelekeza kurudi kule kule kwenye “kujuana”?

Kwani viapo vya watumishi wa Umma hasa kwa Rais, ni viapo kwa Taasisi ya Rais, Serikali yake na Katiba ya nchi + Wananchi?

Ama ni viapo binafsi kwa mtu binafsi?

Ama ni viapo vya Imani Fulani kwa Imani Fulani?

Ama ni viapo vya ‘kundi’ Fulani kwa ‘Kundi’ Fulani?
 
Bora kubaki hai ili kupambana baadae kuliko kuipoteza nafasi ya next fight.
 
Vipi upo na ID zako kumi au umezipunguza baada ya kushindwa uchaguzi 2020?
Mkuu ID yangu ni hii hii toka 2008. Hakuna mabadiliko. Tunapiga spana meko kwa maovu aliyotutendea
 
Angalia content za hayo maombi.Hii inadhihirisha kwamba watu wengi waliumizwa sana na utawala wa Jiwe kwa kubambikiwa kodi,kunyang'anywa fedha za kigeni,kuporwa fedha benki,utekaji na kupokea Ransom kiserikali(Mo Dewji,Roma) na wengine wengi.

Hapo kwenye mabano, ina maana Roma yuko na uwezo wa kutoa ‘ Ransom’ kwa serikali?

Ama kuna jambo alilolifahamu Roma lililohitajika kufahamika na Serikali pekee?

Sijauliza kuhusu Mo Dewji, sijaona umuhimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…