God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

Au wapinga mungu wote Kiranga na Scars mnapinga free will kwa sababu mnaamini ndaninyenu kuwa maamuzi yenu ya kupinga Mungu sio sahihi.

Sasa kwa kuwa mnajikubali mnaona ni bora kutupia lawama mazingira na circumstance zilizo nje ya utashi wenu?

Kwa sababu nashindwa kuelewa inawezekanaje mtu apinge kuwepo kwa Mungu halafu tumuache, tukija kumuambia basi ni wewe ndio unayeamua kila kitu apinge tena aseme kila kitu kinatokea vile 'kilivyopangwa' tu!!! Kupangwa na nini/nani?

Niwaambie kitu sasa ni kwamba: kuna maelfu ya sababu za kusema Mungu yupo na pia kuna maelfu ya sababu za kusema Mungu hayupo. Sababu utakazochagua ndio unajiumbia mwenyewe hatma yako na wala hautajidhulumu kitu kulingana na wewe. Fikiria kwamba umeamini hamna Mungu na baadaye tukifa imeisha hiyo, na kweli tukafa ikawa imeisha wala hatutakuwepo kujilaumu wala nn. Kupanga ni kuchagua. FREE - WILL

Ndio maana Yesu yeye akasema yeye ni way, life and truth kwa hiyo unaweza kuchagua kinyume pia yaani no-way, death and lies.

Sipendi mimi kusema kama Mungu atatupa adhabu au tuzo. La. Alishaweka mfumo ambao automatiki unawafikisha watu katika hatima walizochagua, wanazozipenda na kuzipigania kwa nguvu zote. Haya mambo sio personal kiviiiiile. Chagua tu UTASHI - HURU
 
Ikishakuwa illusion unaiitaje freewill?
Haah, wala wasikutishe watu wa kukuambia kuwa oooh hiki ni illusion, mara sijui kile ni illusion. Mi ntakushauri hebu ichukue hiyo concept ga illusion ipeleke hadi mwisho wake/ infinity. Ipeleke hadi useme,waseme na ukubali kwamba kila kitu ni illusion! kwamba reality itself is an illusion.

Kwa hiyo kutokea hapo ufurahi useme kwamba anhaa.... mnaniambia Mungu ni illusion, free will ni illusion kumbe hadi reality yenyewe ni illusion. Kama reality ni illusion basi illusion ndo ni reality yenyewe. Kwa hiyo freewill ni illusion na ndio ni real katika illusion nzima tunayoishi nayo kiujumla wake.

Kuna wakati niliwashauri hebu tumieni mbinu hizohizo za adui kumpiga kwa mabomu anayowapiga nayo. Yaani mfano mtu anakulipua halafu wewe unaukubali mlipuko unaukuza hadi unamlipukia na mlipuaji humohumo.
 
Usitumie kilichopo, kinacho thibitishika kuwa kipo kuwa ndio uthibitisho wa kitu kingine ambacho hujakithibitisha

Hiyo ni logical fallacy
Zichukulie kama data za kusapoti hicho kitu usivitenganishe.

Mimi nikijua kuwa almasi ni nyeusi inan'gaa na inakata vioo. Nikatembea porini nikaokota jiwe jeusi la kun'gaa naweza nikarudi nyumbani kijijini nikawaambia nimeokota almasi ina sifa zote inang'aa na ni nyeusi. Kuhusu suala la kukata vioo bado tunasubiria ushahidi tukinunua kioo tukikate baadaye likija gulio letu la mwisho wa wiki [nyumbani hakukuwa na kioo assuming] I have faith kuna mambo yanathibitishika ninayajua na ninaweza kuextrapolate kwa hayo mengine yasowezekanika sasa, Muda.
 
Mkuu.

Kama huwezi kuchagua unazaliwa lini, wapi, na wazazi gani.

Kama huwezi kuchagua utapata wazo gani saa ngapi.

Kama huwezi hata kuchagua utapiga chafya au hutapiga.

Kama huwezi kuchagua utafiwa na nani lini.

Kama huwezi kuchagua utamaliza hii siku au hutamaliza.

Kama huwezi kuchagua urudi mwaka 1982 na kutengeneza mambo fulani uliyoharibu.

Kama huwezi kuchagua kama nyumba yako itapigwa na radi au haitapigwa.

Hapo huna free will, una react tu, making the best of the cards you are dealt with.

Kuna vitu hapa unavichukulia poa sana ambavyo watu weusi waliozaliwa miaka 400 iliyopita Marekani kama watumwa hawakuweza kabisa kuvijua.

Kuna uhuru fulani unao wewe wao hawakuwa nao kabisa. Wewe unafikiri unafanya mambo kw kuchagua mwenyewe, kumbe unafanya mambo kwa sababu umezaliwa Africa, nchini Tanzania, tena iliyopita ukoloni na kupata uhuru wa bendera, wewe si mtumwa kwenye shamba la wazungu Marekani miaka 400 iliyopita.

Sasa wewe unaweza kujiona umeamua mwenyewe kwa freewill yako kujiunga JF na kutoa maoni yako.

Kumbe wewe kujiunga JF ni matokeo ya siku ya kuzaliwa kwako, ambayo hujaichagua, ungezaliwa miaka 400 iliyopita usingeweza kujiunga JF.

Sasa hapo umejiunga JF kwa freewill yako? Au kwa chance tu ya kuwa wewe umezaliwa miaka hii ya karibuni na umeikuta JF ipo katika maisha yako, hujazaliwa miaka 400 iliyopita ambapo JF haikuwapo?

Chochote unachokiita freewill, ambacho kinategemea framework ambayo hujaichagua wewe, si freewill, ni illussion ya freewill.

Na kwa kufuata hilo, kwa kuwa hatuchagui tunazaliwa mwaka gani, na wazazi gani, wapi, maisha yetu yote hayana freewill, yana illussion ya freewill.
 
Nimemuambia na mwenzako kuhusu illusion rejea post no 524 itakusaidia.

Kama freewill ni illusion basi na maisha yote ni illusion including time, cause and effect kwa nini tusiweke nadhiri ya 'I am gonna live this illusion to the best of my abilities💪. Tafuta ukweli wa kuendana na hali katika hii sea of illusions.
 
Siku hizi sipendi siku ibadilike nazurura mtandaoni mazee, hata kama niko single 🤭 kesho nayo ni siku😴
 
Haah, wala wasikutishe watu wa kukuambia kuwa oooh hiki ni illusion, mara sijui kile ni illusion. Mi ntakushauri hebu ichukue hiyo concept ga illusion ipeleke hadi mwisho wake/ infinity. Ipeleke hadi useme,waseme na ukubali kwamba kila kitu ni illusion! kwamba reality itself is an illusion.

Kwa hiyo kutokea hapo ufurahi useme kwamba anhaa.... mnaniambia Mungu ni illusion, free will ni illusion kumbe hadi reality yenyewe ni illusion. Kama reality ni illusion basi illusion ndo ni reality yenyewe. Kwa hiyo freewill ni illusion na ndio ni real katika illusion nzima tunayoishi nayo kiujumla wake.

Kuna wakati niliwashauri hebu tumieni mbinu hizohizo za adui kumpiga kwa mabomu anayowapiga nayo. Yaani mfano mtu anakulipua halafu wewe unaukubali mlipuko unaukuza hadi unamlipukia na mlipuaji humohumo.
Free will ni illusion kwasababu Mungu hayupo
 
Zichukulie kama data za kusapoti hicho kitu usivitenganishe.

Mimi nikijua kuwa almasi ni nyeusi inan'gaa na inakata vioo. Nikatembea porini nikaokota jiwe jeusi la kun'gaa naweza nikarudi nyumbani kijijini nikawaambia nimeokota almasi ina sifa zote inang'aa na ni nyeusi. Kuhusu suala la kukata vioo bado tunasubiria ushahidi tukinunua kioo tukikate baadaye likija gulio letu la mwisho wa wiki [nyumbani hakukuwa na kioo assuming] I have faith kuna mambo yanathibitishika ninayajua na ninaweza kuextrapolate kwa hayo mengine yasowezekanika sasa, Muda.
Unaweza ukarahisha ulichokiandika kieleweke vizuri?
 
Nimemuambia na mwenzako kuhusu illusion rejea post no 524 itakusaidia.

Kama freewill ni illusion basi na maisha yote ni illusion including time, cause and effect kwa nini tusiweke nadhiri ya 'I am gonna live this illusion to the best of my abilities💪. Tafuta ukweli wa kuendana na hali katika hii sea of illusions.
Time ni illussion, to a photon that travels at the speed of light, time does not exist.

Cause and effect is an illussion.

In quantum physics, it is possible to have effects before causes and causes after effects in a crazily cyclical way.

Nimepost links hapo juu.

Sasa kama hata time na cause and effects ni illussions, how could free will be true?
 
Labda wewe unaikataa freewill kwa sababu tu hujawahi kuiexperience? Au uliiexperience halafu akaja mjinga mmoja akakuambia shtuka brooo hiyo ni illusion, ukamuamini.

Niliiexperience freewill kwa mfano wakati nilipokuwa nachagua kuwa wa Mungu au kumkataa. Muda huo nilikuwa na taarifa za kutosha kusapoti yupo na nilikuwa na taarifa za kutosha kusapoti hayupo! Nilwahi kuishi wiki kadhaa nikiwa na imani kuwa hizi ni stori tu

Ningeamua kuwa hayupo ningeendelea kuishi hivyo na ningekuwa sane vizuri tu na mwisho ningekufa sambamba na imani yangu hiyo.
Ningeamua[na nilishaamua] kuwa yupo na ninaishi sanely kabisa kulingana na imani hiyo mwisho nitaishi sambamba na imani yangu
Jambo ambalo halikuwezekana ni vyote viwili[ mutually exclusive] kwa hiyo nilikaa chini kisha freely nikachagua upande. FREE - WILLL
Hata huyo Mungu uliyemkubali ni subject ya siku uliyozaliwa na elimu yako.

Ungezaliwa Mgiriki enzi za Zeus most likely ungemkubali Mungu Zeus.

Yani unapomchagua Mungu unamchagua kwa elimu ndogo uliyonayo, hata hujui miungu yote.

Mpaka hapo tu huna freewill. Una limited will.

Ni kama vile unaangalia Netfix, unajiona unachagua movie kwa freewill.

Wakati hizo movies za kuchagua kuna watu wamekuchagulia, nyingine wamekubania huwezi kuziona ili uzichague.

Mwenyewe unajiona una freewill, kumbe watu wamekuwekea mipaka ya kuchagua.

Uko dukani unachagua bidhaa, unajiona una freewill, wakati kuna watu wamekuchagulia cha kuchagua wakakupangia.

Unajiona una uhuru wa kwenda kulia au kushoto kwenye njiapanda, lakini hujui kwamba huna uhuru wa kuruka juu bila usaidizi wa chombo cha kuruka, hapo hujaamua kwa freewill kwenda kulia, umeamua kwa options finyu ulizo nazo.

Hiyo si freewill, hiyo ni limited.
 
Haah, wala wasikutishe watu wa kukuambia kuwa oooh hiki ni illusion, mara sijui kile ni illusion. Mi ntakushauri hebu ichukue hiyo concept ga illusion ipeleke hadi mwisho wake/ infinity. Ipeleke hadi useme,waseme na ukubali kwamba kila kitu ni illusion! kwamba reality itself is an illusion.

Kwa hiyo kutokea hapo ufurahi useme kwamba anhaa.... mnaniambia Mungu ni illusion, free will ni illusion kumbe hadi reality yenyewe ni illusion. Kama reality ni illusion basi illusion ndo ni reality yenyewe. Kwa hiyo freewill ni illusion na ndio ni real katika illusion nzima tunayoishi nayo kiujumla wake.

Kuna wakati niliwashauri hebu tumieni mbinu hizohizo za adui kumpiga kwa mabomu anayowapiga nayo. Yaani mfano mtu anakulipua halafu wewe unaukubali mlipuko unaukuza hadi unamlipukia na mlipuaji humohumo.
Unajuaje kwamba hata hiyo infinity yenyewe si illussion?
 
Usitumie kilichopo, kinacho thibitishika kuwa kipo kuwa ndio uthibitisho wa kitu kingine ambacho hujakithibitisha

Hiyo ni logical fallacy
Mtu anakwambia kuwa, uwepo wako ni uthibitisho wa kwamba Mungu yupo.

Ni sawa na akwambie kuwa, uwepo wa pembetatu ni uthibitisho kwamba kuna pembetatuduara.
 
Bi mkubwa punguza stori na dibaji naona husogei mbele kila siku uko pale pale na msaada nilikupa. Hili swali huwezi kulijibu, sasa endelea kujipotezea umri wako bure. Katika hili huna cha kunipa sababu nimekutangulia umbali mrefu sana.
Naam, wala hujakosea, ikiwa tu, utajibu maswali yangu ntaelewa sasa yamekuingia ntasogea mbele.

Nimekwambia wewe upo kibishi siyo kiusomi. Huna haja ya kuelewa. Mara nyingi hata Kiranga humu anakuuliza maswali unashndwa kuyajibu wakati majibu yake yote yapo kwenye Qur'an, wazi kabisa.

Unashindwa kuelewa na kukubali kuwa Qur'an ndiyo "guidance" aliyopewa Mtume Muhammad pekee kupambana na Wasioamini Mungu. Na humo ndani yake kuna visa vingi sana vya mitume wa kabla yake binaletwa kama ilm kwake na kwetu tunapokutana na wasio na dini, wanojiita Wakristo, Wanaojiita Wayahudi, na wale kama wewe ambao wanaamini maneno ya watu na hekaya za kutungwa.

Unashindwa kuielewa Salat ndani ya Qur'an kwa kuwa tu, umejitia loki kichwani mwako.

Narudia...

Umeelewa salat, usizozijuwa wewe, kuwa xzpo kwenyeQur'an, zimeanzia wapi? Kama ilivyoelezwa kwenye Qur'an? Nilikuwekea ushahidi wa Qur'an. Unaukubali unaukataa?

Unaelewa nyakati za salat zote zipo kwenye Qur'an? Nilikuwekea ushahidi wa Qur'an, unaukubali au unaukataa.

Anza kwa kujibu hayo, hakuna mipaka ya kukufundisha, mpaka utapoyajibu hayo ntaendelea. Usiiogope Qur'an. Kuiogopa Qur'an ni ushetani, mashtani yanapoisikia Qur'an ndiyo huikimbia, kama unavyoikimbia wewe kwa maswali simpo ya akida.

Haya ondoa ufinyu wako, uyajibu hayo ili niendelee kukutoa minyororo uliyojizonga nayo kwenye ubongo wako.

Anzia hapa;" La yamlikuna minhu khitaba".
 
Mungu anajua hatma kwasababu yupo nje ya time dimension. Hivyo yeye anakuona mwaka 2000, anakuona mwaka 2022 na anakuona mwaka 2040 (mfano tuu).

Hajakupangia wala haku control ila anakuona unavyofanya maamuzi yako na unavyovuna matokeo yake.

Hata hivyo ameweka njia ambayo ukichagua kuifuata unapata matokeo mazuri wakati wote.
Yani ananiona mwaka 2040 ila tena kaweka njia za kuchagua wakati tayari hatima yangu anaijua?
 
Yani ananiona mwaka 2040 ila tena kaweka njia za kuchagua wakati tayari hatima yangu anaijua?
Sasa hivi tunapoongea tàyari Mungu anakuona kesho na yote utakayofanya. Hakupangii na wala hakucontol unayoamua kufanya. Kwahiyo anafahamu hatima kwasababu yeye anaona akiwa nje ya mipaka ya muda.

Kama ukiamua kufuata kanuni alizoziweka katika kuiendesha dunia kwa salama basi matokeo yako yatakuwa mazuri wakati wote.
 
Mtu anakwambia kuwa, uwepo wako ni uthibitisho wa kwamba Mungu yupo.

Ni sawa na akwambie kuwa, uwepo wa pembetatu ni uthibitisho kwamba kuna pembetatuduara.
Kashindwa kuthibitisha madai yake na anajaribu ku fabricate uthibitisho hata kwa njia zisizo za halali ili tu kumfanya huyo Mungu wakufikirika aonekane yupo

Mtu anakuambia anathibitisha Mungu yupo kwa self evident truth, anaanza kwa kukuambia self evident truth ni ukweli ambao hauhitaji uthibitisho yani ukiambiwa tu we kubali kuwa ni kweli

Anasema nyumba lazima iwe na mjenzi, hiyo ni self evident truth kwasababu haiwezekani nyumba ikajijenga na kwamba kuhoji kuhusu kivipi isijijenge itakuwa ni ujinga

Halafu anakuambia hivyo hivyo na kwa Mungu, ulimwengu upo na lazima uwe umeumbwa na hiyo ni self evident truth

Hivyo Mungu ndiye aliyeumba ulimwengu

Rhetorician hapo kafanya makosa mengi katika hoja yake ya kwanza na kuihusisha na mfano wake wa pili

Nyumba tunajua zinajengwa na wajenzi wapo, vifaa vya ujenzi vipo, makampuni ya ujenzi yapo, material ya ujenzi yapo unaweza ukaangalia ukajua haya material yana zalishwa na kampuni gani, na vyote hivyo vinathibitishika. Mtu akisema nyumba imejengwa hiyo ni logic trivial hata kama humjui fundi utakubali kupitia sababu hizo hapo juu

Sasa nani alishawahi kuthibitisha Mungu yupo ili tujue kweli aliumba ulimwengu?

Kampuni gani la ujenzi linajishughulisha na uumbaji wa ulimwengu ili hata tusipomjua muumbaji ni nani tutumie logic trivial kukubali?

Nani alishawahi kushuhudia ulimwengu unavyoumbwa kiasi tuone swala la uumbaji ni logic?

Kuna ulimwengu mwingine uliowahi kushuhudiwa ukiumbwa ili tutumie logic hiyo hiyo kusema huu pia una muumbaji japo hatujui nani?
 
Free will ni illusion kwasababu Mungu hayupo
This one made no sense, sijaelewa sababu na matokeo yake hapo. Huoni mutual exclusivity ya kinamna fulani hapo.

Ukweli ni kwamba Mungu yupo na freewill ambayo kwa vipimo vya kijuu[sijui kichini] zaidi inaonekana kama limited ni free kabisa for all intents and purpose kwa hapa duniani.
 
Unaweza ukarahisha ulichokiandika kieleweke vizuri?
Nadhani nilikuwa naelekea kusinzia pia, ila wazo la jumla ilikuwa ni: ikiwa ninao uthibitisho wa baadhi ya sifa hivyo basi nitachukulia kitu ninachokifikiria ndiyo hicho hadi pale nitakapokithibitisha kikamilifu. Au mpango mzima utaabort ikiwa nitapata sifa itakayothibitisha kinyume na ninachowaza.

Mfano kama nikinunua kioo nikakata kwa hilo jiwe - nitathibitisha ni almasi [assume ni gold standard]
Nikiona almasi imepitisha umeme hata kabla sijaikatia kioo basi nitajua- sio almasi. Eaasy.

Ila mind you kuwa kwake almasi au kutokuwa almasi hakubadilishi kuwa ni kitu cha thamani maana kina kazi ninayoiona ni nzuri kabisa kwangu. Kama wewe ni mmoja wa wasioweza kuvalue kitu hadi kithaminishwe kwa pesa ndio utapata tabu kunielewa.
 
Hata huyo Mungu uliyemkubali ni subject ya siku uliyozaliwa na elimu yako.

Ungezaliwa Mgiriki enzi za Zeus most likely ungemkubali Mungu Zeus.

Yani unapomchagua Mungu unamchagua kwa elimu ndogo uliyonayo, hata hujui miungu yote.

Mpaka hapo tu huna freewill. Una limited will.
Kabisa hata mie nilicontemplate ikiwa ningekuwa exposed na muungu mwingine na mwana wa mungu mwingine au dini nyingine etc uchaguzi bado ningekuwa nao au vipi?.

Upo uwezekano wa kumchukua character halafu ukamvua ubinafsi wake wote ukabakiza tu zile values anazozirepresent na ukatoboa.

Mfano nimejitungia kanuni kuwa kitu kilicho sahihi ni kile ambacho ni 'Of God and For mankind' baada ya hapo sina shida ya kuwajua majina hata watakaonihubiria.

Maneno yasemwe na Mtume, nabii, mwana, mchungaji, muhuni, mpinga Mungu mwenye jina lolote yakiendana na kanuni hiyo ni maneno sahihi. Kwa hiyo nitachagua sifa sahihi za Mungu hata kama amewakilishwa na jina jingine. Uzuri sheria ya Mungu ipo ndani mwetu.

Maneno yasikupe tabu, sura zisikupe tabu hapa tunaongelea thamani/values tu. Mfano mhuni mmoja akafuata kikamilifu kanuni ya 'Dont f**k with me, I wont f**k with you' unadhani hataishi mbinguni huyu mwamba? Sijui lakini huenda..
 
Back
Top Bottom