Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Au wapinga mungu wote Kiranga na Scars mnapinga free will kwa sababu mnaamini ndaninyenu kuwa maamuzi yenu ya kupinga Mungu sio sahihi.
Sasa kwa kuwa mnajikubali mnaona ni bora kutupia lawama mazingira na circumstance zilizo nje ya utashi wenu?
Kwa sababu nashindwa kuelewa inawezekanaje mtu apinge kuwepo kwa Mungu halafu tumuache, tukija kumuambia basi ni wewe ndio unayeamua kila kitu apinge tena aseme kila kitu kinatokea vile 'kilivyopangwa' tu!!! Kupangwa na nini/nani?
Niwaambie kitu sasa ni kwamba: kuna maelfu ya sababu za kusema Mungu yupo na pia kuna maelfu ya sababu za kusema Mungu hayupo. Sababu utakazochagua ndio unajiumbia mwenyewe hatma yako na wala hautajidhulumu kitu kulingana na wewe. Fikiria kwamba umeamini hamna Mungu na baadaye tukifa imeisha hiyo, na kweli tukafa ikawa imeisha wala hatutakuwepo kujilaumu wala nn. Kupanga ni kuchagua. FREE - WILL
Ndio maana Yesu yeye akasema yeye ni way, life and truth kwa hiyo unaweza kuchagua kinyume pia yaani no-way, death and lies.
Sipendi mimi kusema kama Mungu atatupa adhabu au tuzo. La. Alishaweka mfumo ambao automatiki unawafikisha watu katika hatima walizochagua, wanazozipenda na kuzipigania kwa nguvu zote. Haya mambo sio personal kiviiiiile. Chagua tu UTASHI - HURU