God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

Dhana ya free will ilifutwa na Mungu mwenyewe, tunaishi chini ya sheria yaani zile amri 10...nakazia AMRI 10,
Tunaishi kwa kuwa tulishajua mema na mabaya (utashi) baada ya lile anguko la kwanza
Kwahivyo AMRI ama SHERIA hizo zitatuhukumu ipasavyo maana tumeshajitambua
 
Shetani ndiye aliyetufanya tukajitambua na kuupata huo utashi wa kujua mema na mabaya, lakini Mungu alificha tu kwakurahisisha kuwa kina adamu watakufa tu pindi wakila
 
Hapana usipotoshe umma.
Yesu mwenyewe alilalamika nakusema SI KWA MAPENZI YANGU BALI NI KWA MAPENZI YAKO YATIMIZWE

Yaani ingekuwa n yy km yy asingekubali
Tunaishi kwa kusudi la Mungu (freewill) na si letu
 
UFUNUO WA YOHANA 13;8

Imeonyesha wazi kuwa kuna watu wamezaliwa kwa kazi maalumu itakayowapeleka jehanam na mbinguni pia (Kusudio la Mungu mwenyewe) obviously kabisa unaweza ukasema hatupo huru na machuguzi yetu sababu yapo tuned na Almighty mwenyewe.
Hapo utaona kabisa yUDA hakujijua kuwa atakuja kumsaliti mtu mkubwa kama Yesu, lakini hatma yake ilishatabiriwa na ilijulikana kabisa lakini haikumzuia kusaliti, alienda vile vile kama ilivyokusudiwa.

Tunaweza kujiona tupo tuna freewill lakini akili zetu ilishakuwa fixed kitambo tunazaliwa...
katika hili utapata jibu piaa kama kwenda mbinguni ni kwa wale waliokwisha kuchaguliwa waybaack kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu,
na wale wa motoni pia vivyohivyo japo hatujijui
Kwanini ? Saababu hakuna mtu aliyeona jina lake wala kujihesabia ametenda mema hivyo za % zote za kwendaa kula pepo
 
Mambo vipi,Mimi ni MTU wa mungu,ninajibu kulingana na Dini zetu na utafiti wangu WA kumjua mungu.nabase kwenye Dini zote za ibrahimu

,HAKIKA MUNGU YUPO NA KWAKE TUTAREJEA.

Kizazi cha ibrahimu
Ismail-waislamu
Isaka-wakristo
Etc

wewe umebezi kwenye biblia inasemaje na sio VITABU vya Dini vinasemaje.

BILA KUPOTEZA MUDA TUANZE

FREE WILL IS ULLUSION

MUNGU AMEKUUMBA NA AMEKUFANYA WEWE NI BORA SANA KUSHINDA VIUMBE VINGINE VYOTE,NDIO MAANA SHETANI NA WIVU WAKE JUU YAKO AMETENGENEZA VITA KUBWA NA BATO KUBWA SANA NA MUNGU KWA SABABU YAKO.NA AMEMUAHIDI MUNGU KWENDA NA WEWE MOTONI MANA MOTO UMETENGENEZWA KWA SABABU YA SHETANI SIO WEWE MWANADAMU,ILA UKIWA UFWASI WA SHETANI HAKIKA MOTO UTAKUUSU.

SIFA ULIZOTAJA HIZO NI CHACHE MNO KWA MUNGU,
ALIKUWA ANAUWEZO WA KUMFINYANGA ADAMU NA KUFUTILIA MBALI PROJECT YENYEWE.

1.ANAWEZA YOTE:

ALIMJUA ADAMU KAMA ATAKUWA MPWEKE NDIO MAANA AKAMUUMBIA HAWA KUTOKA KWENYE UBAVU WAKE ALIIANGALIA FUTURE YA ADAM.HAKUWA AMEKAMILISHA MISSION YAKE BADO KWA ADAMU.

Biblia imeandikwa na wanadanu na imeelezewa short Sana coz imebeba story ya dunia.story ya dunia haiwezi tosha kwenye kitabu KILE.

2.MUNGU YUPO KILA SEHEMU
Adamu aliambiwa usile MTi wa mema na mabaya HAKIKA madhara yake NI makubwa.
Mungu alitaka kuona utii wa mwanadamu juu yake,mungu alimuamini Sana mwanadamu,mungu anampenda Sana mwanadamu.

Madhara ya Ule mti NI
Kufa,
Kuhukumu mema na mabaya
Kipawa cha mungu kupungua
Hofu
Dhambi
Swawabu
Etc

Mungu Hakumtafuta adamu Ila alipotembelea bustanini alipo adamu na hawa.kutokana na madhara ya lile tunda,adamu na mkewe walisikia sauti hasilia ya mungu,iliyowafanya wapagawe na kukimbizana wakati mungu ameenda kuwatembelea,na mungu alishajua Kila kitu na alimuuliza adamu Kwa kumtega Tu ili aone adamu atafanya nini.

FREE WILL
Hapa kunakitu hujakijua mkuu na NI mada ndefu.ila inshort,mungu anajua unawaza nini.na mwanadamu awezi kujiongoza pekeake.yani Sawa Sawa umwache mtoto nyumbani ukidhani ANAUWEZO WA kujiudumia Bila kumprovidia Kila kitu.
Huna free will ya kuzidi mipaka ya mungu,Sana Sana uwe SHETANI.

-Kujua utakufanye mungu hajui Ila anaangalia umekufaje.
-utakula nini,utakula chochote alichokuumbia na anavyokupa rizki Kwa kadri ya uwezo wake
-unauwezo wa kwenda peponi au MOTONI machaguo NI yako sio ya mungu juu yako

Bado hujamjua mungu VIZURI na matendo yake,soma Sana dig research.
 
Huu mjadala naona ni kama ule wa TIME/MUDA .
MUDA ulikuwepo kabla yetu and still upo na yawezekana upo tofauti katika mahesabu yetu tunayoyaona ni sahihi
ila tukaona tukaufanyia utundu wa kimahesabu tukauset na tunaenda nao

Muda ulikuwepo kabla ya saa, na huwezi kuangalia muda bila kuangalia saa.

Sijui kama nimeelewa hii topic yenu vizuri na kuuwekea mfano wangu.
 
Ukisema hajui utakufaje tayari ameshapoteza sifa Ya kujua kila kitu
 
Unachanganya mafail wewe jamaa, Soma tena kanuni za utendaji kazi wa Mungu
 
Mpaka leo hii sijapewa jibu sahihi about free wil
Nimesoma comment ila nitazirudia Tena maana Kuna mengi mazuri,,hebu chukulia mfano una robot (jipe uungu) chukulia robot ni binadamu na uliprogram kuongea kula kutembea kulala kukata gogo kunywa maji na kula,,je linaweza kufanya zaidi ya ulivyoliprogram,,je kama umeliprogram kushona nguo likawekewa virus Akali compromise likataka liwe linafua nguo TU bombani na kufagia nje,,utasahau kwamba umeliprogram na kuliona lijitegemee wakati linakutegemea wewe kusurvive kwa 100%kwamba ukitaka unaweza kulifanya vyovyote,,je robot ulilolitengeneza ni kwa namna Gani linakuwa na free will ambayo sio wewe unaelimiliki ulielipa?Nadhani kama ni robot kuwa na free will isio na limitations labda lingekuwa limetokea lenyewe bila wewe kuhusika kwa namna yoyote kulitengeneza,,,sisi hatujui tulitoka wapi ila hapa duniani tumefika na hio free will tunayo ila imelimitiwa kwa sababu tunamilikiwa na free will inatupeleka kuchagua wa kutumiliki na kuishi ktk parameters zake
 
Mkuu inawezekana Mungu hajui kila kitu na hayawezi yote
 
Amina. Ni kweli tunapaswa kuanza kujifunza kutenda wema hapa hapa duniani tukienda mbinguni ni Muendelezo tu.
 
Aliyetuumba CHANZO HALISI alituumba kwa ajili ya mema na mazuri peke yake 2Timotheo 2:21 bila mabaya na alituumba tuishi na sio kufa Kwa mujibu wa 1wakorinto 15:51.

CHANZO HALISI aliengua Moyo wake kushoto (Moyo wa mwanzo) akaweka heshima na utajiri ukisoma mithali 3:16 akamweka mbinguni Ili aumbe vyote kwa uhalisia.

Mauti imetokana na roho ya uvamizi(ufunuo 12:1) iliyomvamia Moyo wa mwanzo aliyekasimiwa uumbaji na CHANZO HALISI.

Baada ya anguko la Moyo wa mwanzo ndipo akaumbwa na kerubi Ili ampe sifa Muumbaji maana ndio kusudi lake lakini nae katika Ezekiel 28:13...
akavamiwa na roho saba chafu akataka awe kama aliyeumba ukisoma Isaya 14:13 ndipo tunaona Ile vita katika ufunuo 12:7

Kusudi la aliyetuumba ni kuishi juu ya nchi ukisoma (Mika 1:2-6 na ufunuo 21:3 na Isaya 57:15) inathibitisha hilo

NB: Baada ya anguko la Moyo wa mwanzo Kila file la Kila aliyetakiwa kuumbwa ambalo lilikuwa ndani ya Moyo wa mwanzo liligeuzwa maana humo yalikuwa mema na mazuri tu bila mabaya na utajiri vyote viligeuzwa na uumbaji ukawa unafanyika kwa amri ya roho ya uvamizi (ufunuo 12:1) au malkia wa mbinguni (yeremia 44:17-18)
 
Lazima tujue kuwa dhana ya kufa iliyopo haikutokana na Muumba kwa sababu ktk Mwanzo 1:27-28 alisema zaeni mkaongezeke na ktk Mwanzo 2:14-15.

Adam alipoumbwa unaona wazi akimwambia kuwa nimekupanda katika bustani uilime na kutunza hapo hakuna matarajio ya kufa.

Maana huwezi ukazaa mtoto na ukamuua ni ngumu sana Muumba hajawahi kutaka tufe

Bali kilichokuwa kinatuua ni matendo mafu tuliokuwa nayo na kutofanya yale ya Aliyetuumba.

Mfano. Adam alipoumbwa aliambiwa asile matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya bali mti uzima ambapo ni kukaa kwenye kanuni za Aliyetuumba.

Pia aliweza kuishi miaka 930 baada ya kosa alilotenda kwenye bustani ndiyo akafa lakn kama asingefanya kosa angeendelea kuishi.

Tangu hapo ndipo wengi tukaanza ukiri wa kufa bila kujua kufa kulianzia wapi na kujua kuwa Aliyemuumba Adam ndiye aliyeua kumbe siye. Akukaa kwenye njia iliyosahihi.
 
Tuna hiyari huru (free will) na tutawajibika kwa matendo na tabia zetu na wakati huohuo hatuna chaguo (choice)kuhusu mengi.
Vipi sasa kuhusu ujuzi wa mambo yote wa Mungu?? Hauthiri free will yet?
 
I'm doubting! God is omnipotent and benevolent! For me if He is omnipotent not benevolent and if He's benevolent not omnipotent. I don't like to contradict myself.
 
If God is both omnipotent and benevolent, the precence of evil is a contradiction. How can He allow evil? Then He is not omnipotent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…