Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Ulioutoa ni mfano wa kisicho chema[kiuhalisia] na kibaya[kiukweli] japo yeye mchaguaji kaona kwake ni chema. Free will yake imempelekea kuwa na maoni mabaya hapoHaiwezi kuwa considered kama ni uchaguzi mbaya kwasababu alichokichagua au kuto kichagua hakipo katika orodha ya vitu vibaya
Sasa chukulia kama wewe ndio umempa mtoto uhuru wa kuchagua kati ya kula nyama ya ng'ombe au ya mtu
Halafu mtoto achague kula nyama ya mtu, je kuna namna yeyote unaweza kuwaza kuwa kachagua kisicho chema ila sio kibaya?
Ndiyo upoNazungumzia uovu ambao ni katazo kwa Mungu
Uovu ambao unaweza ukakufanya uende motoni
Uovu huo upo kwenye hiyo freewill?
Mtoto anayechagua tikiti ambalo kwake sio interest yake anaweza kupewa adhabu ya kuchomwa motoni?Ulioutoa ni mfano wa kisicho chema[kiuhalisia] na kibaya[kiukweli] japo yeye mchaguaji kaona kwake ni chema. Free will yake imempelekea kuwa na maoni mabaya hapo
Na ndio freewill hiyo hiyo inapatikana na huko peponi?Ndiyo upo
Hapana ila automatically atakosa citrulline ya kumusaidia katika mzunguko wa damu, na lycopene.Mtoto anayechagua tikiti ambalo kwake sio interest yake anaweza kupewa adhabu ya kuchomwa motoni?
Nilishalijibu hili mbona.Na ndio freewill hiyo hiyo inapatikana na huko peponi?
Sasa unasaje choice ilo fixed bila kuonyesha hilo, huoni hayo ni matatizo ya akili na kufikiri ? Lakini unasemaje choice iko fixed wakati "free will" ipo kabisa ?Weka umakini sio kila jibu linaanza na neno "kwasababu"
Nimekuambia hakuna freewill ya mtu kuchagua anachotaka kwasababu choice iko fixed haina option nyingine
Choice ikiwa fixed unapataje uhuru wa kufanya unacho kitaka?
Kijana hili jambo naona limeshakushinda, swali langu mpaka muda huu hujajibu, nimekuuliza hivi onyesha uhusiano wa Mola kujua na wewe kufanya jambo au kutofanya jambo ?Mungu akijua utaenda kushoto, hapo una uchaguzi wa kufanya unachotaka ukaenda kulia?
Huna hiyo options kivipi ?Kama huna option hiyo utasemaje una uhuru wa kufanya unachotaka wakati choice ilishakuwa fixed kabla hata hujazaliwa?
Hili ndio lilikuwa jibuHapana
Freewill ni uchaguzi kati ya mema na mabayaNilishalijibu hili mbona.
Freewill ya peponi inadili zaidi na machaguo mema, mambo ya dhambi kule ni hakuna japo makosa yana uwezekano wa kutokea. Watu walioko kule walishapimwa na wameonekana wanapenda mema japo hayo mema yanatofautiana baina yao, kila mmoja ataendelea kuyapigania mema anayoyaamini na wote tutakuwa tunajenga nyumba moja. Upinzani wa utashi huko utakuwa umejengwa katika upendo na ndiyo didfinition ya mbinguni
Ni kama tu sasa hivi theists walishakubaliana kwamba tumeamini Mungu yupo, ila tukija kwenye yupojeyupoje kila mtu utaona anampinga mwenzie japo wote tunakubaliana kuwa yupo!
Mbona mifano ni mingi tu asee, machaguo ni mengi sana hata katika mema.
Choice iko fixed kwakua huwezi kuchagua otherwise ilisahakua predeterminedSasa unasaje choice ilo fixed bila kuonyesha hilo, huoni hayo ni matatizo ya akili na kufikiri ? Lakini unasemaje choice iko fixed wakati "free will" ipo kabisa ?
Unafikiri kwa kutumia nini ?
Pole sana, hii inamaanisha kuwa kichwani kwako umejiaminisha kuwa mabaya ni kitu muhimu sana ili mwanadamu ajiskie vizuri, ajisikie huru!Freewill ni uchaguzi kati ya mema na mabaya
Freewill inayochagua mema pekee sio freewill
Una tatizo moja la kujitoa ufahamu, haijalishi ni kwa namna gani unajibiwa ila umekuwa ukijipumbaza kimakusudi na kujidai huoni majibuKijana hili jambo naona limeshakushinda, swali langu mpaka muda huu hujajibu, nimekuuliza hivi onyesha uhusiano wa Mola kujua na wewe kufanya jambo au kutofanya jambo ?
Uchaguzi wa kufanya unachotaka ni huo ambao umechagua kwenda kushoto na hujaenda muda ambao ungetaka kwenda kulia pia ungeenda.
Allah anajua ya kesho, yaliyopo na ambayo hayapo. Anajua kesho yako sababu kujua kwake hakujatanguliwa na kutokujua na wala hakujafungamana na wewe na kuchagua kwako. Mfano wewe leo hii kuna mtu wako unae mjua sanaa, yaani mtu huyo unajua kabisa huyu kwa jinsi anavyo penda pombe, nikimpa tu hela lazima ataenda kunywa pombe na kweli anaenda. Swali, kujua kwako hilo kumetokana na nini ? Jibu ni kwa sababu unamjua vizuri sana, je kujua kwako kumemzuia huyo mtu asifanye anachokitaka ? Saza tofauti yetu na Allah ni kuwa yeye anajua mambo "in general" na "in details".
Huna hiyo options kivipi ?
Hapana. Hiki sio kipimo.Sasa tujikite katika yale ambayo ukiyachagua yanaweza kukupelekea uende motoni au peponi maana hicho ndio kipimo cha freewill
Kwanini kuna mabaya?Pole sana, hii inamaanisha kuwa kichwani kwako umejiaminisha kuwa mabaya ni kitu muhimu sana ili mwanadamu ajiskie vizuri, ajisikie huru!
Binafsi, na najua wapo na wengine wengi tu tunaamini kuwa tunaweza kuishi kikamilifu kabisa bila kuhitaji ubaya ili kutukamilisha. Na tukabaki na freewill vizuri kabisa.
Ndiyo maana mi nahisi mtu aliyejiamulia kuwa ubaya ndio kitu kizuri, halafu labda Mungu akamlazimisha akaishi mbinguni na watu wanaoamini katika wema. Itakuwa ni kumuonea na wala hatafaidi mbingu. Bora tu aendelee akaishi na mashetani ili hilo 'vaibu' alilotoka nalo duniani akaliendeleze. Ubaya ubaya tu.
Kwa hiyo ndugu zangu waamini msiwatishe wasiotaka kuamini kwamba eti wataumia, sijui moto sijui funza. Walaa. Unachoamini wewe kuwa ndiyo uhalisia mzuri ni tofauti na wanachoamini wao. Inawezekana kumbe kwa relativity jehanamu na wanajehanamu ndiyo best possible universe ya kikwao!! na mbingu na wanambingu ndiyo best possible universe ya kiwaamini!
Oneni huyu jamaa, hataki kabisa kuamini kama freewill inawezekana bila ya mtu kuwa mbaya?
Mabaya ni matokeo ya makosa katika kufanya kitu kilicho sahihi.Kwanini kuna mabaya?
Unaonekana kuwa na definition yako ya kipekee kuhusu freewillHapana. Hiki sio kipimo.
Mzee wangu akinipa uhuru wa kusomea arts au sayansi inaonesha wazi anaheshimu freewill yangu. Hata kama kati ya hivyo hakuna kitakachosababisha anikatae kama mwanae.