Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwa nini logic kilugha au logic kifani tu?Logic kilugha au logic kifani ? Unatakiwa uulize swali kama mtu anajua anacho kiandika.
Nilikuonyesha ya kuwa ukijadili logic kilugha haikai katika hoja zenu na nyinyi mnajadiki logic siku zote kama fani na si kilugha.
Ngoja nikupe faida hapa, maana ya kilugha huwa ni pana sana zaidi kuliko maana ya kifani. Logic kwa maana ya kilugha ni chenye kutamkwa. Sasa utaniambia wewe, chenye kutamkwa ndiyo huwa mnakikusudia au hili pia hamlijui ?
Kwa nini unajichagulia swali?
How about logic the concept?