God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

Allah wako ni sadist?

Ametaka watu wafe kwa majanga wakati angeweza kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na majanga?

Allah akiona vitoto masikini vinakufa kwa njaa anachekelea?
Hii ndiyo maana ya muweza wa kila kitu, yaani anafanya anachokitaka.
 
Rudi ukasome uzi nimekukumbsha zaidi ya mara moja.

Hunaswali lisilojibika na Qur'an, isipokuwa nataka nikupe darsa mpaka uelewe, Kumbe hata nyuzi husomi, upi kwa kubishana tu, siyo kupata manufaa ya ilm.

Pole sana, wewe katika nyanja za usomi ni usiku wa kiza.
Sasa mbona huu mwaka wa tatu umeshindwa kujibu ? Utakuwa unazeeka vibaya bi mkubwa.

Nenda kajibu swali langu.
 
kupitia sifa za Mungu ambazo anazo
Sifa ya Mungu hiyo ndio wmbayo inaleta mjadala.
Na kwakujua huko huwezi kuepuka (everything has been set) maana yake umepangiwa na hakuna unachofanya kwa hiari yako japo wewe mwenyewe unaweza ukahisi kwamba unafanya hayo kwa uhuru wako
Kama nafanya jambo kwa hiari nahisi kabisa hakuna anayenilzamisha hiyo maana yake ni hakuna kinachonilazimisha nifanye jambo hilo maana yake nina free will.

Miili yetu na hisia zetu ndizo zinathibitisha kwanza kipi mtu wnalazimishwa au kipi mtu halazimishwi.

Kwa hiyo ni kwamba kusema watu hatuna free will yaani tunalazimishwa hiyo ni imani ambayo haithibitiki katika miili yetu,hatuoni kama tunalazimishwa.

Na hakuna ushahidi wowote unaoonesha viashiria vya kulazimishwa katika miili yetu pale tunapofanya matendo.

Kwa maana hiyo kukataa free will na kusema tunalazimishwa ni jambo ambalo halithibitiki kihisia za miili yetu,hakuna tunachohisi kinachotufanya tuone kwamba yunalazimishwa.

Kwa hiyo free will ndio kitu tunachokiexperience katika miili na maisha yetu,kwa maana ya kuwa free will ipo.
 
Hii ndiyo maana ya muweza wa kila kitu, yaani anafanya anachokitaka.
Sasa, unajuaje muweza kila kitu yupo kweli, na hii habari ya muweza kila kitu si hadithi ya uongo iliyotungwa na watu tu?
 
Ukisema nyumba imejengwa inakuzuia nini mpaka ukashindwa kuthibitisha huyo mjenzi yupo?

Wajenzi wapo wanafahamika na wanathibitishika wapo, sasa huoni kama utakuwa ni mjinga kushindwa kuthibitisha mjenzi yupo kwa kung'ang'ania tu kusema self evident truth?

Yani unatengeneza madai ionekane hoja yenye kudaiwa kuwa ni self evident truth haihitaji uthibitisho inatakiwa ikubaliwe hivyo hivyo bila kuhojiwa
Nacheka sana, kijana kwa hili hata wenzako watakushangaa. Self evident truth ni kuonyesha uwepo wa aliye fanya jambi liwepo, haijalishi namjua au simjui. Kwanza tu ukubali ya kuwa Nyumba haiwezi kujijenga au kutokea from no where. Hili ndilo la msingi, sasa kujua nani ni mjenzi wa nyumba husika ni jambo la pili.

Kwahiyo unachotakiwa kujua ni kuwa self evident truth ni jambo kujithibitisha lenyewe kwamba yupo aliyefanya likawepo, yaani ukiona tu nyumba ile pale, moja kwa mona unajua ya kuwa nyumba ile imejengwa wala haijajijenga wala haijatokea pasi na chochote.

Kubishana na uhalisia matokeo yake ni haya kuonekana wewe ni kituko.
 
You cant think in the abstract.

You can't see ana analogy for what it is.

You get boggled down in the mundane details.

Nakueleza improving something is not starting it.

Hata huoni hilo, unaenda kuongelea kodi.

You are a waste of time.
Nacheka sana, kodi ni jambo ambalo lina mfumi tangu zamani tena mifumo mizuri kuliko hii ya sasa. Ndiyo maana hawezi kuwa muanzilishi sababu jambo hili amelikuta lina misingi tangu zamani.
 
Sasa, unajuaje muweza kila kitu yupo kweli, na hii habari ya muweza kila kitu si hadithi ya uongo iliyotungwa na watu tu?
Najua kupitia njia hizi :

1. Akili
2. Milango ya fahamu
3. Mazingira
4. Ufunuo.

Hapa nakupa kazi, naomba unionyeshe uwezekano ya kuwa uwepo wa habari za Mola ni matokeo ya watu kuzitunga habari hizi.
 
Najua kupitia njia hizi :

1. Akili
2. Milango ya fahamu
3. Mazingira
4. Ufunuo.

Hapa nakupa kazi, naomba unionyeshe uwezekano ya kuwa uwepo wa habari za Mola ni matokeo ya watu kuzitunga habari hizi.
Unajuaje, hebu elezea. Kusema unajua tu hujathibitisha bado.

Thibitisha huyo Mungu yupo.
 
Unajuaje, hebu elezea. Kusema unajua tu hujathibitisha bado.

Thibitisha huyo Mungu yupo.
Itifaki lazima izingatiwe. Uliuliza swali najuaje, nimekujibu na mimi nikakupa kazi. Sasa jibu swali langu, kisha nijibu swali lako japo nimesha thibitisha zaidi ya mara moja.
 
Sasa hivi sababu nimeoma akili zenu ni ndogo naacha mjihukumu wenyewe, naomba mfano wa uhalisia ambao ume base katika perception na misinterpretations. Mifano miwili tu naiomba.

Kwa mfano ?

Yaani ulivyo kuwa unajifaragua kwamba unajua au unaijua "self evident truth" kumbe hujui, maana ya self evident truth ni kitu kisichohitaji uthibitisho, yaani wewe leo hii uhitaji ithibati ya kuwa wewe ni mdogo kuliko mzazi wako ? Au unahitaji huo ushahidi ? Au kwamba ukirusha kitu juu lazima kitarudi chini, au njaa huuma. Hii ndiyo self evident truth. Uwepo wa ulimwengu ni selft evident truth kwa maana ni lazima yupo aliye iumba hii dunia hii ni maana ya self evident truth.

Sasa inatumia vipi madai wakati yenyewe ni uthibitisho kamili ?

Sasa thibitisha ya kuwa ulimwengu haujaumbwa na Mungu na utuambie imekuwaje ukawepo.

Uwepo wake.

Mpaka tumefikia hapa ni matokeo ya kuthibitisha ya kuwa Mola yupo.
Ni mara ngapi humu unadai jiwe ni kiumbe hai na kusema huo ni uhalisia?
 
Sifa ya Mungu hiyo ndio wmbayo inaleta mjadala.

Kama nafanya jambo kwa hiari nahisi kabisa hakuna anayenilzamisha hiyo maana yake ni hakuna kinachonilazimisha nifanye jambo hilo maana yake nina free will.

Miili yetu na hisia zetu ndizo zinathibitisha kwanza kipi mtu wnalazimishwa au kipi mtu halazimishwi.

Kwa hiyo ni kwamba kusema watu hatuna free will yaani tunalazimishwa hiyo ni imani ambayo haithibitiki katika miili yetu,hatuoni kama tunalazimishwa.

Na hakuna ushahidi wowote unaoonesha viashiria vya kulazimishwa katika miili yetu pale tunapofanya matendo.

Kwa maana hiyo kukataa free will na kusema tunalazimishwa ni jambo ambalo halithibitiki kihisia za miili yetu,hakuna tunachohisi kinachotufanya tuone kwamba yunalazimishwa.

Kwa hiyo free will ndio kitu tunachokiexperience katika miili na maisha yetu,kwa maana ya kuwa free will ipo.
Na ndio maana imeitwa illusion yani una exprience kitu ambacho hakina uhalisia ukidhani kuwa ni reality
 
Sasa mbona huu mwaka wa tatu umeshindwa kujibu ? Utakuwa unazeeka vibaya bi mkubwa.

Nenda kajibu swali langu.
Si kweli, kama U Muislam ni haram kusema uongo.

Nimekujibu na nnaendelea kukujibu kwa kukupa darsa kidogo kidogo, nataka kwanza ujibu maswali yangu niliokuuliza kabla sijaendelea. Unaogopa nini kuyajibu? Au unaiogopa Qur'an? Maana maswali yote niliyokuuliza na aya zake nimekuwekea.
 
Nacheka sana, kijana kwa hili hata wenzako watakushangaa. Self evident truth ni kuonyesha uwepo wa aliye fanya jambi liwepo, haijalishi namjua au simjui. Kwanza tu ukubali ya kuwa Nyumba haiwezi kujijenga au kutokea from no where. Hili ndilo la msingi, sasa kujua nani ni mjenzi wa nyumba husika ni jambo la pili.

Kwahiyo unachotakiwa kujua ni kuwa self evident truth ni jambo kujithibitisha lenyewe kwamba yupo aliyefanya likawepo, yaani ukiona tu nyumba ile pale, moja kwa mona unajua ya kuwa nyumba ile imejengwa wala haijajijenga wala haijatokea pasi na chochote.

Kubishana na uhalisia matokeo yake ni haya kuonekana wewe ni kituko.
Kusema nyumba imejengwa na mjenzi hiyo ni logic trivial kwasababu tunajua nyumba hujengwa na watu

Lakini ukiambiwa uthibitishe huyo mtu yupo huwezi hakuna namna inakuzuia kushindwa kuthibitieha yupo kwa madai kua ni self evident truth

Umesema hqta ukishindwa kuthibitisha yupo haina maana imejijenga

Nakubaliana na wewe kwakua tuna record za nyumba kujengwa na watu na hiyo inathibitishika

Lakini ukija kusema ulimwengu umeumbwa, hilo ni jambo jipya.

Nani anaye miliki kampuni la kuumbia ulimwengu?

Nani alishawahi shuhudia muumbaji wa ulimwengu akiumba ulimwengu mpaka kuwe na ulazima ulimwengu uwe umeumbwa?

Hakuna mtu alithibitisha ulimwengu kuumbwa sasa hiyo self evident truth si uzushi tu!

Kusema kuna muumbaji wakati hakuna historia ya ulimwengu kuumbwa hiyo ni logical fallacy
 
Si kweli, kama U Muislam ni haram kusema uongo.

Nimekujibu na nnaendelea kukujibu kwa kukupa darsa kidogo kidogo, nataka kwanza ujibu maswali yangu niliokuuliza kabla sijaendelea. Unaogopa nini kuyajibu? Au unaiogopa Qur'an? Maana maswali yote niliyokuuliza na aya zake nimekuwekea.
Hapa muda huu hujajibu swali langu tena swali rahisi sana.
 
Itifaki lazima izingatiwe. Uliuliza swali najuaje, nimekujibu na mimi nikakupa kazi. Sasa jibu swali langu, kisha nijibu swali lako japo nimesha thibitisha zaidi ya mara moja.
Hujajibu unajuaje, umehubiri tu, tena kwa kutoa list bila hata maelezo.

Eleza unajuaje.
 
Kusema nyumba imejengwa na mjenzi hiyo ni logic trivial kwasababu tunajua nyumba hujengwa na watu
Mjenzi ni mtu au siyo mtu ? Hata mwenye nyumba husemwa amejenga, japo ni mmoja kwa maana ya umiliki. Kwahiyo usighurike na wingi ila tunarudi kwenye mjenzi.
Lakini ukiambiwa uthibitishe huyo mtu yupo huwezi hakuna namna inakuzuia kushindwa kuthibitieha yupo kwa madai kua ni self evident truth
Kukubali ya kuwa nyumba imejengwa na watu hiyo ni self evident truth tayari. Sasa kumjua ni nani hilo ni jambo lingine. Nikajua unajua maana ya "self evident truth" kumbe hujui.
Umesema hqta ukishindwa kuthibitisha yupo haina maana imejijenga
Sahihi kabisa huo ndiyo uhalisia na hiyo ndiyo self evident truth.
Nakubaliana na wewe kwakua tuna record za nyumba kujengwa na watu na hiyo inathibitishika
Sasa hiyo ndiyo maana ya self evident truth, yaani unapoiona tu nyumba kuna haya yafuatayo yanadhihirika :

1. Yupo msanifu wa nyumba husika
2. Mwenye akili na maarifa
3. Mwenye malengo na makusudio ya kujenga nyumba hiyo
Lakini ukija kusema ulimwengu umeumbwa, hilo ni jambo jipya.
Sasa ndiyo umatakiwa uonyeshe ya kuwa ulimwengu haujaumbwa na utuambie imekuwaje ukawepo.
Nani anaye miliki kampuni la kuumbia ulimwengu?
Huu utoto mwingine, tamko "kuumbwa au kuumba" kwa lugja yetu ya Kiswahili ni tamko haswa, halitumiki nje ta Mola muumba. Tafuta lugha nyingine.

Kingine umehoji kitoto sana, ina maana wewe kuwepo kwako ni matokeo ya kuwepo kampuni fulani iliyo tekeleza kuwepo kwako ?

Kwanini umeingiza suala la kampuni na ukatumia tamko "kuumbia" vibaya ?
Nani alishawahi shuhudia muumbaji wa ulimwengu akiumba ulimwengu mpaka kuwe na ulazima ulimwengu uwe umeumbwa?
Swali zuri sana, haya sasa ndiyo maswali ya kikubwa. Hakuna aliye shuhudia hayo ila haya yameelezwa kwenye vitabu vitakatifu.
Hakuna mtu alithibitisha ulimwengu kuumbwa sasa hiyo self evident truth si uzushi tu!
Nani amethibitisha ya kuwa Nyumba imejengwa ? Self evident truth ni kitu kuonyesha uwepo wa kitu kingine kwa chenyewe. Kama unavyoona nyumba kuwepo kwa nyumba kunaonyesha uwepo wa msanifu, mjenzi mwenye sifa anuai. Hili unatakiwa uelewe. Ulimwengu kuwepo kwake unaonyesha ya kuwa yupo aliye sanifu jambo hili, mwenye uwezo, mwenye kujua ambaye hakuwahi kutanguliwa na kutokujua, mwenye maarifa, mwenye hekima na malengo.

Ulimwengu wenyewe kuwepo kwake wenyewe unajithibitisha ya kuwa umeumbwa, hii ndiyo maana ya self evident truth.
Kusema kuna muumbaji wakati hakuna historia ya ulimwengu kuumbwa hiyo ni logical fallacy
Historia ya ulimwengu ipo ni wewe ndiyo huijui. Vitabu vimeelezea hili na vipo vitabu vingi, soma kitabu kiitwacho "al-Bidayat wa al Nihaya (Mwanzo na Mwisho)".
 
Jifunze kuuliza maswali.
Hapana, unalazimisha kwamba sijauliza swali vizuri.

Nakuuliza tena, unajuaje Mungu wako yupo kweli na hizo habari za kwamba yupo si hadithi za uongo tu?

Ukiandika "Akili", hilo si jibu toshelezi, umelipua hapo.

Tueleze akili imekuthibitishiaje Mungu huyo yupo na habari za kuwepo kwake si hadithi za uongo tu.

Hujajibu hilo.
 
Hujajibu unajuaje, umehubiri tu, tena kwa kutoa list bila hata maelezo.

Eleza unajuaje.
Soma hapa :
Screenshot_20220221_134952.jpg
 
Back
Top Bottom