Hakuna sehemu yoyote niliyo tumia logic. Mosi.Unanambia jenga hoja kwani hapa mi nafanya nini?
Mi najenga hoja kukuambia madai yako ya kuhusisha hoja yako na self evident truth ni ya uwongo kwasababu yana logical fallacy
Na siku zote umekuwa ukisema hutaki logic halafu leo hii tena unatumia logic hiyo hiyo kutetea hoja zako...tukuelewaje?
Nilimuonyesha hilo na ule ni uthibitisho ni juu yake kukubali au kutokubali, kutokuendelea kwake kujadili lile jambo ni ishara ya kuwa nilichokiweka ni ushahidi na ni uhalisia, ndiyo maana hakuweza kupinga kwa vyovyote.Ulivyomuonesha kuwa ule ni uthibitisho amekubaliana na wewe kuwa ni uthibitisho?
Nilivyokuambia ni logical fallacy of appealing to self evident truth hukunielewa?
Umeandika hivi, halafu huoni kwamba kuandika Aristotle alianzisha logic ni contradiction.Unauliza swali ambalo nimeshakujibu tayari.
Hakuna mtu aliye vumbua kwamba moja jumlisha moja ni mbili au mbili toa moja ni tatu au machunga mawili machungwa matatu, hili ni jambo la kimaumbile lipo tangu Mola alipoumba mbingu na Ardhi.
Ndiyo maan leo hii hatusemi fulani kavumbua hesabu, kisha tukakomea hapo. Tunasema fulani alivumbua hesabu za Aljebra, mwingine Culculus na mfano wa hayo.
Jbo la kujua kumi, kujua mbili kujua ngai, ni la azalia mitume wote walikuwa wanajua haya mambo.
Ukitumia lugha tu kuandika, umeshatumia logic.Hakuna sehemu yoyote niliyo tumia logic. Mosi.
Pili, hujajenga hoja bila kunakishi hoja, huwezi kusema mimi ni muongo kwa kusema nikichokiandika kina "Logical Fallacy" hapa unayakiwa uonyeshe hilo. Hili najua huwezi ndiyo maana tangu mchana unaruka ruka tu.
Ndiyo maana nikasema umechanganya au hukunielewa, hapa tunaongelea suala la hesabu na huko juu tuliongelea suala la logic. Huwezi kulinganisha umbile mama la hesabu na umbile la logic. Kama ulikuwa makini kuna swali la muhimu nilikuwa nakuuliza kati ya lugha na logic kipi kikitangulia ? Jibu lugha bali watu walikuwa wanajenga hoja pasi na kutumia kanuni za logic, na wakapatia kama ilivyo kwa falsafa.Umeandika hivi, halafu huoni kwamba kuandika Aristotle alianzisha logic ni contradiction.
Una kichwa kigumu sana. Nakuuliza swali, nakutumia logic gani na logic hapo imesimama kama fani au kama nini ?Ukitumia lugha tu kuandika, umeshatumia logic.
Inaelekea hujui hata logic ni nini.
Tofautisha adhabu na taratibu.Nikija kwenye ishu ya freewill yenyewe hapa napo kuna mambo mengi ya kuzungumza.
Kama ulivyosema kuwa hujapata majibu ya kuridhisha, naweza nikasema imekuwa inatokea hivyo kwasababu watu waliokuwa wanajaribu kukupa majibu walilenga zaidi kuifanya freewill ionekane ni halisia
Kama freewill ni uhuru wa kuchagua wema na ubaya ipo basi hatupaswi kuingiliwa kimaamuzi ili kuonesha tupo free
Uhuru wa kuchagua haupaswi kuambatana na mipaka, kusema hiki sawa na hiki sio sawa ukifanya nakuadhibu, huo sio uhuru hiyo ni amri.
Sasa Mungu kasema amekup uhuru wa kuchagua kumuabudu yeye au shetani halafu ukichagua kumuabudu shetani Mungu huyu anakupa adhabu kali sana ya kuchomwa moto. Je huo ni uhuru kweli?
Katika jamii ikitokea tu kuna mtu kamwambia mke wake nimekuoa uhuru wa kuchagua kufanya chochote utakacho ila ikitokea umechagua kuniacha nitakumwaga ubongo kwa maumivu makali.
Mtu huyo akisikika na watu, watu watamuita mkatili asiye na ubinadamu, ataitwa mnyama asiye na huruma, ataitwa mzushi kwa kutoa ahadi ya uwongo
Lakini kitu kama hicho hicho akikifanya Mungu anaitwa mwenye upendo wote, mjuzi wa vingi na mwenye rehema
Kwanini?
Kuna mifano ya baba na mtoto nimeitumia sana kwa Scars hadi anamaindi na siachi.Nimeshawahi kusema kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu unaowezekana kuwa na mabaya ni sawa na pembetatu ambayo hapo hapo ni duara katika plane Euclidean geometry.
An impossibility due to inherent conceptual contradiction.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, ulimwengu huu unaoruhusu mabaya usingeweza kuwepo kama Mungu huyo angekuwepo.
Historia pia inaonesha imani zilizokuwa ni kweli all along. Nyingine zinaweza zisiwe kweli kamilifu lakini ile kiujumla ni za kweli au zikawa zina ukweli mwingi tu.Imani ingekuwa njia ya ya kweli ya kujua jambo kwa hakika basi leo tungekuwa na imani moja na dini moja
Au kila imani kuhusu chochote ingekuwa kweli
Since tuna imani nyingi tena zinazopingana hiyo inaonesha tu jinsi gani imani sio njia ya kuaminika katika kufikia ukweli.
Na pia zipo record za kihistoria za watu walioamini mambo ya uwongo (na mifano ipo) wakidhani ni kweli lakini imani hiyo haikubadilisha chochote kufanya imani yao juu ya jambo hilo liwe hivyo hivyo kihalisia kama walivyo amini.
Wewe ngumbaru hujui kwamba huwezi kuwa na hesabu bila logic.Ndiyo maana nikasema umechanganya au hukunielewa, hapa tunaongelea suala la hesabu na huko juu tuliongelea suala la logic. Huwezi kulinganisha umbile mama la hesabu na umbile la logic. Kama ulikuwa makini kuna swali la muhimu nilikuwa nakuuliza kati ya lugha na logic kipi kikitangulia ? Jibu lugha bali watu walikuwa wanajenga hoja pasi na kutumia kanuni za logic, na wakapatia kama ilivyo kwa falsafa.
Tukaja kuongelea suala la hesabu yaani kujua idadi ya jambo fulani. Umbile mama la hesabu lipo, hapa hesabu inachukua nafasi ya lugha sasa, kisha mengine yanafata. Huwezi kufananisha hesabu na logic, mfano wa hesabu nafasi yake ni nafasi ya lugha katika logic.
Yaani, huwezi kusema leo hii mtu fulani amevumbua lugha mzee wangu. Lugha ni jambo la kimaumbile ambalo Allah ameliumba kwa waja wake. Sasa unatakiwa usome hoja za mtu kisha uzielewe.
Nimekujibu logic as a concept.Una kichwa kigumu sana. Nakuuliza swali, nakutumia logic gani na logic hapo imesimama kama fani au kama nini ?
Logic mimi sasa nikufundishe wewe.
Nacheka sana. Tulia kijana usirauke haya mambo yana yenyewe.Wewe ngumbaru hujui kwamba huwezi kuwa na hesabu bila logic.
Hujui kamba addition ina apply logic ya AND.
Hujui hata logic ni nini.
Nilikwambia nini baada ya wewe kujibu hivyo ? Na ukaonyesha nini kwenye ile maana uliyo itoa ? Nakusaidia sababu kichwa changu kina tunza kumbumbu vizuri, hilo wazo ulilo litoa mwisho likaangukia kwenye fani.Nimekujibu logic as a concept.
Hii siyo kweli, sababu hivi vitu vipo tangu logic kama wazo halijaundwa. Kijana huelewi wapi ? Ndiyo maana nikasema hivi huwezi kuongelea logic nje ya fani, sababu tamko "AND" halina maana tu ya kumjulisha au ziada.Kwamba ukijua tofauti ya chungwa moja na mawili, umeweza kutumia concept ya logic kujua kwamba machunga mawili ni chungwa moja AND chungwa moja lingine.
Hii imetokea katika kiasili, na nilikwambia huko kwanzo logic inatumia sehemu ndogo sana ya lugha kung'amua mambo yake ndiyo maana hata Aristoto alipoanza kuweka misingi alianza kujishughulisha na lugha hasa kwenye Kiima (Subject) na kiarifu (Predicate). Sasa ukirudi katika tamko "AND" haliishii kwenye maana ya logic kama fani sasa. Kwahiyo walipo weka sheria za fani ya logic wakaamua kutumia baadhi ya maneno na viunganishi kuwakilisha jambo fulani.Hiyo AND ni logic.
Sasa hii ni lugha ndiyo maana tunasema haya mambo yapo kabla ya logic kuwepo, na wala watu hawakuhitaji mambo hayo. Nilikuonyesha huko nyuma huwezi kuongelea tamko logic nje ya fani, ndiyo maana mpaka muda huu unaduru katika fani, tamko "AND" limechukuliwa kwenye lugha na kupewa sifa moja tu ila kwenye asili tamko "AND" lina sifa zaidi ya moja. Kuna "AND" ya pamoja, kuna "AND" ya jumla na "AND" nyingine. Sasa ili ujue ya kuwa logic ni fani imetanguliwa na lugha na sarufi zake na hesabu zilikuwepo kwanini haijabeba maana zote za "AND" ?Sasa unataka kusema watu hawakutumia logic ya AND kabla ya Aristotle?
Hili nikuulize wewe sababu, nachokiandika na unacho nijibu au kunikuu ni vitu viwili tofauti.Unajua kusoma kwa ufahamu?
Ndiyo uonyeshe ujinga wangu uko wapi. Jifunze kunakishi hoja na kuzivunja vunja hoja za aliye dhidi yako, hili naona hamliwezi kabisa, najua sababu mnafikiri kitoto sana.Huu ni ujinga wa kawaida tu au unafanya extra effort kuwa mjinga hivi?
Nilikwambia nini baada ya wewe kujibu hivyo ? Na ukaonyesha nini kwenye ile maana uliyo itoa ? Nakusaidia sababu kichwa changu kina tunza kumbumbu vizuri, hilo wazo ulilo litoa mwisho likaangukia kwenye fani.
Lakini, kadhalika hukielezea kiundani logic kama wazo, sababu mimi nafahamu logc, na ile link uliyo nipa nikakwambia nitakuja tujadili ishu ya "Concepts" na "definitions" humu nako kuna makosa mengi sana yaliyo fanywa na Wanafalsafa na Watu wa Mantiki.
Hii siyo kweli, sababu hivi vitu vipo tangu logic kama wazo halijaundwa. Kijana huelewi wapi ? Ndiyo maana nikasema hivi huwezi kuongelea logic nje ya fani, sababu tamko "AND" halina maana tu ya kumjulisha au ziada.
Hii imetokea katika kiasili, na nilikwambia huko kwanzo logic inatumia sehemu ndogo sana ya lugha kung'amua mambo yake ndiyo maana hata Aristoto alipoanza kuweka misingi alianza kujishughulisha na lugha hasa kwenye Kiima (Subject) na kiarifu (Predicate). Sasa ukirudi katika tamko "AND" haliishii kwenye maana ya logic kama fani sasa. Kwahiyo walipo weka sheria za fani ya logic wakaamua kutumia baadhi ya maneno na viunganishi kuwakilisha jambo fulani.
Sasa hii ni lugha ndiyo maana tunasema haya mambo yapo kabla ya logic kuwepo, na wala watu hawakuhitaji mambo hayo. Nilikuonyesha huko nyuma huwezi kuongelea tamko logic nje ya fani, ndiyo maana mpaka muda huu unaduru katika fani, tamko "AND" limechukuliwa kwenye lugha na kupewa sifa moja tu ila kwenye asili tamko "AND" lina sifa zaidi ya moja. Kuna "AND" ya pamoja, kuna "AND" ya jumla na "AND" nyingine. Sasa ili ujue ya kuwa logic ni fani imetanguliwa na lugha na sarufi zake na hesabu zilikuwepo kwanini haijabeba maana zote za "AND" ?
Hili nikuulize wewe sababu, nachokiandika na unacho nijibu au kunikuu ni vitu viwili tofauti.
Tena niko makini sana katika kusoma na kuelewa.
Ndiyo uonyeshe ujinga wangu uko wapi. Jifunze kunakishi hoja na kuzivunja vunja hoja za aliye dhidi yako, hili naona hamliwezi kabisa, najua sababu mnafikiri kitoto sana.
Hao wote wawili (Kisai na Kiranga) wapo kiubishi zaidi, siyo kutafuta ilm.Kisai naona umekutana na wabishi wenzio 🤣
Watu mnamoyo wa kubishana jamani.. Scars Kiranga Uhakika Bro hadi saa 11 alafajiri mnaporomosha magazeti asee. Hii mada haitakua na mshindi asee..
Kakosekana tu @lovelifelivelife safuher na FaizaFoxy
Btw nawasubiri mmalize kubishana niwaletee Muendelezo wa topic hii ambao utaServe as a Counterpart-Sequel
Lile swali langu nililo kuuliza bado hujalijibu.
KNimebaini kumbe swala lako la kupinga logic linasababishwa na wewe kutokujua logic ni niniHakuna sehemu yoyote niliyo tumia logic. Mosi.
Pili, hujajenga hoja bila kunakishi hoja, huwezi kusema mimi ni muongo kwa kusema nikichokiandika kina "Logical Fallacy" hapa unayakiwa uonyeshe hilo. Hili najua huwezi ndiyo maana tangu mchana unaruka ruka tu.
Tunapeana faida watu tumetofautiana ufahamu na maarifa.Kisai naona umekutana na wabishi wenzio 🤣
Watu mnamoyo wa kubishana jamani.. Scars Kiranga Uhakika Bro hadi saa 11 alafajiri mnaporomosha magazeti asee. Hii mada haitakua na mshindi asee..
Kakosekana tu @lovelifelivelife safuher na FaizaFoxy
Btw nawasubiri mmalize kubishana niwaletee Muendelezo wa topic hii ambao utaServe as a Counterpart-Sequel