Godless Lema amuomba Rais Mpya Samia Suluhu kuchunguza ofisi ya DPP na BoT



Umetumia energy kubwa Chief!

Nyani Ngabu
pasco Mayalla
 
Kujuana alikuleta hayati kunatakiwa kuvunjwe.

Ukiongelea viapo vya utumishi ni pamoja na kuheshimu na kuongoza kama katiba inavyo sema.

Kwa muonendo wa serikali ya magufuli alikua anafuata "rule of law"? Same applies to his appointees, mara ngapi kafanya teuzi bila kufuata katiba inasemaje?

Mawaziri/wakuu wa wilaya/wakurugenzi mara ngapi wanaenenda bila kufuata sheria bali midomo yao ndio sheria, wengine wanachapa wananchi viboko we uliona wapi zaidi ya utawala wa hayati?

Ndio maana nika suggest mwendazake aende pamoja na teuzi zake zilizokua kama yeye.
 
Katiba mpya kwa sasa si kipaumbele cha watanzania.

Pia Tanzania hakuna upinza,,,. kuna ushabiki tu.
 

Una hakika kujuana kumekuja na Hayati JPM? Soma history ya Tanzania angalau ya Mwaka 1995 mpaka 2015!

Kama viapo ni kuheshimu na kuongoza kama Katiba ya JMT itakavyo, tatizo la viapo vya sasa linatoka wapi?

Kama walifuata rule of the “outlaws” kipindi cha Hayati JPM , watashindwa vipi ku restart na kufuata rule of laws ya Madam President, kama itakuwepo? Kumbuka we are still not even in a month ya Uongozi mpya!
 
Namuonea huruma sana huyu mama!

Idadi ya washauri na maombi si ya kitoto.
Asipokua na msimamo imara na kuwa 'yesu' kutaka mridhisha kila mtu, atapata shida sana kutawala.

Wanasiasa wana maneno mazuri sana kiasi cha kudhani wanakutakia mema, kumbe wana agenda zao. Good thing ya mwendazake, he was bold na asiyesikiliza miluzi ya Mbwa. Its dangerous to step on great man's shoes, lakini analazimika kuegelezea baadhi ya njia zake.
 
Ulisoma bandiko la TLS? Katiba inamtaka raisi mpya afanye nini ashikapo madaraka?

Kama walishindwa kuheshimu katiba wakiongozwa na adui wa ufisadi wataweza vipi kwa huyu mama?
 

“Imani yako imekuponya”!

Umesema una Imani ya kwamba.....
 
Tatizo lenu jiwe hakujibu kwa hoja bali risasi kuteka watu kuwafunga na mengine mengi. Hawajakimbikia kwa kutaka bali maisha yao yalikuwa yapo hatarini ndio maana wakakimbia na jiwe hakuna siku amekemea kwa lolote lile ovu lililojitokeza kwemye utawala wake ukiwemo utekaji na kuuwa watu kwasababu ndiye suspect namba moja.

Nakaongoze hawo malaika hawo Mitume hakuna aliyesema kwamba atachaguliwa ni Mungu aongoze malaika lakni jiwe lilikuwa linakufukuru wacha laaana maapizo ya watu yawe juu yake. Simlikuwa mnahubiri na meno nje ati shirika lá ndege linapata faida kubwa leo mmeshapata ukweli tusiwaone mkitetea zile hoja zneu mfu mliyekuwa mnamuabudu kashaenda na maji.
 
Ameomba BOT ifanyiwe uchunguzi Maalum kutokana na dhuluma kwa wenye maduka ya kubadilisha fedha za kigeni , huku akiomba Ofisi ya DPP imulikwe kutokana na kashfa ya Muda mrefu ya kubambikia watu kesi

View attachment 1736882
😀😂😂😂😂😂 sasa ashike lipi huyu mama kila mtu anataka amuongoze cha kufanya kwani yeye hajui?
Msitake kumdrive
 
Kama hana msimamo atayumbishwa sana.
 


Funny! Even more funny if it’s a Woman!!!

Nimeku-tag kuweka alama! [emoji854]
 
Watu wali dhulumiwa sana sana yani walipokuwa kwa mtutu wa bunduki kwenye maduka ya kubadilisha fedha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…